International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka takwimu ya orodha ya hospitali bora kabisa duniani na huku kwetu Africa hakuna hata hospital moja. Sababu za msingi zipi hasa? Jioni njema Orodha ya Forbes...
3 Reactions
51 Replies
3K Views
Tarehe 11 April, jijini Dar Es Salaam huko Tanzania, kilifanyika kikao cha dharula kinachohusu hatma ya jeshi la SADC, Mission (failed) ya SAMIDRC. Kikao hicho kiliwahusisha: -General Rudzani...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Sheria za Kiislam( SHARIA LAW ) zinatarajiwa kulazimishwa kufanya kazi huko Uingereza watu wataanza kuzuiwa kula kipindi cha mfungo wezi kukatwa mikono,wauaji kuuliwa kwa kukatwa shingo,na viboko...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of...
12 Reactions
66 Replies
3K Views
Israel haitaruhusu Iran kuwa na silaha za nyuklia Si sasa si kesho wala si milele. Israel haitaruhusu kabisa kitendo hicho na ikibidi iko tayari kuingia vitani na Iran peke yake bila kuwa na...
1 Reactions
9 Replies
678 Views
Wanaukumbi. NNA - Katibu Mkuu wa Amnesty International Agnes Callamard alithibitisha Jumanne kwamba vikosi vya Israel vinafanya mauaji ya halaiki kwenye televisheni ya moja kwa moja katika Ukanda...
2 Reactions
22 Replies
923 Views
Shirika la fedha duniani limetoa takwimu za mwaka 2025 zikitaja nchi 5 tajiri barani Afrika kwa vigezo vinavyokubalika. BBC swahili news
1 Reactions
6 Replies
722 Views
Hii nimeiona kwenye sikukuu ya Siku 100 za Rais Trump madarakani nikakumbuka onyo la mbunge mtarajiwa Steve Merenge kuwataka Wanasiasa wasichanganye na dini Sidhani kama Malaria 2 ataifurahia...
0 Reactions
5 Replies
628 Views
Sijui maamuzi ya kuifanya Jordan kuwa wadhamini wa msikiti mtakatifu wa Aqswa yalifanyika kwa mtindo gani.Kinachoonekana maamuzi hayo yalikuwa na kasoro kubwa kwani waiokabidhiwa hawastahiki kazi...
1 Reactions
11 Replies
588 Views
Mbunge wa Irani anaishutumu Israel kwa mlipuko katika bandari ya Bandar Abbas na kufichua maelezo mapya kuhusu kilichotokea jana: Mohammad Saraj, Mbunge wa Irani, kwenye mlipuko kwenye bandari...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Habari za waislamu hasa wa jamii ya kiarabu tuziwache pembeni kwanzo,kwani matatizo yao ni mengine kabisa. Ama kwa wakristo duniani basi wangekuwa wanajitambua vizuri basi wangemuiga katibu mkuu...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Wanaukumbi. This is an extremely serious incident for U.S. Navy. It would mean hostile missiles or drones got past the carrier’s layered defenses (fighters, AEGIS ships, CIWS), showing potential...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Updates baada ya vita kuanza kati ya Iran na Israel 13/06/2025 Hakuna hata taifa moja la kiarabu litakaloheshimiwa na kuachwa salama kwa mtindo wa mayahudi kujikweza na kutaka kuitawala dunia...
13 Reactions
277 Replies
18K Views
Waingereza wengi wanadai mrithi wa kiti Cha ufalme mfalme mtarajiwa kama Baba Yake king Charles akifa, prince William anafanana Kama real estate agent Yani dalali. Muonekano wake umekaa kushoto...
3 Reactions
10 Replies
971 Views
Leo Siku ya Jumanne jioni, Israeli itaadhimisha Siku ya Ukumbusho kwa askari waliokufa na wahasiriwa wa ugaidi, na ving'ora vya kitaifa saa 8:00 PM na Jumatano saa 11:00 asubuhi. Tangu 1948...
6 Reactions
36 Replies
1K Views
Nimeona huku na kule habari kuwa Burkina Faso wamegundua reserve ya mafuta mapipa bilioni 50. Kampuni ya Russia ndiyo imefanya utafiti. Hayo ni mafuta mengi kuliko hata ya Nigeria yenye karibu...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Kutoka mitandaoni... TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO. Na Joshua Ntagala Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu, utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu...
34 Reactions
168 Replies
11K Views
Korea Kaskazini imethibitisha rasmi kwa mara ya kwanza kwamba imetuma zana za kijeshi na wanajeshi kuisaidia Urusi katika vita vyake dhidi ya Ukraine. Hatua hiyo inaandaliwa kama sehemu ya...
2 Reactions
3 Replies
580 Views
MKUTANO WA KUMCHAGUA PAPA MPYA UTAANZA MEI 7, 2025 Taarifa zinasema kuwa Makardinali waliopo mjini Roma wamefanya uamuzi huo siku ya leo ya Jumatatu Aprili 28, 2025 ambapo umekuwa ni Mkutano wao...
2 Reactions
4 Replies
492 Views
Baada ya majeshi shupavu ya Israel kuyakamata maeneo bila upinzani wowote huko Gaza, Majeshi hayo sasa yanasawazisha eneo hilo tayari kwa matumizi mengine
3 Reactions
9 Replies
557 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…