Najua wengi mmemmiss sana bwana Osama bin Laden,
Mbali zaidi amekufa bila watu kuwahi kusikia hata sauti yake ,
Katika mahojiano yake alitoa sababu kuu nne
1. Marekani imeset standard zake...
IDF imejaribu kumuua kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar katika hospitali ya Gaza, duru zinaiambia Shirika la habari la 'Post'
Maafisa wa usalama wameamini kwa muda mrefu kuwa Mohammed Sinwar...
Je, Israel inaweza kushambulia malengo gani ili kudhoofisha utawala wa Houthi?
Kufikia sasa, Israel imeshambulia bandari, mitambo ya saruji, mitambo ya kuzalisha umeme na viwanja vya ndege nchini...
Huwa nasoma na kuchanganyikiwa. Watu wamegeuka mazwazwa hadi kushabikia uovu na uuaji! Japo siyo shabiki wa siasa za mashariki ya kati kwa sababu ni mambo yao, kinachoendelea Palestina kinaudhi na...
Kulingana na ripoti kutoka Gaza, mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih, anayejulikana kwa kuandika shambulio la Hamas la Oktoba 7 na kuwa na uhusiano wa karibu na Hamas, aliuawa katika...
Ni kweli kabisa Majeshi ya Israel yalijaribu mara moja kutaka kumuua Mwandishi huyo wa Kipalestina Hassan Aslih na kumjeruhi vibaya sana akalazwa Hospitali ambako jana waliamua kumfuata huko huko...
Wadau hamjamboni nyote?
Rais wa Marekani Donald Trump yuko tayari kupokea ndege ya kifahari aina ya Boeing 747-8 kama zawadi kutoka kwa familia tawala ya Qatar wakati wa safari yake ya Mashariki...
Hawa walinzi makomandoo walinzi wa mfalme wa Saudi Arabia na Ikulu nasubiria kesho kuwaona kwenye ziara ya trump Saudi Arabia wengi wao NI waarabu weusi wanavaa nyeupe na mikanda mieusi huku...
Army aircraft were reportedly hovering above as the killings took place, showing command control of the operation.
At least 130 civilians belonging to the Fulani ethnic group were killed by...
Kutokana na matishio ya kiusalama na matishio ya kumuua Rais Ibrahim Traore wa Burkina faso, kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema serikali yake itaipatia Burkinafaso msaada mkubwa wa...
Hadithi Sunan an-Nasai 3175 inasema kuna Makundi mawili ya Umma wa Mohammad ambayo Allah atawaokoa kutoka moto wa Jehanam. Kundi moja ni Waislamu watakaoivamia India.
Aidha, Kiongozi wa Juu wa...
Ziara za mwanzo kubwa za raisi Trump katika kipindi chake cha pili cha uraisi imekuwa ni nchi tatu za ghuba zenye uchumi mkubwa duniani na rasilimali za kutosha za nishati.Nchi hizo ni Saudi...
Ameangamizwa ❌
Shambulio la anga la Israel usiku wa kuamkia leo limemwangamiza Kanali Hassan al-Qudra, ambaye aliongoza kitengo cha "ANTI-TERROR" cha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Hamas, alipokuwa...
Unaposikia kwamba Papa Leo XIV alikuwa na shahada ya hesabu, alifundisha fizikia, na aliandika tasnifu kuhusu uongozi wa kitawa, inaweza kukushangaza. Lakini kwa Kanisa Katoliki, hilo si jambo la...
Ndege ya kijeshi ya Korea Kaskazini aina ya J- 35A kizazi cha 5 iliotengenezwa nchini China imewaleta makomandoo 700 welevu na weledi nchini Burkinafaso kwaajili ya kuimarisha ulinzi wa Rais wa...
Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya.
Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa...
Ndugu zangu wabantu na wale mbari za wachache katika eneo letu la maziwa makuu tujihadhari na hawa jamaa mbari ya kitutsi.
Watanzania hua wanaogopa kuzungumza chochote kwa msingi wa kikabila au...
Ule uchuro wa rais Donald Trump wa Marekani wa kuvaa mavazi ya papa wakati wakristo wakiomboleza unaonesha aliufanya kwa malengo maalum kwani unaonekana kujidhihirisha katika ukweli.
Kwa mara...
Ikulu ya White House imetoa taarifa ikisema kuwa Marekani imetangaza makubaliano ya kibiashara na China baada ya mazungumzo kati ya ujumbe wa Marekani na China kufanyika nchini Uswisi siku ya...
Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Côte d'Ivoire, ambaye amezuiliwa kugombea urais katika uchaguzi wa Oktoba, amesema Jumatatu kuwa anajiuzulu kama kiongozi wa upinzani lakini bado ataongoza kampeni...