International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tokana na chokochoko, migongano, migogoro, vita, na wizi nchini DRC, nashauri mataifa tajwa hapo juu yatie buti kwenye nchi hizo na kuzitwaa ili kuunda taifa moja kubwa na tajiri haraka...
0 Reactions
3 Replies
432 Views
Kutokana na uasi uliochanganyikana na ugaidi kushamiri katika jimbo la Cabo Delgado mwaka 2021 serikali ya Msumbiji baada ya kuzidiwa sana waliingia makubaliano na nchi Rwanda kupeleka majeshi...
2 Reactions
5 Replies
625 Views
Huku waasi wa M23 wakiwa wameuchukua na kuweka chini ya himaya yake mji wa Goma, baadhi ya vikosi vya askari wa kukodiwa walokuwa wakipigana sambamba na majeshi ya serikali ya Congo DRC, imekuwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kutokana na ujio wa Rais mpya wa marekani "Donald Trump" kusitisha utoaji wa misaada katika nchi za Africa, kauli/Sheria iyo imeonekana kuathiri sana sector ya afya ambayo ilikua ikilalia sana...
0 Reactions
0 Replies
310 Views
Kwa miaka mingi wamekua wakiishi kwa propaganda, kuonesha wao ni special sana na kuonesha wao ni "Victims". Blaming everything and ashamed with nothing. Wame exadurate maafa ya WWII as if hakuna...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Huyu mwamba ni zaidi ya mwanahabari, anaripoti habari za mgogoro wa Mashabiki ya Congo kwa zaidi ya miaka kumi sasa na mara zote amekuwa akirupoti matukio live akiwa na wapiganaji wa pande zote...
12 Reactions
29 Replies
2K Views
Binti wa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma amekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi. Mbunge wa Afrika Kusini Duduzile Zuma-Sambudla ameshutumiwa kwa kuchochea ghasia na mauaji katika...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Leo hii serikali ya Congo DRC imetangaza kuvunja mahusiano na Rwanda huku wanajeshi wapatao 13 wa kutoka vikosi vya kulinda amani na wanajeshi wengine wa kigeni kuuawa. Wizara ya mambo ya nje ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Vita vya muda mrefu na ukosefu wa amani mashariki mwa Congo(DRC) nyakati hizi kwa kiasi kikubwa vinachangiwa na udhaifu wa dola ya DRC kudhibiti nchi pamoja biashara ya madini adimu mbalilmbali...
3 Reactions
39 Replies
2K Views
TUKUMBUSHANE Mwaka 2009, Bingu wa Mutharika, kama mgombea wa urais na Joyce Banda mgombea-mwenza, walishinda uchaguzi mkuu kupitia chama cha DPP. Mara baada ya kuanza majukumu yao, iliibuka...
15 Reactions
15 Replies
1K Views
Rais Donald Trump amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutembelea Ikulu ya White House wiki ijayo, ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa kigeni katika muhula wake wa pili...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Toka jana tarehe 23 Januari 2025, mida ya saa mbili usiku, mji wa Goma uligubikwa na giza. Ni baada ya taarifa za kifo cha aliekuwa mkuu wa mkoa wa Kivu kasikazini Mejor General Chirimwami. Leo...
13 Reactions
180 Replies
8K Views
Kauli mbiu ya rais Donald Trump wa Marekani ni kuifanya Marekani kuwa taifa kubwa kwa mara nyengine (Make America Great Again). Huu ni ukweli aliouona Trump tangu mwaka 2020 alipogombea na Joe...
2 Reactions
2 Replies
428 Views
Haya sasa tuendelee kukata viuno The United States Secretary of State, Marco Rubio, has approved an “Emergency Humanitarian Waiver”, which will allow people to continue accessing HIV treatment...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali ya Mexico hapo juzi iliikatalia ruhusa ndege ya kijeshi ya Marekani kutua nchini humo ikiwa na abiria wenye asili ya nchi hiyo waishio Marekani. Hatua hiyo ni baada ya kuapishwa kwa raisi...
15 Reactions
97 Replies
4K Views
Katika kufafanua zaidi kuhusu kusitishwa kwa msaada wa Marekani chini ya utawala Trump Msemaji wa Ikulu ya Marekani akizungumza na vyombo vya habari amesema walipofanya ukaguzi wamekuta Gaza...
0 Reactions
4 Replies
511 Views
Kama kuna kiongozi Africa aliyekuzwa, kutukuzwa na kusifiwa sana kwa propaganda za kila aina na uongo mwingi sana barani Africa basi ni Muamar Gaddafi. Huyu bwana aliimbiwa sifa zote kiasi kwamba...
11 Reactions
111 Replies
6K Views
Hatua ya Rais wa Marekani Donald Trump kusaini agizo la kuiondoa nchi hiyo katika Shirika la Afya Duniani (WHO) siku chache zilizopita imeanza kuleta athari kadhaa hususan barani Afrika kama...
1 Reactions
0 Replies
365 Views
The problematic aggression of which Congo is a victim of Rwanda is just an executive acting as a centuries-old arm of real aggressors: western powers (USA and Europe). We are at war against the...
0 Reactions
1 Replies
562 Views
Wazalendo,wale militia wa DRC, wanasema kila mbuzi anakula kwa kufuata urefu wa kamba yake. Wanasema wanataka kuiteka Kigali. Wanasema hawatapora mali ya mtu yeyote,au kufanya uovu wowote dhidi ya...
0 Reactions
1 Replies
455 Views
Back
Top Bottom