International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanaukumbi. ⚡️🇾🇪BREAKING: Makamu wa rais wa Ansarallah wa Yemen Mohammed Ali Al-Houthi: Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu Mtukufu, Msaada kwa Gaza unaendelea, na pia majibu. Netanyahu aanze kuandaa...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
A gentle reminder... When You See the White Smoke… Don’t think of prestige. Don’t rush to post, to speculate, or to celebrate power. Kneel. And pray. Because the man who will soon step out...
0 Reactions
0 Replies
364 Views
Rais wa China Xi Jinping akutana na Rais wa Urusi Vladimir Putin katika Ikulu ya Kremlin mjini Moscow Rais wa Urusi alimpokea Xi kwa mazungumzo katika Ikulu ya Kremlin na katika kikao hicho...
1 Reactions
2 Replies
513 Views
Uwanja wa ndege wa Sana'a: Uharibifu unaokadiriwa kutoka kwa shambulio la Israeli ni karibu dola milioni 500. Itachukua muda mwingi kukarabati na kurejesha Uwanja wa Ndege wa Sana'a katika...
8 Reactions
42 Replies
3K Views
Imefahamika kuwa ndege ya pili ya kivita ya Marekani katika wiki moja ilikuwa imedondoka ndani ya bahari nyekundu muda mfupi tu kabla ya raisi Trump kutangaza kusitisha vita. Msemaji wa jeshi la...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
India imethibitisha kuzindua makombora kuelekea Pakistan Jumanne, kufuatia mashambulizi ya kigaidi yaliyotokea Kashmir ambapo watu 26 waliuawa. Maafisa wa usalama wa Pakistan wamesema makombora...
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Dini ya uislamu katika usasa wake iliingia bara hindi punde tu baada ya utume wa Muhammad saw.Hiyo ilikuwa ni karne ya 7.Baada ya hapo wakaingia waislamu kwa makundi kutokana na sababu mbali...
4 Reactions
119 Replies
4K Views
Urusi inasema Ukraine imeanzisha shambulizi la usiku wa kuamkia jana na ndege isiyo na rubani iliyolenga Moscow kwa usiku wa pili mfululizo. Viwanja vyote vinne vya ndege vikubwa vya mji mkuu...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Lebanon imehamanika kutekeleza makubaliano ya kusitisha vita na bado kila siku inapigwa katika ya Beirut. Kama kweli wanakerwa na mashambulio hayo basi serikali ya nchi hiyo haina budi iache...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
IDF imewaita makumi kwa maelfu ya askari wa akiba kabla ya upanuzi mkubwa wa mashambulizi yake Gaza. Hatua hiyo ya kijeshi iliyoidhinishwa na Waziri Mkuu Netanyahu, inakuja ikiwa ni sehemu ya...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hajajulikana Rais huyo atasema nini hasa ila ameahidi ndani ya siku chache kabla haijaanza ziara ya Mashariki ya kati atatoa tangazo kubwa kubwa sana...
2 Reactions
10 Replies
896 Views
Wakuu, Donald Trump alisema kwamba Marekani itasitisha mashambulizi dhidi ya Wahouthi nchini Yemen kwa sababu kundi hilo "limejisalimisha", huku Oman ikithibitisha kuwa makubaliano ya "kusitisha...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
IDF yatoa onyo la 'haraka' la watu kuhamishwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sanaa wa Yemen Katika hali isiyo ya kawaida, IDF imetoa onyo la "haraka" la kuhamishwa watu kwenye Uwanja wa...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Waasi wa Houthi wanadai kwa uwongo kuwa waliweza kuushambulia uwanja wa ndege wa Israel Ben Gurion, mbeba ndege-vita USS Harry Truman ya Marekani madai hayo ya uongo yalitolewa kama ifuatavyo...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Iran yaanika hadharani makombora mapya ya masafa marefu yenye uwezo kupiga hadi kilometa 1,200 Tulishawaambia duniani kote hakuna anayemzidi uwezo kisayansi muiran...
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Majeshi ya Israel jana yalifanikiwa kuwaua magaidi wa Hamas 15 kwa mpigo baada ya kuwashambulia maficho yao huko Gaza. Kwa taarifa zilizotolewa na IDF magaidi hao walikuwa wanajiandaa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Daah huyu jamaa ana dharau vibaya mno JUST IN: 🇺🇸 President Trump says countries are "kissing my ass" to make new trade deals...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Baada ya Hauthi kusitisha mapigano, Seneta anayemuunga mkono Trump Tales asema Israeli 'Fanyani muwezavyo kwa ajili ya Kujilinda' Seneta wa Republican Lindsey Graham wa Carolina Kusini, mmoja wa...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
India wameshindwa tena kutekeleza operation yao ya kijeshi bila majeraha makubwa kwenye jeshi lao. Ikiwa tayari ni miaka sita imepita toka walipofanya military failed mission dhidi ya Pakistan...
5 Reactions
15 Replies
870 Views
Eti wakuu, leo wakati ninatazama Al Jazeera ghafla ikaja akili mwangu kujiuliza, hivi Ikulu za nchi kama Marekani, Russia, China au Uingereza kuna watu wa aina gani kule wanaajiriwa?? Kwa maana...
8 Reactions
73 Replies
4K Views
Back
Top Bottom