International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Dakika chache zilizopita, Rais Donald Trump kaongea na waandishi wa habari ofisini kwake katika hafla ya kumuaga Elon Musk, ambaye amenaliza muda wake kama ‘Special Government Employee’. Kinyume...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Rwanda quits Central African bloc in dispute with Congo Rwanda has said it would withdraw from the Economic Community of Central African States (ECCAS), underscoring diplomatic tensions in the...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Mamluki Mwafrika katika Jeshi la Urusi: Mahojiano Kamili na Raia wa Senegal aliyetekwa Wapiganaji kutoka kitengo cha 12 cha Azov Brigade - Kikosi cha 49 cha Carpathian Sich - wamemkamata...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
China na nchi za Afrika zimekuwa na uhusiano uliodumu kwa miongo kadhaa, na uhusiano huu unagusa maeneo mbalimbali ikiwemo elimu, biashara na uchumi, sayansi na teknolojia, ujenzi wa miundombinu...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
Na je Israel ilijuaje lini na wapi pa kumtoa Mohammed Sinwar na viongozi wengi waandamizi waliobaki wa Hamas? Unakumbuka siku kadhaa zilizopita wakati watu wawili kwenye picha hapo chini...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Ndiyo maana rafiki wa Mayahudi Ni tetesi mwenye taarifa kamili aje atujuze. Tazama taswira yake
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mtoto (15) amekamatwa kwa tuhuma za kumshambulia kwa risasi Seneta wa Colombia anayewania kuwa rais ajaye wa nchi hiyo. Katika tukio hilo, seneta Miguel Uribe Turbay...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Huyu bwana alianza kwa mbwembwe kubwa akiwa analazimisha watumishi wote wa serikali kuu nchi nzima wawe wanamtumia email kila wiki kuelezea walichofanya kila wiki mwishowe ikaishia kwa yeye...
3 Reactions
5 Replies
746 Views
Baada ya maswahiba wawili Elon na DJT waliowahi kushibana sana kumwagana wiki ya karibuni siri zao mbalimbali zaendelea kuvuja au kuachiliwa, mojawapo ya hivi karibuni na Elon Musk kushikana...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Hamas inatoa ofa ya kuachilia nusu ya wateka waliosalia kwa ajili ya kusimamishwa kwa mapigano kwa muda wa miezi miwili - ripoti Hamas inashuku kama Marekani inaweza kumlazimisha Netanyahu...
7 Reactions
88 Replies
3K Views
Luhaga Mpina, katika bandiko lake kwenye ukurasa wa X (zamani Twitter), mbunge huyo ameandika: "Miaka 8 nyuma nchi yetu ilishtumiwa na UN kuwa na uhusiano wa kibiashara na kiulinzi na usalama wa...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
❗️Urusi inaleta ndege nzima kuchukua nafasi ya zilizoharibika ili kujaribu kupunguza au kuficha kiwango cha hasara baada ya shambulizi la Ukraine. Vyanzo kutoka Idara ya Usalama ya Ukraine (SBU)...
6 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? It's a matter of time before things starts Happening in Iran. Israel await us greenlight before it launches attack
1 Reactions
19 Replies
940 Views
Idhaa ya Al Arabiya inaripoti: Israel itaishambulia Iran ndani ya saa 7 iwapo mazungumzo kati ya Iran na Marekani yatashindwa.
6 Reactions
28 Replies
1K Views
Utambuzi wa kuingizwa kwa Crimea na mikoa minne, na kukataliwa kwa malipo: maandishi kamili ya "mkataba wa kusitisha mapigano" wa Urusi umefunuliwa. Kulingana na hati hiyo, Urusi inaweka mbele...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Tamko la kihistoria lilitolewa hivi punde na familia kuu na koo za kusini mwa Gaza. Kwa mara ya kwanza, wanatangaza waziwazi: "Inatosha. Hamas imeleta damu na uharibifu tu. Haituwakilishi tena."...
3 Reactions
6 Replies
635 Views
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza. Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa...
1 Reactions
5 Replies
483 Views
Free Free Palestina Lengo lake ni Kuiangamiza Israel from the river to the Sea ni Kosa la kimahesabu uhuru hauombwi hivyo na chuki hazijawahi kushinda vita vya muda mrefu.. Mpende jirani yako...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Shambulizi la anga la Israel limewaangamiza Mahmoud Abu Nar, mwanachama mkuu wa Harakati ya Mujahidina aliyehusishwa na utekaji nyara wa familia ya Bibas. Na pia Wapalestina wanaripoti...
1 Reactions
3 Replies
484 Views
WOW 💥 Katibu wa Vyombo vya Habari wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt anavitaka vyombo vya habari vya kawaida kuripoti madai ya Hamas bila kuyathibitisha kwanza, kama wanahabari wa kweli...
4 Reactions
8 Replies
527 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…