Serikali ya Iran imeamua kusitisha mashambulizi ya makombora mazito dhidi ya Israel na kuaahidi kuanza upya endapo Israel itathubutu kushambulia tena Lebanon BREAKING NEWS. Iran's military...
Mahakama Kuu ya Shirikisho jijini Lagos imepiga marufuku mpango wa Bunge la Nigeria wa kutumia kiasi cha Naira bilioni 110 (takriban fedha za Nigeria) kwa ajili ya kununua magari ya kifahari na...
Trump, Mgogoro wa Uchaguzi Marekani, na Kitendawili cha Magharibi Kuitolea Afrika Mafunzo ya Demokrasia
Na Dawati la Uchambuzi wa Siasa za Kimataifa
Kwa zaidi ya nusu karne, Marekani imejiweka...
Ripoti mbalimbali za kimataifa zimedai kuwa ndani ya muda mfupi baada ya kusitishwa kwa mapigano kati ya Iran na Israel, kundi la Hezbollah lilianzisha mashambulizi dhidi ya malengo ya kijeshi ya...
Aldrich Ames, aliyekuwa afisa wa CIA kitengo cha counterintelligence afariki akiwa na miaka 84.
Huyu bwana alikamatwa na makachero wa FBI mwaka 1994 kwa tuhuma za kuuza siri za shirika la CIA kwa...
Niaje waungwa
Iran huwa hailali na deni, ikiahidi inalipa kwa muda sahihi. Leo hii wanajeshi wa Marekani hawatolala kwenye kambi zao kamwe.
Njia nyingine ya bahari ya Bab el Mandeb kufungwa, na...
Msemaji wa Houthi wa Yemen, Yahya Saree:
Tunatangaza marufuku kamili na kamili ya urambazaji wa baharini wa Israeli katika Bahari Nyekundu, na tunaona harakati zote za adui kuwa malengo halali ya...
Raia wa Israeli,
Mwaka mmoja uliopita, tulizindua shambulio la kihistoria dhidi ya nia ya Iran ya kutuangamiza kwa mabomu ya atomiki.
Tuliondoa tishio hilo la haraka, na pia tulimwangamiza...
Pichani ni kombora la Iran lililoanguka katika eneo la Judea kaskazini mwa Israel ambapo halikufanikiwa kulipuka
Makombora ya Iran pamoja na kufika anga la Israel ila mengi hushindwa kulipuka...
Hawa Waisrael wameshindikana... Hawataki kabisa Iran kupoe. Jamaa wanaona kama Iran ni sehemu yao ya kujipimia ubavu.
Hivi ingekuwa ni Taifa kubwa ingelifanyia hivi kweli?
Sajil-2: Kombora hatari la Iran linalofika Israel kwa 'dakika 7'
Chanzo cha picha: Getty Images
Maelezo ya picha: Jaribio la kwanza la mafanikio la kombora hili lilifanyika mwaka 2008
Mzozo wa...
Km Trump asingekuwa mwoga wa Vita utawala wa kigaidi wa Iran ungeshaanguka mpaka Sasa
Sasa Trump anapigana Vita vya sitaki nataka
Iran ikipokea kipigo kidogo tu ikiomba ceasefire naye anajaa...
Wanakumbi.
Iran yalipiza kisasi kwa makombora makubwa kufuatia mashambulizi ya anga ya Israeli dhidi ya Tehran na Isfahan
——
Kufuatia mashambulizi ya anga ya Israeli yaliyotangulia alfajiri ya...
Dini ni sehemu kubwa sana ya maisha ya mwanadamu. Katika jamii zetu nyingi za Kiafrika, mtoto anapozaliwa tu, huanza kufundishwa misingi ya imani ya wazazi wake. Lakini je, ushawahi kujiuliza...
Israel inaishambulia Iran muda huu kama kujibu mashumbulizi ya iran ambapo, chombo Cha habari cha Israel cha chanel 14 kimeripoti kuwa milipuko ya mabomu imesikika muda huu nchini Iran katika jiji...
Tangu mwendo wa saa 10 asubuhi ya leo, Israel ilishambulia Hezbollah kusini mwa Lebanon kama ifuatavyo:
● Mashambulizi ya angani ya ndege za kivita au ndege zisizo na rubani: Al-Mansouri, Deir...
Serikali ya Marekani imetangaza vikwazo vya visa dhidi ya zaidi ya maafisa 100 wa Nicaragua na familia zao kufuatia kifo cha Brooklyn Rivera, kiongozi wa kiasili wa watu wa Miskito aliyekuwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki, Mustafa Çiftçi, amesema kwenye mkutano wa chama chake tawala kwamba ipo siku Uturuki itaikomboa mji wa Yerusalemu.
Akizungumza kwenye mkutano wa chama tawala...
Baada ya Iran kuishambulia Israel usoku kuamkia leo na IDF kujibu mapigo sawasawa Iran imebwaga manyanya kwa kutangaza haitaishambulia tena Israel kama Israel nayo haitawashambulia magaidi hao...
Ilikuwa ni miaka ya 90 kuelekea 2000. Pale Liberia kulikuwa na Rais mmoja mbabe sana, anaitwa Charles Taylor. Huyu jamaa alikuwa haambiliki, alikuwa anafadhili vita vya Sierra Leone wapigane...