International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Habari zilizopo kwa sasa na uthibitisho wa video ni kuwa Ukraine imefanikiwa haribu ndege vita zaidi ya 40 ndani ya Urusi. Haijulikani wamefanikiwa vipi kwani umbali huo FPV drone haziwezi fika...
4 Reactions
67 Replies
4K Views
ni script kama ya mieleka wanayoicheza pamoja na Trump. Elon kawa na mchango mkubwa sana hasa kwa kina Trump na chama chake cha Reoublicans, Pesa za Elon Musk ndizo zilifanikisha dunia ipate...
5 Reactions
8 Replies
777 Views
Uingereza imeripotiwa kuwawekea vikwazo mawaziri wa Israel Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kutokana na misimamo yao mikali dhidi ya Gaza inayotawaliwa na Hamas na kuunga mkono makaazi ya...
2 Reactions
15 Replies
885 Views
Ndege zisizo na rubani za Ukraine zimeshambulia mji wa Cheboksary ndani kabisa ya Urusi hii inaonyesha wazi kuwa Drones za Ukraine hazina mpinzani huko Russia wanapiga popote wanapotaka!!!!! 🪐...
2 Reactions
10 Replies
994 Views
Greta Thunberg yule mtalii aliyejivika utoa misaada huko Gaza baada ya kuona askari wa Israel wanataka kuingia kwenye mtumbwi wao huo walianza kuhamasishana kutupa simu zao baharini, baada ya...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Zaidi ya Wafanyakazi 1,300 wa Voice of America wametakiwa kupumzika, maelekezo ambayo wamepewa ikiwa ni muda mfupi baada ya Serikali ya Marekani chini ya Rais Donald Trump kutoa maelekezo ya...
4 Reactions
72 Replies
6K Views
Rwanda imetuma wanajeshi kati ya 7,000 na 12,000 mashariki mwa Kongo kusaidia waasi wa M23, wachambuzi na wanadiplomasia waliiambia Reuters mapema mwaka huu, baada ya kundi la waasi kuteka miji...
1 Reactions
2 Replies
616 Views
Wanajeshi wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa UNIFIL wakiwa wamevamiwa asubuhi ya leo na wafuasi wa Hezbollah kusini mwa Lebanon kuanza kupigwa makofi kama watoto!! Kazi za UN ni za kijinga sana...
0 Reactions
4 Replies
492 Views
Kiongozi mpya wa wanamgambo huko Gaza, Abu Shabab, anapinga kundi la kigaidi la Hamas katika eneo hilo na anajitahidi kutoa makazi na chakula kwa Wagaza wanaoteseka kutokana na vita...
0 Reactions
2 Replies
485 Views
Kwanza nianze kwa kusema sijawahi kufika Ulaya, kila kitu nakiona kwenye TV na mitandao ya kijamii. Katika kufuatilia kwangu kuna utofauti nimeuona kati ya Urusi na nchi nyingine za Ulaya. Wakati...
0 Reactions
3 Replies
462 Views
Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli. Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Vyanzo vya habari kutokea Syria na Lebanon: Utawala wa Syria ulitibua jaribio la jana katika eneo la Homs la kusafirisha shehena ya roketi zilizotengenezwa na Iran hadi katika ardhi ya Lebanon...
1 Reactions
11 Replies
678 Views
Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, Hossein Salami: Anasema Ana’s humurukwa maelfu ya hati walizozipata kuhusu vituo vya nyuklia vya Israeli, mashambulizi yetu sasa yatakuwa sahihi zaidi...
2 Reactions
4 Replies
572 Views
Msemaji wa IDF kwa Kiarabu anatoa amri ya kuhama au kuondoka kabisa karibu na bandari tatu zinazomilikiwa na magaidi hao wa Houthi. Amri hii imetolewa baada ya mashambulizi yasiyofanikiwa ya...
1 Reactions
11 Replies
746 Views
Mnamo mwaka 2016, nchini Iraq, kijana Ayham Hussein alikamatwa na wanajihadi alipokuwa akisikiliza muziki wa Kimagharibi katika duka la baba yake. Alifikishwa katika mahakama ya Sharia ambayo...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Kufuatia IDF kumuangamiza Mohammed Sinwar, Izz al-Din al-Haddad (pichani) amechukua uongozi wa tawi la kijeshi la Hamas. Israeli sasa hivi inamfatilia kwa nguvu zote ili imewaangamiza...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
⚠️BREAKING: IDF ilipata mwili wa kiongozi wa Hamas Mohammed Sinwar kwenye handaki chini ya Hospitali ya Ulaya huko Gaza. Hamas ilijenga chumba cha kulala chini ya ardhi chini ya hospitali ya...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Televisheni ya taifa ya Iran ilitangaza kuwa chombo cha kijasusi cha Iran kimetoa pigo la kihistoria kwa Israel. MOIS ilipata maelfu ya hati zinazohusiana na miradi na vifaa vya nyuklia vya...
9 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama tujuavyo last weekend Ukraine ilifanya mashambulizi ya kimkakati katika AirBases za Russia na kufanikiwa kuharibu baadhi Ndege vita (Bombers) zake. Kwanzia jana Usiku Russia imelipiza kisasi...
5 Reactions
61 Replies
4K Views
Back
Top Bottom