International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakuu, Huko nchini Ghana, mlinzi wa Rais anayemaliza muda wake Nana Akufo-Addo amezua taharuki baada ya kuzimia na kukata moto wakati Rais huyo anahutubia. Jarida la Punch, limedokeza kuwa...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Trump bwana kawakalia kooni kweli kweli wachina. Inavyoonekana ana lala na kuwaota wachina kila siku, hii hapa ni baada ya China kutangaza nyongeza ya asilimia 34% kwa ushuru kwa bidhaa zote za...
14 Reactions
47 Replies
3K Views
Iranian president sacks deputy for 'lavish' Antarctic cruise Malu Cursino BBC News Tasnim News Agency State media released a picture of Shahram Dabiri and his wife, superimposing a marker on the...
0 Reactions
10 Replies
785 Views
Wakuu mimi sio mchumi ila nimeumia akili za kawaida Wakati wa utawala wa Clinton kulianzishwa ushirikiano kitu kinaitwa Goa yaani ushirikiano wa USA na nchi zinazoinukia kiuchumi za africa na...
10 Reactions
20 Replies
1K Views
IDF ilitoa matokeo ya awali kutoka kwa uchunguzi wake kuhusu mauaji ya waokoaji 15 huko Rafah mnamo Machi 23, ikisema kuwa wanajeshi walifyatua risasi kwa makosa msafara wa ambulensi, wakiamini...
1 Reactions
2 Replies
256 Views
Wakati wa kulinganisha sababu na athari za ununuzi wa ardhi na UAE katika nchi za Afrika kama Tanzania, ni muhimu kuangalia motisha na matokeo ya muda mfupi na mrefu. Hapa kuna sababu kuu na...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Raisi wa Lebanon na waziri wake mkuu wote wamekuwa wakali dhidi ya nja za Marekani na Israel kuwalazimisha kufanya mambo ambayo hayana maslahi na taifa. Kwanza ni kuhadaiwa kurejesha uhusiano na...
1 Reactions
4 Replies
527 Views
Waziri mkuu wa israel, netanyahu,ameitisha kikao cha kujadili upanuzi wa ushawishi wa uturuki ndani ya syria mpya baada ya Assad Watawala wapya wa Syria waligeukia msaada wa kiusalama kea uturuki...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Duru za pande hasimu nchini Kongo zimesema serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na waasi wa M23 wanajiandaa kwa mazungumzo ya ana kwa ana April 9. Wizara ya mambo ya kigeni ya Marekani...
1 Reactions
3 Replies
500 Views
Trump bwana ana vituko kweli kweli anataka kumuendesha bwana Jerome Powell. This would be a PERFECT time for Fed Chairman Jerome Powell to cut Interest Rates. He is always “late,” but he could...
0 Reactions
8 Replies
646 Views
Sarafu ya Iran yashuka hadi kufikia kiwango cha chini dhidi ya dola ya Marekani huku mvutano ukiongezeka. Sarafu ya Rial ya Iran iliuzwa Jumamosi kwa rekodi ya chini dhidi ya dola ya Marekani...
0 Reactions
4 Replies
395 Views
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imeondoa hitajio la visa kwa Raia wa Tanzania...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Trump anazidi kuwaumbua Wapinzani wanaodanganya watu kwamba Rais wetu ana madaraka makubwa. Huyu wa Nchi kubwa ya Kidemokrasia mbona nae ana madaraka makubwa kuliko Hadi wa kwetu? Ikumbukwe Trump...
3 Reactions
75 Replies
3K Views
Maadui wa Israeli hawako salama popote. Kiongozi wa Namba 1 wa Hamas, Sinwar, aliangamizwa Gaza 🇵🇸. Kiongozi wa namba 2 wa Hamas, Haniyeh, aliangamizwa Iran 🇮🇷. Kiongozi nambari 1 wa Hezbollah...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Klaus Schwab, mwanzilishi wa Jukwaa la Uchumi Duniani, amefahamisha wafanyakazi na wadhamini kwamba atajiuzulu wadhifa wake wa uenyekiti. Baada ya kuongoza Jukwaa kwa miongo mitano na kuunda...
1 Reactions
3 Replies
426 Views
Mamlaka nchini Burkina Faso zinamshikilia mwanachama wa asasi ya kiraia kwa kosa la kukosoa utawala wa kijeshi wa Kapteni Ibrahim Traore. Katika taarifa yake ya Aprili 4, 2025, asasi hiyo iitwayo...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Mohammed Awad aliingia Nir Oz mara kadhaa tarehe 7 Oktoba. Alikuwa mmoja wa viongozi wa mauaji hayo na inaonekana alihusika katika utekaji nyara na mauaji ya kikatili ya Shiri, Ariel, na Kfir...
3 Reactions
12 Replies
856 Views
Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amedai nchi haiwezi kupata maendeleo ikiwa katika mfumo wa demokrasia. Kapteni Traore alitoa kauli hiyo mnamo Jumatatu ya tarehe 1 April...
43 Reactions
406 Replies
13K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ameitangaza na kuionesha rasmi kadi ya gold (Gold Card au Trump Card) yenye sura ya Trump ambayo itagharimu USD milioni 5 (Tsh. bilioni 13.375) ambapo Mtu...
2 Reactions
2 Replies
432 Views
Habari za uhakika Handaki lenye urefu wa kilomita moja limeangamizwa na majeshi ya Israel huko Gaza. Magaidi wa Hamas wanaendelea kupoteza maeneo kila kukicha. Mahandaki huko Gaza ndiyo maficho ya...
12 Reactions
66 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…