International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Tangu kuwepo KWA Taifa hilo limekuwa ni taifa la kuonewa sana. Kipindi lilichokaa KWA amani ni wakati wa Mfalme Suleiman tu. Sababu za kufanikiwa kwao ni ukaribu wao na Mungu wao, sababu za...
2 Reactions
5 Replies
348 Views
Imekua dhahiri muda wowote Israel watatembeza kibano kule Iran, na hawa Iran waliokua wanajipiga kifua wameanza kuwa wanyonge, rais wao anasema wataamka tena haitakua mwisho wao. Nasemaje nasemaje...
9 Reactions
43 Replies
2K Views
Yule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini huwa analeta habari hazina uhakika. Kiongozi wa Hamas kule Lebanon...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Mahakama ya Ufaransa imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela Joel Le Scouarnec ambaye ni Daktari bingwa wa upasuaji ambaye alikiri Kuwanyanyasa kingono wagonjwa na kubaka wagonjwa 229, wengi wao...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Kutokana na harakati nyingi za kijeshi zinazoendelea huko Israel kuna uwezekano mkubwa sana Iran ikashambuliwa ndani ya Wiki hii. Kama Israel itafanya hivyo basi itakuwa imewafumba miodom wote...
5 Reactions
32 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa.I'm sure things will start happening sometime before next week. I will share timely updates as events unfold.
3 Reactions
10 Replies
490 Views
Hicho ndicho kilichotokea wakati wa Eid Al Adha huko Montreal Canada. https://x.com/realMaalouf/status/1932453119792685440 Na bado Waziri Mkuu wa Canada katika salamu zake za Eid, alimwaga sifa...
0 Reactions
10 Replies
776 Views
Habari kama hii hauwezi kuisikia ikipata promo coz aliefanya sio Myahudi
1 Reactions
11 Replies
729 Views
Serikali ya Marekani hivi karibuni ilitangaza kwamba itaweka vizuizi vya viza kwa wanafunzi wa kimataifa katika Chuo Kikuu cha Harvard, na kuchunguza viza ya wanafunzi wa kimataifa wanaosoma...
4 Reactions
27 Replies
1K Views
Trump ameripotiwa kujaribu kuzishawishi nchi kama Indonesia, Jordan, Misri, Albania, Lybia, Somalia, Somaliland na nyinginezo kuwachukua Wapalestina, lakini hakuna hata mmoja kati yao aliye...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
Kwa mjibu wa taarifa za awali, uchaguzi wa tarehe 5 Juni, 2025, unaiacha CNDD-FDD katika nafasi ya kuwa na wabunge wote wanaohitajika bungeni. Kwa mjibu wa katiba ya Burundi, vyama vya siasa...
1 Reactions
4 Replies
520 Views
Wadau hamjamboni nyote? IDF yaonyesha ushahidi kuwa kundi la kigaidi limedumisha sera ya kunyang'anya 15% -25% ya misaada inayoingia Gaza wakati wa vita ili kufadhili...
0 Reactions
1 Replies
319 Views
Msafara mkubwa wa amani umeanza kutokea Tunisia kuelekea Gaza.Kwa sasa msafara huo una watu 1000 kutoka nchi za kaskazini ya Afrika na umeshafika nchini Libya. Mara msafara huo utakapofika Misri...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Hii si Syria, Iraq, au Yemen... hii ni Los Angeles chini ya utawala wa Marekani yenyewe. Uharibifu, machafuko na machafuko waliyopanda ulimwenguni yalianza kuwaangamiza kutoka ndani...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili hata Magharibi wanajua hata US anajua lakini hawawezi kulisema wazi Maana ni zaidi ya mara 100 tukiambiwa iran kabakisha wiki mara kabakisha mwezi, kwamba wairan ni wajinga kiasi hicho? Kwa...
2 Reactions
8 Replies
724 Views
Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni...
8 Reactions
69 Replies
3K Views
Takribani shule 49 zinatarajiwa kufungwa mwaka huu nchini Korea Kusini kutokana na ukosefu wa wanafunzi. Asilimia kubwa ya shule hizo zilizokosa wanafunzi ni zile za awali na msingi. Ukosefu wa...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Maelfu ya Waafghani wameandamana katika maeneo mbalimbali ya nchi kupinga mashambulizi ya Israel dhidi ya Hamas huko Gaza, wakijibu wito wa kitaifa...
4 Reactions
18 Replies
963 Views
Takriban watu watatu wamefariki na wengine wawili kulazwa hospitalini baada ya mlipuko na moto kutokea kwenye kiwanda cha kemikali nchini Iran Ajali hiyo ilitokea majira ya saa 5 asubuhi kwa saa...
1 Reactions
15 Replies
783 Views
Meli za jeshi la wanamaji la Israel zimeshambulia bandari ya mji wa Hudaydah, ambao iko chini ya udhibiti wa waasi wa Houthi nchini Yemen. Jeshi la Israel imesema kuwa mashambulizi hayo...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Back
Top Bottom