International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mpaka tutaongea lugha moja A warehouse in Meymeh City, Isfahan, has exploded, reportedly resulting in the death of one person and leaving two more injured, Iranian media reported Tuesday. The...
1 Reactions
2 Replies
606 Views
Tukio lisilo la kawaida limetokea leo huko Beirut, Lebanon, wakati ndege ya usafirishaji ya jeshi la China - Xi'an Y-20A mali ya Jeshi la Anga la People's Liberation Army (PLAAF) - ilitua kwenye...
2 Reactions
10 Replies
720 Views
Wanaukumbi. BREAKING: Al-Qassam Brigades: Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun...
3 Reactions
101 Replies
3K Views
Vyanzo vya Iran: Mlipuko ulitokea leo asubuhi saa 10:30 asubuhi kwa saa za Iran katika ghala la kampuni ya Avanar Parsian katika Mkoa wa Isfahan. Kampuni hii inatengeneza UAV na vilipuzi na...
2 Reactions
3 Replies
500 Views
Houth walikubali kupokea kipigo kutoka kwa ndege za Marekani na jumla ya watu 59 kufa. Asubuhi yake na wao wakatangaza kuzirushia makombora 18 na droni meli za kivita za Marekani zilizokuwa karibu...
2 Reactions
3 Replies
695 Views
Idara ya usalama ya Burkina Faso ANR ndio Bora kuliko idara za usalama Africa. Idara Hiyo chini ya bwana mdogo the son of Africa Ibrahim Traure imeweza kuzuia mapinduzi dhidi ya Traoure Kwa...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Kiongozi mkuu wa kiinjilisti: Iran imecheza na viongozi wa Marekani kama kitendawili "Ama Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha mpango wake wa nyuklia kwa hiari, au ulimwengu huru utawasaidia...
1 Reactions
2 Replies
553 Views
Sheikh Mohammed Jaber Awad, gavana mteule wa Houthi wa jimbo la Saada, ameangamizwa katika shambulio la Wanamaji wa Marekani.
1 Reactions
14 Replies
788 Views
Baada ya Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol kutangaza amri ya utawala wa sheria ya jeshi wanajeshi waliopaswa kutekeleza amri hiyo walionekena walegevu sana, walichukua muda mrefu mno na kujivuta...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Mzozo kati ya mataifa hayo mawili yenye nguvu za nyuklia, India na Pakistan, unafikia kiwango kibaya sana baada ya India kuikatia maji ambayo ni mhimu sana katika nchi hiyo Naibu Waziri Mkuu wa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
wakati Iran inahangaika na milipuko ya moto huko Bandar Abbas usiku wa kuamkia leo mjini Tehran kumę tokena milipuko miwili mikubwa ya moto chanzo cha milipuko hiyo bado haijajulikana moto...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Mkuu wa Shin Bet Ronen Bar anatangaza kwamba atajiuzulu kutoka wadhifa wake mnamo Juni 15, akitaja jukumu la kibinafsi kwa shirika hilo kushindwa kuzuia shambulio la Oktoba 7 la Hamas...
0 Reactions
3 Replies
408 Views
Vita baina ya India na Pakistan vimetabiriwa kutoepukika kufuatia mauwaji ya kigaidi yaliyofanywa Kashmir. Aina ya watu wanaoitwa watalii waliouliwa na muda na namna tukio lilivyotokea limeelezwa...
14 Reactions
68 Replies
3K Views
Serikali ya Burkina Faso inayoongozwa na Kapteni Ibrahim Traore inatarajia kununua mabasi 500 kwa ajili ya kurahisisha usafiri na kuondoa adha wapatayo wanafunzi hasa waishio maeneo ya mijini...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha! Ayatollah ahofia pengine ni hujuma za maadui mlipuko mkubwa bandarini ============ Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ameagiza kufanyika kwa...
4 Reactions
12 Replies
913 Views
Alon Ohel amekuwa kifungoni huko Gaza kwa siku 570, akiwa na njaa, akijeruhiwa, akinyanyaswa na kufungwa minyororo. Alon alipoteza uwezo wa kuona katika jicho moja na alikuwa na vipande kwenye...
0 Reactions
5 Replies
362 Views
Rasmi: Israel haitakubali mapatano ya miaka 5 ya Gaza, Qatar haisaidii mazungumzo ya utekaji nyara ya hivi karibuni Afisa wa Israel anasema kuwa wapatanishi "hivi karibuni wamekuwa na ushawishi...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni. Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu...
30 Reactions
132 Replies
9K Views
Shirika la usalama wa ndani la Israel Shin Bet linafanya kazi ya kuajiri Wapalestina huko Gaza. Wananchi wa Gaza wanaripoti kupokea vipeperushi na noti za shekeli 20 zikiwa na SIM kadi na nambari...
0 Reactions
2 Replies
397 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…