Balozi wa Iran Lebanon aibuka Beirut baada ya matibabu, alijeruhiwa vibaya shambulizi la pager Septemba, atembelea eneo ambalo kiongozi wa Hezbollah hassan nasrallah aliuawa
Wadau hamjamboni...
U.S. President Joe Biden arrived in Luanda Monday and was welcomed by Angola foreign minister Tete Antonio on an official state visit to the southern African nation.
This is the first visit by a...
Leo katika pitapita zangu nimekutana na kitu kinaitwa Rand Corporation 2019. Hii ni ripoti yénye kuelezea mbinu ambazo Marekani na washirika wake wanaweza kutumia kwa ajili ya kuidhoofisha Urusi...
U.S. Government COVID-19 after action report is out .It clearly shows those who were called "Conspiracy Theorists" were RIGHT,and everyone else was wrong
Hal Turner World December 02, 2024
The...
Mahakama ya Ubelgiji imeiamuru serikali ya nchi hiyo kuwalipa fidia wanawake watano waliochukuliwa kwa lazima kutoka katika familia zao katika enzi ya ukoloni wa Ubelgiji nchini DR Congo...
Mimi sijui kusimulia vyema. Ila habari imekaa kiutata sana hasa ukizingatia BBC wanavyojua kuconceal information.
Wanadai alisababisha "disturbance" kwenye ndege iliyotakiwa kumrudisha baada ya...
Rais Joe Biden ametoa msamaha " kwa mtoto wake Hunter Biden, dhidi ya mashitaka yanayomkabili katika taarifa iliyotolewa na Ikulu Desemba 1, 2024.
Hunter Biden alikua akisubiri kusomewa...
Wafanyakazi wa ngono nchini Ubelgiji sasa wanapata ulinzi sawa na wafanyakazi wa sekta nyingine kupitia sheria mpya ya kihistoria iliyopitishwa mwezi Mei mwaka huu na kuanza kutekelezwa siku ya...
Zaidi ya watu 76 wamefariki dunia na wengine 240 wamejeruhiwa kwa risasi nchini Msumbiji wakati wa siku 41 za maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi, kwa mujibu wa shirika lisilo la kiserikali...
Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko...
Wanaukumbi hizi Imani za kumpigania Mungu zinaitesa Dunia, vita nyingi zinazohusisha vikundi vya kigaidi kama Hayat Tahrir al-sham inayoshusha kipondo kwa mashia ya Irani na Syria ni ya kidhehebu...
Habari njema kutoka Angola ni kwamba Bilionea raia wa Nigeria Aliko Dangote anatarajiwa kuwekeza kwenye ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mafuta cha Lobito ( Lobito Refinery).
Hayo yameelezwa...
Syrian rebel advance brings exiled Aleppo residents back to city
Syrian opposition fighters have pushed Assad’s forces out of Aleppo, allowing exiled residents to return for the first time in...
Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier anakabiliwa na kura ya kutokuwa na imani dhidi ya serikali yake ya wachache baada ya kutumia mamlaka maalum kupitisha muswada wa bajeti ya hifadhi ya jamii...
Wanaukumbi.
NDANI TU: 🇮🇱 🇵🇸 Papa Francis anasema vita vya Israel huko Gaza ni "ugaidi."
"Ninaendelea kupokea habari nzito na zenye uchungu kutoka Gaza. Raia wasio na silaha wanakumbana na...
Toka mwanzo nlisema hawa Israel suala la watu wao kutekwa walikuwa wanatafuta tu sababu. Now wamezidi imega Gaza. Wame advance kuchukua eneo kubwa zaidi Gaza. Wamejiongezea maeneo zaidi. Hawa...
Jeshi la Mali limefanikiwa kumuua kiongozi wa juu wa kundi la kigaidi linalowashambulia raia katika eneo la kaskazini la nchi huyo.
Katika taarifa iliyotolewa kupitia televisheni ya taifa, jeshi...
Wadau hamjamboni nyote?
Kazi kazi IDF hawajapoa Hadi wamalize shughuli
Kituo cha kijeshi cha kutengeneza silaha za kemilali na makombora ya kisasa ya masafa marefu kikiwa huko Syria...
Katika muhula wa Biden na Harris, wahamiaji haramu zaidi ya milioni 20 wameingia Marekani, wengi wakitumia mpaka wa Mexico na baadhi Canada, wahamiaji haramu wengi hasa wa wanaoingia kwa mpaka wa...
Biashara ya kukodisha Wachumba feki Nchini Vietnam imezidi kushamiri na kuendelea kukua siku hadi siku ambapo Vijana wamekuwa wakikodisha Wachumba hao na kwenda nao katika sherehe za familia ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.