Wakuu,
Polisi wamesema shambulio hilo lilitokea katika kituo cha basi na treni siku ya Jumatatu, ambapo "mshukiwa alidungwa risasi na mlinzi wa usalama na raia aliyekuwepo eneo hilo."
Taarifa ya...
Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake...
Wanaukumbi
Maelfu ya waandamanaji katika miji mbalimbali ya Israeli wametaka usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas uendelee na mateka zaidi waachiliwe.
Kadiri hatua ya kwanza ya...
Wakuu,
Baada ya Trump kuonekana kuanza kuringaringa na kumnyanyasa Ukraine, Uingereza imeamua kuuvaa wenyewe huu ugomvi.
Akiwa anaongea hivi karibuni, Starmer amesema kuwa ukiachana na Euro...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana wakati analihutubia bunge la KNESSET alitoa kalipio kali kwa magaidi wa Hamas na akasisitiza kuwa wasicheze na moto maana watapata kipigo ambacho...
Waziri wa Ulinzi Israel Katz:
"Licha ya shirika la kigaidi la Hamas kukiuka mara kwa mara na kukataa kwake mipango uliotolewa na mjumbe maalum wa Rais Trump katika Mashariki ya Kati Witkoff...
Ili kuwa Muisrael njia kuu na ya Uhakika zaidi kwanza ni wewe kuwa Myahudi.
Kuna njia kuu mbili za kuwa Myahudi
1) Kutokana na uzao, yaani Mama yako awe myahudi. Haijalishi wewe ni atheist, au...
Rais wa Marekani, Donald Trump amehutubia Congress na amesema Rais wa Ukraine, Volodymyr Oleksandrovych Zelenskyy amemuandikia barua na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo kuhusu kusaini...
04 March 2025
Kigali, Rwanda
Marekani yamfukuza mfungwa wa Mauaji ya Kimbari ya Rwanda Ahmed Napoleon Mbonyunkiza
2025-03-04
Mamlaka ya Kitaifa ya Mashtaka ya Umma (NPPA) nchini Rwanda mnamo...
Nilikuwa namsikiliza new German chancellor akizungumza baada ya kuchaguliwa alisema "It's high time european nations should get indepence from us"
Najiuliza. Je, wataweza?
UTANGULIZI:
Mwaka 2003 Marekani ilivamia Iraq kimabavu na kumuondoa raisi wa nchi hiyo.
Mataifa mengi ya Ulaya yalimuunga mkono Marekani kwamba anapambana na serikali dhalimu inayohifadhi magaidi...
In the quiet village of Kibaya, within the sprawling plains of Kiteto District, a young girl named Asha Gitani Benard once sat in her school uniform, full of dreams and ambition. As a member of...
Baada yakusitisha kwa mwezi mmoja, Trump kasema Canada na Mexico hawajafanya lolote kuboresha hali ya mipakani. Basi ushuru wa 25 percent kwa bidhaa kutoka Canada na Mexico umeanza kufanya kazi...
Kati wa watu wanaothamini sana uhai wa watu wao hapa duniani ni Israel. Ikitokea raia wa Israel au Mwanajeshi wa Israel amefariki kwenye mapigano au tukio lolote lile la Kigaidi haijalishi...
Rais Donald Trump ameagiza kusitishwa kwa usafirishaji wa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine baada ya mvutano mkali kati yake na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, wiki iliyopita katika...
Mheshimiwa Mélanie Joly, Waziri wa Mambo ya Nje; Mheshimiwa Ahmed Hussen, Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa; na Mheshimiwa Mary Ng, Waziri wa Ukuzaji wa Mauzo ya Nje, Biashara ya Kimataifa na...
Kiongozi wa kijeshi wa Gabon, Jenerali Brice Oligui Nguema, ametangazia nia yake ya kugombea urais katika uchaguzi ujao wa mwezi ujao (April, 2025).
Nguema alishika madaraka mwaka 2023 kupitia...
Umoja wa Mataifa(UN) yamfukuza Nderitu(Faizafoxy wa Kenya) kwa kukataa kuainisha tabia ya Israel huko Gaza kama 'mauaji ya halaiki,' WSJ inahoji.
Upinzani wa Nderitu kutaja vitendo vya Israel...
Israel ni taifa lenye usiri na utata mkubwa,kutoka kwenye kuanzishwa kwake,watu waliolikaa zamani na wanaolikalia kwa sasa.Historia inatuambia kuwa taifa la Israel lilianzishwa mwaka 1948,lakini...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky anasema mgongano wake na Rais wa Marekani Donald Trump wiki iliyopita ulikuwa wa "majuto," kwamba yuko tayari kufanya kazi chini ya...