International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Rais mpya wa Marekani, Donald Trump anapanga kuagiza idara za usalama za Marekani kuweka wazi taarifa zote za siri (Classified Documents) kuhusiana na mauaji ya JFK na RFK yawekwe wazi kwa umma...
14 Reactions
54 Replies
3K Views
Haah eti hii ina ukweli kuhusu ushindani katika AI Inataka kufanana na hii haah
3 Reactions
3 Replies
439 Views
Kwa mara nyengine Hamas itaachia mateka 4 wa Israel iliowachagua ambapo tayari majina yao yameshawekwa hadharani. Jumamosi iliyopita ilikuwa ni burudani kubwa kwa ulimwengu na kwa watu wa Gaza...
6 Reactions
65 Replies
4K Views
Waasi wa M-23 wamezingira takriban Mji wote wa Goma. Rais wa kigeni wanashauriwa kuondoka. Governor wa Kijeshi wa North Kivu ameuawa jana kuhusiana na haya mapigano. M+23 wanawaamboa wanajeshi wa...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Baraza la Usalama la UN limekutana kwa mkutano wake wa dharura leo, Jumapili, Januari 26, 2025 Hapo awali mkutano huo ulipangwa kufanyika kesho Jumatatu, Januari 27, mkutano huo wa dharura sasa...
0 Reactions
1 Replies
353 Views
Kikosi cha Wanajeshi wa Afrika Kusini kilichopo DR Congo kimepata pigo la kwanza kwa kupoteza Wanajeshi wawili na wengine Watatu kujeruhiwa baada ya bomu kutua katika kambi yao. Kikosi hicho...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Katika hali isiyo ya kawaida, jeshi la Umoja wa Mataifa nchini Congo, MONUSCO, limekili kuiunga mkono serikali ya DRC katika mapigano yanayoendelea mashariki mwa nchi hiyo. MONUSCO ilikuwa na...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi siwatishi Wala nini, Vyombo vya habari vitawadanganya kua Ni Mabadiliko ya Hali ya hewa, Mara Moto usiojulikana chanzo ,mara vile !!. Usiombe Mungu akasirike alafu akuonyeshe waziwazi kua...
51 Reactions
409 Replies
21K Views
Wanaukumbi. Hamas: Within the framework of the prisoner exchange, the Al-Qassam Brigades decided to release the following female soldiers tomorrow, Saturday, 01-25-2025: 1-Soldier Karina Arif...
0 Reactions
52 Replies
2K Views
Picha za wapiganaji wa Hamas wakati wa makabidhiano ya mateka zimetajwa kuwa ni ushahidi kuwa vita vya zaidi ya mwaka mmoja havikuwamaliza wapiganaji hao. Wakati huo huo video hizo zimewaudhi mno...
21 Reactions
108 Replies
6K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amemwonya Rais wa Urusi, Vladimir Putin, kumaliza "vita vya kipuuzi" nchini Ukraine au akabiliwe na ushuru mkubwa na vikwazo zaidi. Kupitia jukwaa lake la Truth...
11 Reactions
81 Replies
5K Views
Hasara ni kubwa sana, kwa mara nyingine Dunia unaenda kupata pigo kubwa kwa kukubali kuongozwa na mpumbavu. Marekani inapambana kuwa na ushawishi haswa huku Afrika ambapo china imeleta ushawishi...
4 Reactions
57 Replies
3K Views
Haiwezekani mwanaume awe ametumia miaka mingi kujenga utajiri wake, kisha mwanamke aingie kwenye ndoa, afanye madudu, na mwisho wa siku atoke na nusu ya mali za mwanaume huyo utawekwa utaratibu...
1 Reactions
1 Replies
392 Views
Hapo jana, katika eneo alipouliwa Generali Chirimwami, lililokuwa mikononi mwa SAMIRDC na MONUSCO, M23 iliwafukuza na kuwasogeza nyuma. Kundi la FDLR chini ya uongozi wa General OMEGA, na lenyewe...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
Mojawapo ya ahadi zake na pengine iliyomuongezea kura na kupata wafuasi wengi wa Sera zake, Ni ile ya kumaliza vita vya Ukraine ndani ya masaa 24 Mara tu Baada ya kuapishwa. Trump aliapishwa Jana...
2 Reactions
13 Replies
958 Views
Kwa sisi wana marekani tulioko yombo vituka tunakupongeza sana. Walambe wote kaka, waje wakaandamane kwenye nchi zao zinazo support uoaji wa mabinti wadogo wa miaka 9...
2 Reactions
0 Replies
305 Views
Kupambania Uhuru wenu na Utamaduni wenu kwenye Nchi kubwa na yenya Nguvu kama China ni swala ambalo haiwezekani .Tibet Wameshindwa na pia Taiwani na Hong Kong walio na Maendeleo kushinda Tibet nao...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Wananchi wa Palestina eneo la Gaza wameendelea kupata nafuu ya amani wakati wakirudi kwenye maeneo waliyokuwa wakiishi kote Gaza kufuatia usitishwaji wa vita kati yao na Israel vilivyodumu kwa...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom