International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

IDF imewaangamiza makamanda wa polisi wa Gaza Murid Farjallah na naibu wake Yunus al-Masraf kufuatia shambulio dhidi ya vikosi vya usalama huko Deir al-Balah, katikati mwa Gaza.
5 Reactions
19 Replies
686 Views
Baada ya uongozi wa Trump jana kutangaza kuongeza tariffs kwa mataifa mbalimbali dunia kutia ndani China, leo pia China nayo imetangaza kuongeza tariffs kwa 34% kwa bidhaa zote za Marekani...
9 Reactions
74 Replies
4K Views
Kwenye mkutano wa viongozi wakuu wa majeshi ya nchi wanachama wa SADC, huko Goma, Serena Hotel, badhi ya makubaliano yamefikiwa, ikiwa ni pamoja na haya: -AFC/M23 kusaidia majeshi ya SADC...
13 Reactions
107 Replies
5K Views
Libya yahofia 'njama kubwa' za kuigeuza asilia ya taifa Libya, iwe nchi ya Waafrika weusi wengi. Libya yapiga marufuku mashirika yasiyo ya kiserikali ya kigeni yanayoshutumiwa kutaka 'kuwapa...
3 Reactions
10 Replies
725 Views
Vikosi vya Israel vimemuangamiza Mohammed Saleh Mohammed Al-Bardawil, Mpiga propaganda wa Hamas na mgaidi wa kisaikolojia. Bardawil alikuwa akifanya kazi katika kutengeneza video za kizushi za...
4 Reactions
16 Replies
855 Views
Kuna wahamiaji halali huko Marekani inadaiwa wamechanganywa kimakosa na wengine wanaodaiwa kuwa ni wahamiaji haramu wakatupwa geza la watu watukutu zaidi wa magenge ya uhalifu huko El Salvador...
4 Reactions
10 Replies
698 Views
Iran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi. Gazeti...
9 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakuu, Inaonekana Marekani imeipokea ofa ya Rais wa Congo wa kuipa madini Marekani in exchange ya kupambana na M23 Mshauri mwandamizi wa Rais Donald Trump, Massad Boulos, amethibitisha kuwa...
1 Reactions
38 Replies
2K Views
Binadamu ni wanyama tu kama wanyama wengine. Tuache kuwacheka nyumbu wengi wakifurumushwa na simba mmoja. Historia fupi hadi tumefika hapa: US ameanza kuisumbua dunia mara tu baada ya vita kuu ya...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Suppose, china and his allies and the world in general wakimsusia USA anaweza ku survive peke yake? 1. Industrial products zake ataziuza wapi? 2. Raw materials za viwanda vyake atazipata wapi? 3...
11 Reactions
182 Replies
6K Views
TRUMP KAWA SUPERHERO (TARIFFMAN!) Ukiingia tu kwenye 18 zake unatwangwa na silaha ya maangamizi iitwayo 'TARIFFS' (sio FUTARI) ... HE HAS WEAPONIZED TARIFFS! :cool:
2 Reactions
2 Replies
389 Views
Mahakama ya Katiba ya Korea Kusini imeidhinisha kwa kauli moja kuondolewa madarakani kwa Rais Yoon Suk Yeol baada ya kumkuta na hatia ya kukiuka katiba kwa kutangaza sheria ya kijeshi mnamo...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Wakuu, China imetangaza ushuru wa asilimia 34 kwa bidhaa zote kutoka Marekani, ikiwa nchi ya kwanza kujibu hatua ya Rais wa Marekani, Donald Trump, ya kutoza ushuru mpya kwa bidhaa zinazoagizwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Baada ya China kujibu mapigo kwa nyongeza ya ushuru wa 15% kwa bidhaa za kimarekani baada ya serikali ya Donald Trump kuiwekea ushuru kwa bidhaa za China zinazo ingia marekani athari za majibizano...
5 Reactions
10 Replies
886 Views
DRC wana vikundi tele vidogovidogo dizaini ya M23 vingi vikitumia maaskari watoto. Kila kikundi utasikia wana Jenero wao. Hivi hawa majenero wanasomea wapi hadi wanafuzu kupata huo ujenero au...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwanzoni Israel ilitaja sababu kibao kama ndio lengo la kuingia Gaza na ikaungwa mkono na US na UK na mataifa mengine dhaifu ya Ulaya. Nyoyoni mwao walikuwa wana mengi waliyoyaficha. Hatimae...
4 Reactions
14 Replies
644 Views
Kasi ya kuuliwa wapalestina na kuvunjiwa utu wao imeongezeka sana huko Gaza. Kazi hiyo kwa sasa imekuwa nyepesi kwa mayahudi kuifanya kwani Hamas ambao ndio waliokuwa watetezi wamedhoofika...
5 Reactions
25 Replies
1K Views
Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya...
16 Reactions
164 Replies
11K Views
Ukiangalia Al Jazeera news broadcast, kinachofanyika Gaza na Israel, hii ni exterminate war. You clear each and everything in your vicinity, ndicho anachofanya Israel. Dunia imenyamaza, waarabu...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Wanatishia kutushambulia jambo ambalo tunafikiri halitotokea,lakini endapo wakitenda ubaya wowote hakika watakutana na majibu makali "-Ayatollah khamenei Na kama wanatarajia kutengeneza...
3 Reactions
19 Replies
995 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…