Marekani imepeleka angalau ndege sita za kivita aina ya B-2 stealth katika kisiwa cha Diego Garcia, hatua inayotafsiriwa kama onyo kwa Iran kufuatia kuongezeka kwa mvutano Mashariki ya Kati...
Dakika 20 zilizopita, kombora la balestiki la Houthi lilirushwa kuelekea Israeli. Picha za waogeleaji wa pwani huko Tel Aviv zikikatishwa na ving'ora. Kombora hilo lilipopolewa na mifumo ya...
Rais wa Burkina Faso The son of Africa kipenzi cha dhati Kwa wengi na mfano wa kuigwa inasemekana alipokuwa shuleni darasani tangu elimu ya awali Hadi elimu ya juu alifanya vizuri sana.
Walimu Na...
Maadhimisho ya kusherehekea miaka 80 toka kushindwa kwa majeshi ya NAZI yaliyoshindwa Majeshi ya Urusi, yamefanyika Moscow, huku yakihudhuriwa na Marais wa nchi rafiki wa Urusi bila Marais wa...
Wanaukumbi.
⚡️BREAKING: "Matukio mawili ya usalama" huko Gaza. - Kauli ya Al-Qassam.
Al-Qassam ililipua jengo lililokuwa limenaswa na askari wa Israel mjini Rafah na kuwaacha wanajeshi sita...
Wadau hamjamboni nyote?
Papa Leo XIV akisali kwenye Kaburi alipozikwa aliyekuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki, Baba Mtakatifu Francisko, katika Basilika ya Bikira Maria Mkuu
www.radiomaria.co.tz...
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia afya ya uzazi na jinsia (UNFPA) limetangaza kuwa Serikali ya Marekani imeamua kukata ufadhili wake wa baadaye kwa shirika hilo. Hatua hii itasitisha...
https://www.youtube.com/live/J6MqpK91bEA?si=_JJA8qKMlvBCbpgc
Uchaguzi wa Papa mpya umeanza rasmi leo, Jumatano, Mei 7, 2025, katika Kanisa la Sistine, Vatican, kufuatia kifo cha Papa Francis...
Papa mpya, Leo wa XIV, ametoa wito katika Misa yake ya kwanza huko Vatican kwa Kanisa Katoliki "kupambana kwa dharura" na upungufu wa imani.
Akizungumza siku moja baada ya kuchaguliwa kuwa Papa...
Haijajulikana vita vya safari hii kati ya India na jirani yake Pakistan vitachukua muda gani,hata hivyo katika siku za mwanzo India ambayo ndiyo iliyoanzisha mashambulizi inaonekana...
🚨BREAKING: Vikosi Maalum vya Israel vimefanikiwa kumuondoa Nour Al-Bitawi, kiongozi wa shirika la kigaidi huko Jenin na mmoja wa magaidi wa Kipalestina waliokuwa wakisakwa sana huko Yudea na...
An archive containing more than 100 documents of internal information of the MFA of Ukraine has appeared in the public domain. Tone of voise and content of letters reveals the inconvenient truth...
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Serikali ya Watu China imezindua mfumo wake wa kufanya malipo GLOBAL DIGITAL PAYMENT NETWORK na kuukwepa mfumo wa Marekani wa SWIFT ambao Marekani anautumia kama silaha dhidi ya...
Wadau hamjamboni nyote?
Anaitwa Rashad Muhammad al-Alim na amezaliwa 1954 na anaishinAden
Yeye ndiye Rais wa nchi ya Yemen!
Niwatakie sabato njema
Taarifa kamili za makazi yake hapo chini kwa...
Baada ya milipuko hiyo iliyoripotiwa na wakaazi wa jiji hilo, moto sasa unatanda katika milima ya Shiraz, Iran. Kwa mjibu wa taarifa za kijasusi hizo ni mvua za rasha-rasha zinazoendelea...
Huyu mtawala wa China huwa ni kama roboti fulani, sijawahi kumuona akizungumza na viongozi wenzake au akifanya mazungumzo na waandishi wa habari.
Huko Kremlin, Moscow ameonekana kama anazungumza...
Rais Donald Trump anatarajiwa kuweka ushuru wa kushangaza wa asilimia 104 kwa bidhaa zote zinazoingia kutoka China kuanzia Jumatano, kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu ya White House, Karoline...
Kukamatiwa ndugu zao na kuchinjwa wakiona huku wakiwa wamekaa kimya,tuliona kama ni ugonjwa wa waarabu pekee.Kumbe dunia nzima imeambukizwa.
Watu wazima na watoto wanauliwa bila kizuizi na...