International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vita vya muda mfupi baina ya ndugu wawili India na Pakistan Vilivyomalizwa na Dogfight (vita vya ndege kwa ndege) Niliandika post hii muda ila sikuwa nimeipost kwasababu kadha wa kadha)...
3 Reactions
6 Replies
708 Views
Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana...
35 Reactions
55 Replies
5K Views
"Dhubul iBhulu! Kill the Boer, Kill the Farmer, Victory is certain". Kauli tata iliyomuweka kikaangoni Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa mbele ya Rais wa Marekani Donald Trump walipokutana mei...
1 Reactions
7 Replies
772 Views
#HABARI Bunge la seneti nchini DRC leo litapiga kura kuamua ikiwa limuondolee kinga rais wa zamani Joseph Kabila, ambaye anatuhumiwa kwa makosa ya kivita pamoja na kushirikiana na waasi wa AFC/M23...
1 Reactions
0 Replies
345 Views
Nimeangalia mkutano wa waandishi wa habari kati ya Rais wa Africa Kusini, Cyril Ramaphosa na mwenyeji wake Rais wa Marekani, Trump katika Ikulu ya Marekani nimeishia kumuhurumia na kuisikitikia...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
Maoni yangu juu ya tukio hilo kati ya Rais Donald Trump na Rais Cyril Ramaphosa ni haya yafuatayo: 1. Siasa za Maonyesho na Msukumo wa Ndani wa Trump Trump ana historia ya kutumia matukio yenye...
5 Reactions
4 Replies
746 Views
Waarabu wameamua kumwabudu Trump Sio kwa mapenzi haya. Hapo ni Emirates Trump katua leo baada ya kutoka ziara Qatar. Wamempangia Trump warembo wa kiarabu vichwa wazi, wakizunguka kwa madaha...
16 Reactions
90 Replies
4K Views
Mahakama nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imewasilisha rasmi malalamiko katika Bunge la Kitaifa likitaka kuondolewa kinga kwa Constant Mutamba, Waziri wa Sheria ili apandishwe kizimbani...
0 Reactions
0 Replies
278 Views
Jamaa anapenda kudhalilisha sana marais wa mataifa madogo! Ila yale makubwa huwa na heshima sana! Wednesday 21 May 2025 20:56, UK...
0 Reactions
0 Replies
372 Views
Yanayoendelea Gaza yanazidi kuutambulsho udhaifu wa Marekani na Israel mbele ya Hamas,na kwamba si watu wa kufanya nao mkataba wowote ule wa kuaminika kwa kauli zao. Kiongozi mkubwa wa Hamas...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Kiongozi mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ametiliashaka kwamba mazungumzo ya nyuklia ya Marekani yataleta mwafaka, akisema kuwa taifa hilo limetoa masharti mengi na ya kukerankuhusu kurutubisha...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha kurutubisha madini urani. Siasa Iran leo kupitia waziri wake wa mambo ya nje Abbas Araghchi imesema haitoacha...
0 Reactions
2 Replies
335 Views
Tangu 2012 Marekani imekuwa ikifanya juu chini kuiangusha HUAWEI bila mafanikio. Hivi karibuni HUAWEI ilizindua A.I chip ya hali ya juu iitwayo Ascend 910C ambayo imekuja kuichallenge ile ya...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Huyu ndiye afisa mkuu wa mwisho wa mrengo wa kijeshi wa Hamas ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanifu wa Oct 07,2023 na bado yuko hai - Izz ad-Din al-Haddad, Kamanda wa Brigedi ya Gaza. Yeye...
4 Reactions
14 Replies
987 Views
Uchunguzi wa IDF: Sajenti Yosef Yehuda Chirak aliuawa kwa risasi rafiki(Friendly-Fire) Uchunguzi wa awali uligundua kuwa wakati SGT Chirak alipokuwa akifanya kazi ya kukagua shimo la handaki...
0 Reactions
7 Replies
808 Views
Baadhi ya waandamanaji wanaoipinga Hamas wanaelezea kuwa kwa sasa Gaza si sehem salama kuishi hivyo wanaomba wapelekwe Libya au sehemu nyingine kuishi
1 Reactions
3 Replies
343 Views
Video kama hii Aljazeera hawawezi kuionyesha maana itawaumbua unafiki wao!!!
5 Reactions
9 Replies
500 Views
Recently, there have been incidents where citizens from member countries have been traveling into countries territories to visit or for leisure and staying in hotels. Some citizens have been...
0 Reactions
2 Replies
804 Views
Kwa nini Tanzania tuliisaidia ANC kwa hali na mali kupambana na serikali ya makaburu Africa Kusini? Je Tanzania tulipoisaidia ANC dhidi ya utawala Makaburu tulikuwa sahihi kama nchi kuingilia...
1 Reactions
13 Replies
717 Views
Huyu proffesor wa dini ya Kiislam alikuwa ana kitengo gani ndani ya Hamas mpaka kushambuliwa na IDF ? Wataalam karibuni
1 Reactions
76 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…