International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tokea vita kati ya Israel na Marekani Vs Iran vianze, bei ya mafuta imezidi kupanda, na kuzinufaisha nchi wazalishaji wa mafuta. Lakini mambo ni tofauti kabisa kwa Iran iliyo chini ya vikwazo vya...
3 Reactions
39 Replies
719 Views
  • Featured
Rubani wa zamani wa shirika la ndege la Air Canada, Geoffrey Wall mwenye umri wa miaka 59) ameshtakiwa na polisi kwa kufanya kazi kama Kapteni wa ndege kwa miaka 16 bila kuwa na leseni sahihi...
1 Reactions
11 Replies
747 Views
Uislamu ulivyoleta majanga Ulaya na Marekani⚠️ Msudani mmoja mwenye umri wa miaka 30 alikamatwa kwa jaribio la mauaji baada ya shambulio la kinyama la kisu kaskazini mwa Belfast ambalo lilimwacha...
7 Reactions
49 Replies
943 Views
Mwanajeshi Nazar Dalestskyi alipotea wakati wa shambulizi zito la Urusi huko Donbas mapema 2022 na kuhofiwa kufa, Ndugu walipewa taarifa na kufanya mazishi ya mpendwa wao baada ya vinasaba vya...
7 Reactions
17 Replies
404 Views
Mapema leo asubuhi Jeshi la Mapinduzi la Kiislamu la Iran limeshambulia kambi za kijeshi za Marekani zilizopo Jordan, Bahrain na Kuwait kwa makombora ya balistiki ya masafa mafupi(Bahrain, Kuwait)...
1 Reactions
13 Replies
473 Views
Tangu asubuhi, Israel ilishambulia Hezbollah kusini mwa Lebanon kama ifuatavyo: Mashambulizi ya anga: Bnaafoul, Nabatieh al-Fawqa, Kfar Remen, Aadchit, Kfar Dounine, Teir Debba, Sadiqine...
2 Reactions
7 Replies
154 Views
Wanaukumbi. Siku moja baada ya Iran na Israel kufanya mashambulizi ya kijeshi dhidi ya kila mmoja, Donald Trump alizungumza na vyombo vya habari kwa kina kuhusu juhudi zake za kujaribu kusitisha...
6 Reactions
52 Replies
758 Views
Wahanga 12 wa vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan wamewasilisha malalamiko ya kihistoria ya jinai nchini Kenya, wakiwashutumu wanachama wa kundi la RSF kwa kutenda uhalifu wa kivita na...
0 Reactions
0 Replies
77 Views
Hali si shwari kabisa huko Mashariki ya Kati, hususan kwenye mvutano kati ya Marekani, Israel, na Iran. Kwa wale ambao wamekuwa wakifuatilia, huenda mnajua kuwa kulikuwa na usitishaji vita...
4 Reactions
11 Replies
468 Views
At least 12 people have been killed and nine others injured after heavily armed gunmen opened fire in an informal settlement in Johannesburg, South Africa, police said on Wednesday. The attack...
1 Reactions
1 Replies
124 Views
It started on an ordinary evening in London, 1947. A young African prince walked into a dance hall. He wasn't supposed to fall in love that night. He was supposed to finish law school, go home to...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
🇮🇱 BREAKING: MADAKTARI WA ISRAEL WAMFANYIA UPASUAJI MTOTO HUKU AKIWA BADO TUMBONI KWA MAMA YAKE. Akiwa na ujauzito wa wiki 25 tu, uchunguzi wa kawaida ulibaini kuwa uvimbe adimu ulikuwa...
10 Reactions
16 Replies
401 Views
Gazeti la New York Times hivi karibuni limetoa ripoti ikisema, mwamuzi wa Kombe la Dunia la mwaka 2026 ambaye ni raia wa Somalia Omar Artan, amekataliwa kuingia nchini Marekani. Artan alikuwa...
0 Reactions
5 Replies
199 Views
  • Redirect
Karim Khan, mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) huko The Hague, amesimamishwa kazi akisubiri kura ya mwisho kutoka kwa nchi 125 wanachama wa mahakama hiyo, kufuatia...
0 Reactions
Replies
Views
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz: Hali hiyo inatumika kwa kitongoji cha Dahieh huko Beirut kama ilivyo kwa miji ya kaskazini [nchini Israeli]. Shambulio lolote dhidi ya miji ya kaskazini...
5 Reactions
14 Replies
305 Views
Juzi Iran iliishambulia Israel ikidai ni kutokana na kitendo cha Israel kuendelea Kuwashambulia Hezbollah huko Lebanon. Baada ya shambulio la Iran nchini Israel, Rais Trump alimsihi Netanyahu...
3 Reactions
16 Replies
375 Views
ELIMINATED: General commander of IRGC Islamic force Ahmad Vahidi has been eliminated by the Israeli Defense Forces. He threatened to teach America a lesson that they will not forget, he said that...
6 Reactions
16 Replies
587 Views
Serikali ya Iran imeamua kusitisha mashambulizi ya makombora mazito dhidi ya Israel na kuaahidi kuanza upya endapo Israel itathubutu kushambulia tena Lebanon BREAKING NEWS. Iran's military...
1 Reactions
33 Replies
673 Views
  • Featured
Mahakama Kuu ya Shirikisho jijini Lagos imepiga marufuku mpango wa Bunge la Nigeria wa kutumia kiasi cha Naira bilioni 110 (takriban fedha za Nigeria) kwa ajili ya kununua magari ya kifahari na...
6 Reactions
13 Replies
500 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…