Baada ya anguko kubwa la mauzo na hisa za magari ya kampuni ya Tesla inayomilikiwa kwa hisa nyingi na kuongozwa Elon Musk, Rais wa Marekani Trump ameingia mzigoni akitumia ofisi ya Ikulu ya US...
Taarifa kutoka kwa mjumbe wa Marekani aliyefanya mazungumzo ya moja kwa moja na Hamas, ameeleza kuwa Hamas wametamka kuwa wapo tayari kuingia kwenye makubaliano ya kusitisha vita kwa kipindi kati...
Nakumbuka yalikuwa yamepamba moto, kila chombo cha habari kinawazungumzia wao tu; pamoja na kuonyesha harakati zao katika kuikomboa kongo.
Lakini kwa sasa, naona kuna kimya kingi; au...
Makubaliano yamefikiwa baina ya serikali mpya ya Syria na kundi la kikurdi la SDF ili kulijenga upya taifa lao ambalo limekumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa zaidi ya miaka 14.
Kundi hilo...
Huko Kivu kasikazini, vita kati ya jeshi la serikali na kundi la M23 vinaendelea.
Leo hii,tarehe 9 Machi 2025, limekabwa eneo la Nyabyondo. Eneo hili lipo karibu na jimbo la Walikale. Ikumbukwe...
Ile habari ya kifo cha boss wa hezbolla ni habari mbaya na ya kusikitisha sana ila lazima ifike kipindi waarabu wajue ukweli sasa.
Ni muda sasa wa kuacha kupeleka watoto wa madrassa...
Walianza kwa kiburi na jeuri lakini muda huu barua zinajazana white house zikiishia na “wako mtiifu”
Ni wiki 2 tu tangu aapishwe ila mambo yanavyoendelea utadhani yupo mwaka wa tatu
COLOMBIA...
Mlishangilia kuondolewa kwa Assad sasa wakristo wanauliwa kama kuku Syria
Kuna watu humu walifurahia kuangushwa kwa Assad, walisherehekea sana
Walidai assad ni gaidi anayeungwa mkono na Iran...
Salaam wakuu.
Rais Donld trump wa marekani yupo kasi sana,anaunadi ukubwa wa taifa lake,anatamani kuwa na mamlaka mbele ya wenye mamlaka wenzie na anatumia nguvu na hadaa kuwaongoza viongozi wa...
Wakuu,
Marekani hivi karibuni imetangaza kwamba iko tayari kw mazungumzo kufuatia ofa ya Rais wa Congo Felix Tshekedi la kuipa Marekani madini mbalimbli ili Marekani iweze kuisadia Congo...
Huawei wanakuja na surprise package kwenye upande wa semiconductor kwa kuja na mashine yao ya EUV.
Hii kitu inaenda kuua monopoly ya ASML na TSMC. Taiwan, Netherlands na U.S.A wanaenda kupata...
Taifa la kimarekani U.S.A ni taifa lenye nguvu duniani kiuchumi na kijeshi hivyo ndo walivyotuaminisha kwa kutumia vyombo vyao vya habari. Watuaminisha hivyo, ila kiuhalisia sio kweli. Nasema...
Mambo tunayoyashuhudia mashariki ya kati ,Ulaya na Asia ni dalili tosha kuwa binadamu akipanga na Mungu anakuwa na mpango wake ulio bora zaidi ambao umejificha.
Kwa wingi wa silaha walizonazo...
Waasi wa Houthi nchini Yemen wameipa Israel makataa ya siku nne kuondoa vikwazo vya chakula, dawa, na misaada kuelekea Gaza, wakitishia kurejea mashambulizi yao ya baharini iwapo hatua hiyo...
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Ukraine baada ya majeshi ya Urusi kuanza kuchukua udhibiti wa maeneo yaliyo Kursk ambayo yalikuwa yanadhibitiwa na Ukraine tangu Agosti 2024.
Russia ilifyatua...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Eti ndugu zangu watanzania;
Jeshi la anga...
Wabunge wa Democratic wanasema AID iliwekwa na Bunge kwa hiyo Elon Musk hana mamlaka ya kuiondoa AID.
Kama Trump anataka kuifuta AID alete muswada Congress atuombe ruhusa.
Lakini AID haiwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.