International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Huyu waziri mkuu wa Hungary ananikumbusha Bernard Membe alivyojiunga ACT akafanywa mgombea urais halafu akawa hafanyi kampeni anapiga ruti za Dubai tu na akagoma kujiuzulu pale chama chake...
1 Reactions
0 Replies
389 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast...
3 Reactions
13 Replies
938 Views
Wadau hamjamboni nyote? Siyo Mimi ni maneno ya Kiongozi Mkuu waasi congo kamanda nangaa alihojiwa karibuni Anasema kuwa malengo yao ya kivita yatatimia kwa kuitwaa kishansha na kuwa wamejiandaa...
0 Reactions
8 Replies
731 Views
Jasusi yupo Dar na Goma virtually akifuatilia yanayoendelea, na ataendelea kukujuza from time to time...lakini leo tuangazie mkutano wa SADC / EAC wa Dar es Salaam...
0 Reactions
8 Replies
816 Views
Kumbe serikali ya DRC ikitumia njia ya vita haiwezi kuvimaliza vita vya mashariki dhidi ya M23 bali mazungumzo, kwa sababu M23 hawapo tayari kuondoka Mashariki ya DRC kwa sababu wanaichukulia ni...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Ni dhahiri kwamba maeneo ya mipakani yanahitaji strict observation ya vyombo vya dola. Kinachotokea Goma, pamoja na mambo mengine, ni laxity katika udhibiti wa maeneo ya mipakani. Sawa, kuna wa...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Mgogoro wa Congo DR hatuhitaji mazungumzo ili kupata suluhu, Maadui wa Congo DR ni wajumbe wa huo mkutano ni wazi kuwa ni Kagame na Mseveni, Sasa hawa ndo wapo kinafiki ati wanashauri mbinu za...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Vladimir Putin is forcing wounded Russian soldiers back to battle on crutches as the Kremlin lost a staggering 48,000 troops last month alone. New images have emerged showing exhausted and...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Ethiopia ndiyo mnufaika mkubwa zaidi wa USAID barani Afrika, ikipokea msaada wa dola bilioni 1.20. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inafuatilia kwa karibu kiasi hicho cha dola bilioni 1.20...
0 Reactions
1 Replies
746 Views
Nakubalina na Kagame mikutano ya Kila siku sijui Kila mara ni upuuzi usio na msingi wakati kinachotakiwa kufanyika ni DRC iache kuwafurusha raia wake Nchi jirani Kwa visingizio visivyo n msingi...
4 Reactions
76 Replies
2K Views
Rais Donald Trump alisema Ijumaa kwamba Elon Musk na timu yake ya Idara ya Ufanisi wa Serikali (DOGE) watachunguza kwa karibu matumizi ya Pentagon ili kutafuta uwezekano wa upotevu wa fedha na...
6 Reactions
12 Replies
892 Views
Message sent to African leaders
29 Reactions
76 Replies
4K Views
Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk amekuwa Mtu wa kwanza katika historia duniani kufikisha thamani ya juu ya utajiri wa dola bilioni 400 za Kimarekani ( zaidi ya Trilioni 970 za...
5 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimeona video Kagame akiingia kwenye ukumbi uliokuwa na viongozi wengine wakuu wakimsubiria. Ameingia kibabe sana na kimamlaka, unaweza kuona viongozi wote hadi wa Congo wamemsalimia kwa tabasamu...
22 Reactions
175 Replies
7K Views
Alliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa Benki ya Credit Suisse, Tidjane Thiam ,62, ameukana uraia wake wa Ufaransa ili kutimiza masharti ya kushiriki katika uchaguzi wa urais wa Ivory Coast...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Mamia ya wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Kuuawa kwa wanajeshi hao katika...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Huyu tajiri Elon na tajiri mwenzake Trump waliovamia siasa na kuziendesha vile watakavyo wao sioni kama watakuwa na mwisho bora. Kwa siasa za China Trump asingefika hata hapa alipofika tena huyu...
5 Reactions
23 Replies
1K Views
MGOGORO PALESTINA, ISRAEL: UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Tatizo kubwa nimeliona pale ambapo viongozi wanamuogopa Paul Kagame. Kwahiyo wanagusa juu juu tu wanashindwa kwenda direct. Nathubutu kusema kuwa kilichofanyika tarehe 08 ni kama mchezo wa rede...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
This saga is extremely very continuous or in progress till when America and allies are assured that no more precious mineral are found and dug in DRC. East African presidents are crazy and surely...
1 Reactions
3 Replies
350 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…