India wameshindwa tena kutekeleza operation yao ya kijeshi bila majeraha makubwa kwenye jeshi lao. Ikiwa tayari ni miaka sita imepita toka walipofanya military failed mission dhidi ya Pakistan...
Eti wakuu, leo wakati ninatazama Al Jazeera ghafla ikaja akili mwangu kujiuliza, hivi Ikulu za nchi kama Marekani, Russia, China au Uingereza kuna watu wa aina gani kule wanaajiriwa??
Kwa maana...
Huku mabaki zaidi ya ndege kadhaa za kivita za India yakiendelea kuokotwa ndani ya mipaka ya India kabla kuvuka mpaka wake na Pakistan,nchi ya Uiengereza imesema inataka nchi hizo ziache kupigana...
Pakistan imesema inajitayarisha kujibu vita vilivyoanzishwa na India ndani ya mipaka yake huku ikitoa tangazo la kuzidondosha ndege 5 za kivita za India zilizoshiriki mashambulizi hayo.
Wakati...
Wanaukumbi.
Oman yatangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Wahouthi na Marekani.
Akizungumza na Al Jazeera, Dhaifallah Al-Shami, mjumbe wa Ofisi ya Kisiasa ya Ansar Allah, alisema kuwa...
Israel mara kadhaa husambaza mamilioni ya vipeperushi, kutoa nafasi ya watu kuhama kabla ya kulipua jengo linalotumika kutunza silaha, kuwa na miundombinu ya mahandaki, n.k.
Kwanini Hamas huwa...
Nchi ya Pakistan imedai kuwa imedungua ndege 12 zisizo na rubani za India usiku kucha na kusema mashambulizi ya ndege zisizo na rubani yamesababisha vifo vya raia mmoja na wanajeshi wanne...
Huku Donald Trump akitamba kuwa Wahouthi wamegwaya na wameufyata, kumbe hiyo ni kauli ya kujitoa kimasomaso ya mkubwa (face saving) baada ya mazungumzo ya nyuma ya pazia ya pande hizo mbili. Oman...
Habari za kuaminika uwanja wa ndege wa Sanaa waangamizwa na ndege zote zilikuwepo uwanjani hapo zimeteketezwa bila huruma yoyote.
Waliokuwa wanawasifia hawa Vibaka Njoo I tena muwasifie kipigo cha...
𝘾𝙝𝙞𝙣𝙖 𝙞𝙣𝙖𝙛𝙖𝙣𝙮𝙖 𝙢𝙖𝙢𝙗𝙤 𝙮𝙖𝙨𝙞𝙮𝙤𝙬𝙚𝙯𝙚𝙠𝙖𝙣𝙖 𝙮𝙖𝙤𝙣𝙚𝙠𝙖𝙣𝙚 𝙮𝙖𝙣𝙖𝙬𝙚𝙯𝙚𝙠𝙖𝙣𝙖, Hakika china imefanya Sayansi kuwa kweli.
𝗖𝗵𝗶𝗻𝗮 imefanikiwa kufungua hospital ya kwanza yenye Kutumia 𝗠𝗮𝗿𝗼𝗯𝗼𝘁𝗶 na 𝗧𝗲𝗸𝗻𝗼𝗹𝗼𝗷𝗶𝗮 𝘆𝗮 𝗔𝗜...
Sudan has severed it's diplomatic relations with the United Arab Emirates (UAE), officially designating it an "aggressor state." The Sudanese government accuses the UAE of providing strategic...
Rais wa Marekani kasema kuwa Viongozi wa Houthis wamewasiliana na Viongozi wa Marekani na kusema kuwa hawatashambulia meli wala Israel.
Hii imefuatia mashambulizi ya Israel katika Bandari, Uwanja...
Hata wewe Mtanzania kama una safari ya Yemen 🇾🇪 usiende ni Hatari kwa sasa
===
Jeshi la Israel Jumanne lilitoa onyo kwa watu kuondoka katika maeneo yanayozunguka uwanja mkuu wa ndege katika mji...
Ni siku ya pili ya mashambulizi, siku ya jana kwenye shambulio la kwanza Israel imelipua bandari kubwa ya Hodeidah na kiwanda cha saruji cha al-Imran.
Mapema siku ya leo katika muendelezo wa...
Anachofanya myahudi ni kurudisha teke kutokana na ngumi aliyopigwa.
Adui wa yemeni ni houthi na iran.
Ila hawa vijana wa itikadi kali hawatakaa hawaelewe maana wamezoea fujo na mioyo yao ipo...
By Sharon Braithwaite, Caitlin Danaher
All mobile phone signals will be deactivated in the Vatican on Wednesday ahead of the highly secretive conclave to elect the next pope, Italian state media...
zaidi ya ndege 30 za kivita za Israel zimezingira muda huu ndani ya Yemen huku zikipiga bandari , uwanja wa ndege na vituo vyote vya mawasiliano.
Hali ya tahadhari imetolewa muda huu Kwa raia...
Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka.
Mpango huo ni pamoja...
Kufuatia kufariki kwa Papa Francis, seti kali ya sheria na itifaki zimewekwa katika mwendo, kuongoza mpito kwa ajili ya kuchagua Papa ajaye. Tamaduni hii inaanzia kwa Mtakatifu Petro—Papa wa...
Rais wa 47 wa Marekani, Donald Trump
****
NIMEOKOLEWA NA MUNGU KUIFANYA TENA MAREKANI KUWA TAIFA KUBWA
"Uhuru wetu na hatima tukufu ya taifa letu haitakataliwa tena, na tutarejesha mara moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.