Kwanini kama inaonekana waafrika Kila wakati tunalalamika kuhujumiwa na wazungu hasa Marekani?
Je, Afrika tuna mkataba na Marekani/wazungu kuwa ni lazima tuwategemee wao kuthibitishwa, kiuchumi...
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amesema biashara ya kokeini inaweza kudhibitiwa kwa urahisi ikiwa dawa hiyo itahalalishwa duniani kote, kwakuwa dawa hiyo si mbaya zaidi kuliko whisky.
Katika...
Hakuna mwenye nia ya dhati ya kuikomboa Congo. Watu wanazidiana kupata maslahi siyo kuleta amani ya kweli Congo.
M23 ni jeshi ambalo wakiamua kulifuta linafutika hata kama linasaidiwa na Kagame...
Baada ya jana Trump kusaini amri ya kukata msaada kwa South Africa pamoja na kuruhusu kupewa hifadhi ya ukimbizi Marekani kwa wazungu wa Africa Kusini(Boers) anaosema wananyanyaswa na serikali ya...
Wanajeshi wa DRC wamekimbia uwanja wa mapambano na kuamua kujikabidhi kwa mahasimu wao, yani jeshi la Rwanda.
Baada ya kuona hivyo, wanajeshi mamluki zaidi ya 280 toka Romania na Ufaransa...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame amesema hajui kama wanajeshi wa nchi yake wako Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ambako mapigano kati ya kundi la waasi la M23 na wanajeshi wa Congo...
Iko wazi kuwa kweli banyamulenge wana haki ya kuwa raia wa Congo na kupata haki zao zote za msingi kama raia wa nchi hiyo.
Lakini je, inapofikia raia hawana uzalendo tena na nchi ambayo kimsingi...
Wanaukumbi,
Afisa mwandamizi wa Palestina ameieleza Newsweek maoni yake kuhusu pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kuwahamisha wakazi wote wa Ukanda wa Gaza ili kufanikisha miradi ya...
President Donald Trump has said he’s revoking Joe Biden’s security clearance and ending the daily intelligence briefings he’s receiving, in payback for Biden doing the same to him in the wake of...
Waasi wa M23 wameunda Serikali mpya nchini DRC kwa kumteua Kanali Bahati Musanga kuwa Gavana wa Jimbo la Kivu Kaskazini, manaibu Gavana wawili, Willy Manzi na Shadary Bahati, Meya wa Jiji la Goma...
USA Instructs UK to takeover Ukraine defense group military committee
Hal Turner World February 06, 2025
Americans have instructed the United Kingdom (UK) to take over leadership of Ukraine...
Baada ya Trump kuishambulia Africa Kusini kwamba inawanyanyasa raia wake wazungu, Waziri wa mambo ya nje wa Marekani America kushiriki mkutano wa G20 utakaofanyikia Africa Kusini kwa sababu na...
Tamko alilolitoa Donald Trump akiwa na Benjamin Netanyahu akisema ataichukua Gaza na kuijenga upya kwa kuwaondosha wapalestina imepelekea mshtuko mkubwa kwa viongozi wa mataifa mengi pamoja na...
Wakuu,
Huko nchini Marekani, viongozi na baadhi ya wabunge wameandamana nje ya jengo la USAID wakitaka shirika hilo lirudishwe na misaada irudi haraka sana.
Jamii Raskin ambaye ni mbunge kutoka...
Mjini Goma, raia wengi wameonyesha wasiwasi kuhusu bunduki nyingi zilizopo mikononi mwa wenzao.
Jeshi la serikali la FARDC, liliposhindwa vita, wanajeshi walitupia bunduki na risasi mtaani, ambapo...
Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana
ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori.
Shida inakuja huko kwao kuna hali...
https://x.com/BrendaMonkango/status/1888118771555938620
Pichani(video), ni gari iliyobeba chakula kwa ajili ya wanajeshi wa jeshi la serikali ya Congo,FARDC waliopata majeraha wakati wa vita na...
Mamlaka nchini Niger zimeliamuru shirika la msalaba mwekundu kusimamisha shughuli zake nchini humo na kufunga ofisi zake mara moja .Vilevile, Niger imevunja mikataba iliyoruhusu shirika hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.