Sitaki kuandika juu ya sababu za kumsimamisha, my concern is the Idependncy of the Judiciary!
Ghana president suspends chief justice in unprecedented move
Rais wa Ghana, John Mahama...
Uganda inaipita Tanzania katika Pato la Taifa kwa kila mtu, na hivyo kuimarisha nafasi yake kama mojawapo ya nchi zinazokua kwa kasi kiuchumi za Afrika Mashariki, kulingana na uchambuzi wa hivi...
Kazi kwenu Bwana Utam, STRUGGLE MAN, nk
-----
Rais Xi Jinping wa China amewataka viongozi kuongeza juhudi katika kanuni ya kuoanisha Uislamu katika mwelekeo na dini za nchi hiyo ili kuendana na...
Rais wa Marekani, Donald Trump, siku ya Alhamisi alitoa ishara ya uwezekano wa kumalizika kwa ongezeko la ushuru wa forodha kati ya Marekani na China, ongezeko ambalo limeyumbisha masoko ya fedha...
Kanisa katoliki tangu hapo limekumbwa na kashfa kubwa sana ndani ya uongozi wake wa juu na ndani ya makao yake makuu.Hata mapapa wawili waliotangulia wametajwa kuhusika kuyapa kipaumbele baadhi ya...
Baada ya serikali ya Doha, kuanzisha njia ya upatanishi kati ya kundi la AFC/M23 na serikali ya DRC, serikali ya Qatar na USA waliiomba M23 kurudi nyuma na kuachia eneo la Walikale, ambalo lina...
Katika karne ya 20, Marekani iliongoza ulimwengu katika uzalishaji wa viwandani. Viwanda vya Marekani vilikuwa injini ya uchumi, vikachangia ustawi wa tabaka la kati nchini Marekani, na vikawa...
KIPONDO CHA NGUVU 🔴
Kamanda wa Hezbollah Ali Kaid Hashem katika kijiji cha Khania, kusini mwa Lebanon. Kakoswa na kombola la kwanza kaamua kukimbia lakini akakutana na bomu la pili ambalo...
Shambulio lisilotegemewa limefanywa kaskazini ya Israel likihusishwa na wanamgambo wa Houth kutoka Yemen.
Wakazi wa miji ya Haifa na Krayot pamoja na miji ya jirani wanasema walishtushwa na sauti...
Kwa kujiamini kukubwa Israel imekuwa ikichokoza na kupiga kila kona bila kuhisi kwamba inajichimbia kaburi lake.
Kiburi hicho kinatokana na misaada inayopata kutoka Marekani bila kuona ukweli kuwa...
- Stalin's daughter - lived and died in the United States for decades.
- Khrushchev's son is a US citizen.
- Where are Putin's daughters? They are not seen in Russia.
— Deputy Pekhtin. With...
Katika hali isiyo ya kawaida,
kama Uongozi wa SADC ulivyokuwa umekubaliwa na nchi ya Rwanda, kuwarahisishia wanajeshi wa umoja huo, kuondoka mashariki mwa DRC, kupitia mipaka ya Rwanda, huku...
Standard ya kupima GDP kati ya China na Marekami ni tofauti
GDP ya China inatumia mfumo wa production au productive sectors. China wanaangalia hasa total output ya kila economic dept kama...
Huko India katika eneo mojawapo la kitalii Pahalgam, Jammu katika jimbo la Kashmir limepigwa shambuli baya la magaidi na kuua watu zaidi ya 24.
Narendra Modi aliyekuwa na ziara yake Saudi Arabia...
Nchini Japani, watafiti wamegundua mbinu rahisi na rafiki kwa mazingira ya kuwalinda ng’ombe dhidi ya kung’atwa na wadudu: kuwachora kwa mistari myeusi na meupe kama ya pundamilia.
Utafiti wao...
Rais wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amezindua kiwanda cha kusindika nyanya kilichopo katika mji wa Bobo-Dioulasso.
Uzinduzi wa kiwanda hicho umefanyika leo tarehe 30 Novemba 2024 ...
Mkuu wa Majeshi wa Israel nchini Syria: "Tunashikilia nyadhifa muhimu na tuko kwenye mstari wa mbele kujilinda vyema iwezekanavyo."
Mkuu wa Majeshi wa Eyal Zamir alifanya tathmini ya hali kwenye...
Papa Francis amesema kuwa yuko tayari kuwa mpatanishi katika mazungumzo kati ya Rais Nicolas Maduro na kiongozi wa upinzani, Juan Guaido, ikitokea pande zote mbili kuomba kupatanishwa.
Aliyasema...
IDF yamuua gaidi mkuu wa Jama'a Islamiya nchini Lebanon.
IDF imemuua Hussein Izzat Mohammad Atwi, gaidi mkuu katika kundi la kigaidi la Jama'a Islamiya lenye mfungamano na Hamas, wakati wa mgomo...
Kampuni hizi zinasema kuwa zinawekeza zaidi katika uzalishaji bidhaa nchini Marekani huku ushuru (Tariffs) unapoanza kutumika.
Tangu kuanza kwa muhula wa pili wa rais Trump, mashirika kadhaa...