Katika hali iliyoshtua wengi, raia wa Algeria aitwaye Mohammed Amine Aissaoui mwenye umri wa miaka 35, amekiri kwamba aliahidiwa kiasi cha Euro 50000 sawa na zaidi ya Shilingi Milioni 124 za Tz...
Wamarekani na wazungu wengi huwa hawajui kile serikali zao zinachokifanya kwenye mataifa mengine, lakini safari hii ni tofauti sana, wameanza kuufahamu upuuzi wanaofanya wanasiasa wao kwa wengine...
Hili ni taifa teule la Mungu. Pamoja na Kuzingirwa na maadui pande zote yaani Hezbollah, Houth, Hamas, Iran, Russia na silaha kutoka kila upande wa dunia, bado Israel imeibuka kidedea.
Ushindi...
Watu 80 wauawa kati ya mapigano ya wenyewe kwa wenyewe kati ya waislam wa madhehebu ya Shia na Sunni karibu na mpaka wa Afghanistan na Pakistan.
Mapigano hayo yalianza alhamis ambapo wanamghambo...
Jump to content
UK News Website of the Year 2024
Log in
See all News
Uyghur fighters in Syria vow to come for China next
The Turkistan Islamic Party says its main mission to ‘liberate the...
Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi.
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa...
Wabunge wawili wa kamati ya Baraza la Wawakilishi la Marekani nchini China wamewasilisha barua kwa kampuni za Apple na Google wakidai kampuni hizo zinatakiwa kuondoa Mtandao wa TikTok katika...
Wadau hamjamboni nyote
Ni maoni yangu na Nina uhakika yakitekelezwa amani ya kudumu itapatika
Mataifa ya Syria na Lebanon yagawanywe kama ifuatayo
Syria igawanywe kuwa nchi 2
Lebanon igawanywe...
The IDF and Shin Bet, in a joint operation, eliminated Fahmi Salami, commander of Hamas’s Nukhba Brigade in its Zeitoun Battalion, the IDF announced Wednesday.
Salami was responsible for the raid...
Kwa mujibu wa wizara ya ulinzi kupitia Kwa jeshi la Israel wametangaza mpango wao wa kupiga tena nuclear site zilizobakia nchini Iran.
Leo IDF wametoa mchanganuo wa vita ya Syria hasa baada ya...
Shalom,
Kwa kweli kama imqni nyingine zinakwenda Ibada miji mitakatifu yao kuanzia wa budha huko tibet bila shida kabisa
Waislam huko Mecca na Madina
Wahindi na Hindu yao huko Bombay na New...
Kwa kweli kazi anayoifanya Myahudi huko Middle East, kuwashughulikia kindakindaki kuanzia Iran anarudi Lebanon kisha Yemen. Kwa kweli kazi ni nzuri baraabaraa.
Kwahiyo hata wale waunga mkono wa...
Umoja wa Kisovieti/USSR/Russia pia walicheza moja ya nafasi ya kuwadanganya Waarabu wa Wapalestina kama njia ya kuisababishia matatizo Israeli.
Wakati Israeli ilipoundwa upya mwaka wa 1948...
Matumaini mapya ya kusitisha vita vya GAZA yaanza kuonekana mara baada ya Wapatanishi (Misri na Katari) kueleza kuwa, kundi la wapiganaji la HAMAS limebadili Msimamo wake wa awali wa kutotoa...
Hebu ona hii collection ya magari ya kifahari ya dikteta Assad!
Na inaripotiwa kuwa hii ni moja tu ya collection yake ya hayo magari ya kifahari.
Alikuwa anayaendesha wapi hayo magari? Muda...
15 December 2024
Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure
https://m.youtube.com/watch?v=FeeoVkgzMv0
Na Musonda Mwewa ZNBC
Timu ya madaktari maarufu wa...
Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake.
Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso.
Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na...
Kituo Cha televisheni Cha ABC kimeamua kukubali kumlipa Rais Donald Trump kiasi Cha Bilioni 37 za kitanzania kama fidia ya kumchafulia jina Rais huyo mteule wa Marekani. Rais mteule Donald Trump...
JACOB ZUMA NA MKUKI WA UMKHOTO WeSIZWE NDANI YA ANC
Rais mstaafu Jacob Zuma wa South Africa aleta mtikisiko katika chama cha ANC baada ya kusema hataiunga mkono chama cha ANC bali atakiunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.