Bwana Trump amewaonya wanachama wa BRICS kwamba wanacheza na moto Kwa Kuharibu kuunda sarafu Mpya Ili waepukane na Dola.
Trump amesema ataweka vikwazo na kupandisha ushuru wa bidhaa na Huduma...
Wakuu,
Tunapoongelea mambo ya demokrasia na uwajibikaji basi bila shaka Marekani inakuwa ni nchi mama.
Hivi karibuni Speaker wa Bunge la Marekani amekataa ombi la Rais Joe Biden la kupeleka...
Jeshi la Syria limetangaza hatua ya "kuondoa majeshi kwa muda" katika mji wa kaskazini-magharibi wa Aleppo, ambako makundi ya waasi yalizindua shambulio la ghafla dhidi ya maeneo yanayoshikiliwa...
Rais wa Marekani Joe Biden amefanya ziara ya kwanza Afrika mapema wiki hii kwenye nchi ya Angola mabapo huko amekutana na viongozi wa Afrika kujadili miradi ya kimaendeleo kwenye nchi hizo...
Think Tank: Simulation Predicts Taiwan Could Defeat China With US-Japan Aid in Invasion Scenario
A simulation run by the Center for Strategic and International Studies (CSIS) think tank has...
Huyu alikimbia toka China bara akakimbilia Taiwan baadae akaenda kusaka hifadhi marekani kama mkosoaji mkubwa wa China.
Imekuja gundulika alikuwa jasusi wa China ndani ya marekani.
Inavyoonekana...
Anaandika Trump kupitia mtandao wake wa kijamii wa "TRUTH"
watu wanaongelea mateka wanaoshikiliwa kikatili, kinyama, na kinyume cha matakwa ya Dunia nzima huko Mashariki ya Kati - Lakini ni...
Tupate elimu kidogo wana JF: Hamas ni chama cha siasa ambacho kinatawala ukanda wa Gaza. Ingawa ni chama, lakini pia Hamas ni kundi la wanamgambo wenye silaha mfano wa jeshi.
Hamas ni ufupisho wa...
Takriban kura 28,000 zilizopigwa katika uchaguzi wa rais na Bunge la Taifa nchini Namibia zimekataliwa na Tume ya Uchaguzi ya Namibia (ECN).
Kulingana na matokeo yaliyotangazwa na ECN jana jioni...
02 December 2024
Washington DC na Luanda Angola
ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE
Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya...
Dkt. Panduleni Itula, mgombea urais wa chama cha Independent Patriots for Change (IPC), ametangaza kuwa chama chake hakitakubali matokeo ya uchaguzi mkuu unaoendelea, akidai kuwa kuna kasoro kubwa...
Wana report Al Jazeera. Hapo ndo nashindwa kuelewa kabisa. Sisi huku tunasema Hezbollah wameshinda. Wao kule tena Al Jazeera wanasema tofauti kuwa Israel ilipiza kwa kuua watu wengi kuliko.
Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier ambae yupo njiani kurejea Ufaransa kutoka katika ziara nchini Saudi Arabia, anatarajiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge la nchi hiyo na...
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu...
Nchi ya Botswana inatarajia kuanzisha kituo cha kufanya ithibati ya almasi zinazouzwa kwenye nchi za G7 ifikapo mwakani 2025.
Hii inakuja kutokana na hatua ya nchi za G7 kuamua kutonunua almasi...
Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya...
Mke wa Rais wa Korea Kusini Bwana Yoon amekuwa na kashfa nyingi za Rushwa hapo Korea Kusini. Moja ya kashfa ni kutoa upendeleo kwa mgombea nafasi ya ubunge na kushirikiana na makampuni...
Silaha za nyuklia ni mojawapo ya uvumbuzi wenye nguvu kubwa zaidi uliofanywa na binadamu. Tangu majaribio ya kwanza ya bomu la nyuklia mnamo 1945 huko New Mexico na matumizi yake katika Hiroshima...
Wanajamvi kuna suala la USA kutowaamin vijana kwa upande wangu nimeshuhudia masenators wengi ni wazee ha hata viongozi mbalimbali wa mataasisi na hata pia cabinet secretaries na member of house of...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.