International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

To preface…. I am not a Trump supporter. Not even slightly. But as I am not an American citizen it isn't really for me to say that he shouldn't be in power, that is the choice of the citizens of...
1 Reactions
4 Replies
579 Views
Source : DW Swahili leo mchana. Vikosi Vingi na vifaa vya kijeshi vimeonekana kuvuka mipaka ya Burundi na kuingia Congo kuungana vikosi vingine kuinyakua Goma. Tayari hayo yakijiri, jeshi...
18 Reactions
227 Replies
12K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, Jumanne alitia saini amri ya kujiondoa kwa Washington kutoka mashirika kadhaa ya Umoja wa Mataifa, yakiwemo Baraza lake la Haki za Binadamu (UNHRC), huku akianzisha...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
BREAKING: Kagame withdraws troops after SA Allegedly Threatens to Use Long Range Ballistic Missiles, Deploy Navy Seals and Commando Units President General Kagame has issued an executive order...
14 Reactions
90 Replies
6K Views
Misuguano ya hivi karibuni juu ya masula ya jinsia ilianza baada ya yanyongeza katika "Title IX" iliyoathiri Marekebisho ya sheria ya Elimu ya 1972 (Education Amendments of 1972) Nyongeza ya...
0 Reactions
1 Replies
628 Views
Waziri Mkuu wa Slovakia, Robert Fico, ametangaza mipango ya kuweka katika katiba ya nchi hiyo utambuzi wa jinsia mbili tu – mwanaume na mwanamke. Alitoa tangazo hili kupitia kipindi cha "Saturday...
2 Reactions
1 Replies
411 Views
Wadau hamjamboni nyote? #Repost @mwananchi_official —— Mwana Mfalme Rahim Al-Hussaini ameteuliwa kuwa Imam wa 50 wa madhehebu ya Ismailia kufuatia kifo cha baba yake Mtukufu Aga Khan IV, ambaye...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Prince Rahim Al-Hussaini, anayejulikana pia kama Prince Rahim Aga Khan, ametangazwa rasmi kuwa Imam wa 50 wa Waismailia wa Kishia baada ya kufunguliwa kwa wosia wa baba yake, Prince Karim Aga Khan...
1 Reactions
1 Replies
430 Views
Reports have repeatedly surfaced of Hamas weapons caches being discovered in UNRWA schools and facilities, as well as tunnels dug beneath its buildings. By Jewish Breaking News President Donald...
2 Reactions
6 Replies
539 Views
Ni rasilimali tu hakuna kingine! Wakubwa wa dunia huangalia faida kwanza kabla ya kuingia vitani! Mgogoro wa Ukraine: 3 Feb, 2025 20:36...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Kwa mujibu wa gazeti la Sunday World la Afrika Kusini, Wanajeshi wa Afrika Kusini walipambana vikali na kuwaua waasi 600 wa M23 katika mapigano makali ya saa 24 mjini Sake, Mashariki mwa Jamhuri...
26 Reactions
101 Replies
5K Views
Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yachochea uchumi wa dunia Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China ni sikukuu kubwa zaidi ya Wachina, na inaweza kuchukuliwa kama kipimo cha uchumi wa China...
2 Reactions
0 Replies
470 Views
Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kuongeza ushuru wa forodha dhidi ya bidhaa za China kwa asilimia 10, kutokana na suala la Fentanyl. China siku zote ni moja ya nchi zinazotekeleza...
1 Reactions
0 Replies
387 Views
Tetemeko kubwa la ardhi limerekodiwa kati ya visiwa vya Ugiriki vya Amorgos na Santorini, baada ya siku za mitetemeko mfululizo katika eneo hilo. Zaidi ya watu 11,000 tayari wameondoka Santorini...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Inaripotiwa kuwa, mpaka majira ya saa 5 usiku, waasi wa M23 wameshindwa kuushika mji wa Goma na wameanza kuzidiwa. Hii ni baada ya askari wa ranks za captain na Lieutenants kuoongoza vikosi vya...
30 Reactions
201 Replies
13K Views
Baada ya Trump kumpa rungu Netanyahu kwa kumpatia silaha za kila aina ili kuingamiza Gaza. Nchini Israel wameshatoa jina jipya Kwa eneo lote la Gaza baada ya kuondolewa wapalestina wote kwenda...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Mmiliki wa kampuni ya teknolojia, Elon Musk ametangaza kuwa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID) linapaswa kufa kwakuwa ni shirika la kihalifu. Musk, ambaye aliteuliwa na Rais...
13 Reactions
83 Replies
7K Views
Wakati viongozi wa DRC na Rwanda wakijipanga kuja Dar kwa mazungumzo ya kumaliza Vita Mashariki mwa DRC huku M23 “wakiiigiza” kuacha vita jana. Habari kutoka uwanja wa vita ni kuwa mapambano...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Katika zoezi linaloendelea huko mjini Goma, la kusafisha mji, shirika la msaraba mwekundu, limesema mpaka sasa zoezi la kuzika maiti zilizozagaa mjini linaendelea, na kwamba idadi ya waliokwisha...
2 Reactions
7 Replies
869 Views
Wakati nchi ya Malawi ikiamua kuondoa majeshi yake nchini Congo, kwa mission ya SAMIRDC, ya nchi a SADC; Na baada ya tangazo la M23, la kusitisha mapigano, mpaka sasa, mji wa Nyamibwe, tayari...
1 Reactions
0 Replies
532 Views
Back
Top Bottom