Nchi ya Botswana inatarajia kuanzisha kituo cha kufanya ithibati ya almasi zinazouzwa kwenye nchi za G7 ifikapo mwakani 2025.
Hii inakuja kutokana na hatua ya nchi za G7 kuamua kutonunua almasi...
Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya...
Mke wa Rais wa Korea Kusini Bwana Yoon amekuwa na kashfa nyingi za Rushwa hapo Korea Kusini. Moja ya kashfa ni kutoa upendeleo kwa mgombea nafasi ya ubunge na kushirikiana na makampuni...
Silaha za nyuklia ni mojawapo ya uvumbuzi wenye nguvu kubwa zaidi uliofanywa na binadamu. Tangu majaribio ya kwanza ya bomu la nyuklia mnamo 1945 huko New Mexico na matumizi yake katika Hiroshima...
Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of...
Wakuu,
Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana.
Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji...
Rais Joe Biden wa Marekani wiki hii alifanya ziara ya siku tatu nchini Angola, akihangaika kutimiza ahadi ya “kufanya ziara barani Afrika ndani ya muhula wake” kabla ya kuondoka madarakani muda...
Wakuu wa Majeshi kutoka nchi za Niger, Mali na Burkina Faso zinazounda umoja wa nchi za Sahel ( AES ) wamekutana na kufanya kikao nchini Niger jana tarehe 3 Disemba 2024.
Wakuu hao wa majeshi...
Kila inapozungumziwa Cuba mara nyingi sifa zake huwa ni mfumo mzuri wa afya tu ulioweza kuzalisha madaktari wengi hadi wa ku export na sekta ya uzalishaji madawa iliyoshamiri. Huwezi kusikia...
Viwango vya uungwaji mkono wa marais na kupungua ushawishi wao duniani na kwenye nchi zao,tunaweza kutumia vyanzo vya kimataifa vyenye kuaminika kama
Morning Consult, ambayo hutoa takwimu za...
Netumbo Nandi-Ndaitwah wa chama tawala cha Swapo nchini Namibia amechaguliwa kuwa Rais, na hivyo kuwa kiongozi wa kwanza mwanamke nchini humo.
Kwa mujibu wa Shirika la Utangazaji la Afrika Kusini...
Muda mfupi baada ya kutangaza amri ya utawala wa kijeshi hatimaye Rais wa Korea Kusini ametema ndoano na kukubali kufuta amri hiyo ya utawala wa kijeshi baada ya kura ya veto ya bunge !
Huyu Rais...
Ndani ya white house.
Picha zifuatazo ni ndani ya Kremli
Pitia hii link kwa picha zaidi za white house ya marekani
A look inside the White House
Pitia hii link kwa picha zaidi za Kremlini...
Wataalamu wa mambo naomba kuuliza hivi zipi zilikua sababu za Uingereza kujitoa EU?
Soma pia Kwa ushindi wa chama cha Labor, je luna uwezekano wa Uingereza kurudi European Union?
Updated - Kura zaidi ya milioni 4 na laki 3 zimepigwa
TRUMP ANAONGOZA KWA ASILIMIA 74
Pia soma: LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?
Huko Georgia kwa wiki moja sasa raia wanaandamana na kupambana na polisi baada ya chama tawala kusitisha kwa muda mpango wa nchi yao kujiunga na umoja wa Ulaya(EU). Kura mbalimbali za maoni za...
Marekani imesema kuwa haina mpango wa kuirudishia Ukraine silaha zake za nuclear ilizozichukua kufuatia mkataba kati yake na Urusi baada kuvunjika kwa Umoja wa Kisoviet.
Ndugu zangu Ayatollah, najua mnafurahia makubaliano ya kusitisha vita, ila nawapa Pole.
Hivi kweli Israel anawadanganya nanyie mnaingia King?
Alafu Trump naye akawazuga, Et ohoo nitasitisha...
Kuanzia siku ya Alhamisi barabara kuu za zinzoeleke katikati ya jiji la Maputo na mji wa Matola zilikuwa kimya na zenye utulivu mno.
Chawa na waandamanaji wanaomuunga mkono mgombea wa Urais...
Balozi wa Iran Lebanon aibuka Beirut baada ya matibabu, alijeruhiwa vibaya shambulizi la pager Septemba, atembelea eneo ambalo kiongozi wa Hezbollah hassan nasrallah aliuawa
Wadau hamjamboni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.