International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kuna wimbo fulani wa kisabato unaitwa kishindo cha wakoma ulivuma sana ni wimbo mzuri. Sasa kishindo cha Chips atakacho kutana nacho marekani kutoka kwa China kitakuwa kizito sana kitashika eneo...
9 Reactions
69 Replies
4K Views
Kama Mkuu wa majeshi ya M23 anavyonukuliwa na shirika la habari la UK, SKY NEWS.... Waasi wa Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Kiongozi...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Baada ya hili sakata la TikTok nimekutana na wadau majukwaani wakidai China ndio wa kwanza kufungia mitandao ya kijamii ya Marekani. Kwa hiyo ni kama Marekani nao wameijibu China. Wengi hawajui...
18 Reactions
86 Replies
4K Views
Wote wametumia nguvu ya uraisi. Tunajifunza nini' ikiwa huko ndo kioo Cha demokrasia Kila mtu anatolea mfano?!!
1 Reactions
7 Replies
452 Views
Pata shida upate akili ================== Kuibuka kwa programu ya Kichina inayotumia AI inayoitwa DeepSeek kumekuja baada ya tangazo kubwa kutoka kwa Rais Donald Trump kuhusu kuendeleza maendeleo...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya ultimatum ya masaa 48 lililopewa jeshi la DRC kuweka siraha chini, likagoma, hatimae ziwa Kivu lilifungwa pia. Hivyo kuingia au Kutoka Goma ikawa ndo haiwezekani tena, maana na mipaka ya...
10 Reactions
42 Replies
3K Views
Tarehe 28 Januari ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China. Kama ilivyo desturi, saa 2 kamili usiku kwa saa za Beijing, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo linaandaliwa na...
2 Reactions
4 Replies
423 Views
Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto. Sheria hiyo mpya inazipa...
9 Reactions
320 Replies
12K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ukweli lazima usemwe Watu wa kabila la banyamulenge huko kivu kusini wamehamia hapo tokea karne ya 18 hivyo wao ni raia halali na siyo wavamizi Wamekuwa wakibaguliwa ...
1 Reactions
11 Replies
673 Views
1. Kwanini Jeshi la DRC lisiweke kambi kuzunguka mipaka yote ya Rwanda? Kama ni kweli Rwanda ndiyo inawafadhili waasi supply yote itaisha ndani ya mwezi mmoja. Yaani kama tunapigana na waasi...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Wapiganagi wa 23 wanadai wameuteka Mji wa Goma na kufunga Anga yake. Maelfu ya watu wamedaiwa kukimbia Ili kujiokoa na dhahama ya waasi. Haijathibitishwa ikiwa ni kweli au hapana na Wala...
13 Reactions
101 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? Wadada wanapigana vikumbo huko ughaibuni kwa muonekano wa kuvutia wa kijana mdogo wa Rais Trump Barron Trump Is a 'Ladies Man' at New York University, Source Says...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Nimechoka kabisa jeshi la nchi limeikimbia nchi na kuwaachia wananchi msala Wanajeshi wa kongo wamekimbilia Rwanda na kupokelewa kama wakimbizi hii ni hatari...
4 Reactions
84 Replies
4K Views
Huko Marekani hakupoi wala hakuboi. Trump kila kukicha anakuja na jipya. Wizara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu...
1 Reactions
9 Replies
881 Views
Putin asema Russia 'iko tayari kwa mazungumzo' na Donald Trump kuhusu Ukraine. Rais wa Russia Vladimir Putin alisema yuko "tayari kwa mazungumzo" na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu jinsi ya...
2 Reactions
6 Replies
871 Views
Kwa kadri ya uelewa wangu na ufuatiliaji wa matukio kule Gaza nimegundua kuwa yanayoendelea Gaza ni makubwa lakini yanatendeka kukiwa na upungufu wa mtu muhimu tangu mwanzo wa vita katika eneo...
1 Reactions
7 Replies
674 Views
Msemaji mkuu wa kisiasi Lawrence Kanyuka, ameutangazia umma kuwa ziwa Kivu kwa sasa halitumiki. Hivyo kuomba jeshi la serikali na SAMIDRC kukabidhi siraha zote kwa wanajeshi wa Umoja wa mataifa...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Katika mabadiliko makubwa ya sera, utawala wa Trump umeamuru kwamba wanawake wanaobadili jinsia (transgender women) walioko katika magereza ya Marekani wahamishiwe kwenye magereza ya wanaume...
20 Reactions
108 Replies
6K Views
Kulingana na ripoti ya kipekee kutoka gazeti la New York Post, utawala wa Trump unadai kuwa wanataka tu watu wenye uwezo wa kuhimili mahitaji makubwa ya kimwili ya huduma hiyo. Soma Pia: Donald...
1 Reactions
1 Replies
618 Views
Hii ndio taarifa Njema kwetu sisi Walinda legacy ya shujaa Magufuli Ni kwamba Rais Trump wa Marekani ameagiza kurejeshwa kazini Watumishi na Wanajeshi wote waliondolewa kazini na Utawala wa...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom