International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Huko Marekani nako raia wategemezi wa msaada na viongozi wao Democrats wanapiga ukunga msaada wa serikali kuu ya Marekani kusitishwa. Waliothirika ni pamoja na sekta ya afya, shule za umma na...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Nchi zinazoongozwa na utawala wa kijeshi, ikiwemo Burkina Faso, Mali na Niger, zimejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Uchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (ECOWAS). Taarifa iliyotolewa na ECOWAS...
3 Reactions
9 Replies
753 Views
Jeshi la kukodiwa la kutoka Romania, wameona moto uliukuwa unatembezwa na M23 na RDF, na kuamua kujisalimisha kwa UN, ambapo, waliombewa kuingiwa Rwanda kwa mipango ya kusafirishwa na kurudi kwa...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone imefanikiwa kurejesha dola milioni 1.5 (TSh. Bilioni 3.960) kutoka kwa mfanyakazi wa benki aliyehusika na vitendo vya rushwa. Francis Ben Kaifala, Mkuu...
1 Reactions
12 Replies
916 Views
UFISADI WA ELF AQUITAINE: NJAMA ZA KIFEDHA KATI YA UFRANSA NA AFRIKA Mwaka ni Julai 1994. Mdhibiti wa masoko ya fedha wa Ufaransa ametuma ripoti yenye utata kwa Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa...
1 Reactions
2 Replies
559 Views
Trump Media is pretty much tied to Donald Trump, who owns around 57% of the company's shares. The stock's performance is heavily influenced by the former president's status. Since it began...
0 Reactions
3 Replies
520 Views
Maumivu ya uongozi wa Trump yametokana na Wamarekani wenyewe kwasababu ya kumpa Trump uraisi Maana ya kupiga kura ni kumchagua kiongozi mwenye ueledi wa kuongoza Wananchi wake Trump ameshawahi...
2 Reactions
5 Replies
580 Views
Amani iwe kwenu Nimewaza mbali sana Lakini kuwaza kwangu kote huwa sipend kabisa kuona mtu akiteseka bila sababu Mateso ya watu wa Kongo wananiumiza sana Sasa nimekuja na suluhisho moja tu...
23 Reactions
96 Replies
4K Views
Ndugu zangu... Tumekua tukishuhudia, kuona na kusikia huko Congo DRC kukiwa na vita kali kati ya M23 na majeshi matiifu ya serikali, halikadhalika M23 wakinukuliwa kuwa na silaha nzito kuliko...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Kanisa katoliki litalipa dola za kimarekani zipatazo millioni 166 kwa watu walio ingiliwa na mapadre wakati wakiwa watoto wadogo na wakiishi katika himaya za kanisa. Wengi wa watu hawa ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Following the statements of the late Peter Cirimwami, the major obstacle to fighting Rwanda came from the Kinshasa political hierarchy instructing ceasefire whenever FARDC took over the enemy. The...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
Kushinda vita siyo Nguvu,siyo silaha,Siyo technology! Kati ya kitu ambacho kinahitajika kwene mapigano yyte yale n SPIRIT /IMANI. Imani yakutoshindwa, Imani ya kutoa kila ulicho nacho kupigana...
1 Reactions
42 Replies
2K Views
Wanajeshi wa Rwanda wanawahudumia wanajeshi wa Kongo wanaokimbilia Rwanda, ambao ni majeruhi wa vita. Jana, walipewa chakula, maji, na juisi. Licha ya yote, hawaonyeshi hasira wala kinyongo kwa...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Karoline leavitt mwenye aliyeteuliwa na Trump kuwa msemaji wa Ikulu ya Marekani katika utawala wake wa awamu ya pili ameweka rekodi ya kuwa msemaji mdogo zaidi katika nafasi hiyo. Soma: Donald...
3 Reactions
11 Replies
831 Views
Kutokana na kuongezeka kwa vurugu katika jiji la Kinshasa, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Ubalozi wa Marekani huko Kinshasa umewashauri raia wake kujificha na kisha kuondoka kwa usalama...
0 Reactions
6 Replies
743 Views
Kiongozi wa Burkina Faso, Ibrahim Traoré amepiga marufuku majaji kuvaa mawigi yanayofanana na mitindo ya kikoloni ya Uingereza na Ufaransa, ikiwa ni juhudi za kuondoa athari za ukoloni kwenye...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa kile anachofanya huko Goma kwa kutumia M23 Kagame anapaswa kupongezwa sana. Nchi nyingi zimemshindwa. Zimeshindwa kumdhibiti. Huyu jamaa ni kigezo cha kupima tunapotaka chagua Rais. Unamwona...
11 Reactions
50 Replies
3K Views
Mateka waliochwa leo kutoka kwa hamas wameonekana wakiwa kwenye afya nzuri hali inayoashiria walikua sehemu salama na walikua wakiishi vizuri, tofauti na wapalestina waliochwa kutoka jela za...
12 Reactions
112 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu watu wa MUNGU Huko kinshansa kimenuka Ubalozi wa Uganda na Ufaransa wachomwa moto na vijana wenye hasira kali Wanalilaumu JESHI lao kuiacha Goma mikononi mwa M23 LONDON BOY
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza...
18 Reactions
95 Replies
8K Views
Back
Top Bottom