International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti Jumatano kwamba Israel ilidukua kwa muda matangazo ya televisheni ya taifa, na kuonyesha picha za maandamano ya wanawake pamoja na wito kwa wananchi...
1 Reactions
3 Replies
543 Views
Wana mpango wa kuiweka nchi kwenye mfumo wa kidemokrasia na kuondokana na uzombi wa dini ya muarabu... Reza Pahlavi, the eldest son of the last Shah of Iran and the former crown prince, said that...
10 Reactions
42 Replies
3K Views
Sasa hivi Israel inapiga chochote kinachotumika kurusha au kusafirisha mizinga maana imepiga maeneo yote rasmi ambayo hutumika kurusha mizinga, Iran imesalia kutumia malori ya kawaida..... The...
14 Reactions
85 Replies
5K Views
Trump alijaribu kumchimba mkwara Ayatollah. Leo kapewa majibu yake na mzee. Maneno ya Ayatollah: The US President threatens us. With his absurd rhetoric, he demands that the Iranian people...
18 Reactions
89 Replies
3K Views
Tarehe 18 Juni 2025, timu za wataalamu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Jamhuri ya Rwanda ziliweka saini ya awali kwenye maandiko ya Mkataba wa Amani, tukio lililoshuhudiwa na...
1 Reactions
5 Replies
887 Views
Kwanini Iran Haijapeleka Majeshi Moja kwa Moja Palestina na Lebanon? Ni swali muhimu kwa yeyote anayeangalia siasa za Mashariki ya Kati. Licha ya Iran kuwa na uwezo mkubwa wa kuingiza silaha...
0 Reactions
6 Replies
571 Views
Baada ya kupotea kwa mda mrefu...nimerudi mda huu. Katika pitapita zangu kilingeni drc...a.k.a shamba la bibi kuna vitu nimeona mengi ya kusikitisha kuliko kufurahisha. Story zote nilizoishia...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Maonesho ya Nne ya Uchumi na Biashara kati ya China na Afrika yamefanyika hivi karibuni huko Changsha mkoani Hunan, China, na kushirikisha zaidi ya watu elfu 30 kutoka nchi 53 za Afrika, mashirika...
0 Reactions
1 Replies
346 Views
Bw. Moussa Dabo kutoka Gambia alikuwa mwanafunzi wa Yuan Longping ambaye ni Mwanasayansi maarufu wa mpunga chotara nchini China, hivi karibuni alifika kwenye kaburi la Yuan kutoa heshima zake...
3 Reactions
1 Replies
430 Views
March 2025 Windhoek, Namibia EXCLUSIVE MAHOJIANO : NA JOSEPH KABILA RAIS MSTAAFU WA CONGO DR https://m.youtube.com/watch?v=kX6AYffI1Hc Kama Mwandishi nataka kufahamu Baada ya miaka 18 ya...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amesema kwamba Iran ina “haki ya halali, ya kiasili na ya kisheria” ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel dhidi ya malengo ya kijeshi...
4 Reactions
12 Replies
867 Views
Ukiwasikiliza vizuri Donald Trump na Benjamin Netanyahu, kuna mchezo unafanyika ili kuiahadaa dunia na Iran. Netanyahu anasema lazima aangushe utawala wa kiimla wa Iran. Trump anasema amemzuia...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Naaandika kwa Uchungu na machozi Kipindi cha mazungumzo ya nyuklia na Marekan. Mrusi alileta air defence nyingi sana. Kama zawadi ya kupewa drone za shaheed. Na wakaingia mkataba wa urafiki...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Kichaa Myahudi amewehuka, anapiga tu, hivi karibuni mtasikia ikulu na yenyewe ni majivu..... IAF strikes Tehran's Internal Security HQ ByJERUSALEM POST STAFF Israel Air Force jets destroyed...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Labda kuna sheria za kimataifa ndiyo sikatai. Najiuliza tu Iran akimiliki nuclear Israeli inam-bother nini? Je, Israel hana nuclear? Nadhani anayo. Kwanini sasa amemvamia Iran? Yaani mimi...
11 Reactions
123 Replies
3K Views
Hapo juzi, Iran ilijibu kwa kishindo dhidi ya Israel kwa kuvurumisha mamia ya makombora, Baadhi ya makombora hayo yaliweza kupenya ulinzi wa anga wa Israel, yakianguka kwenye majengo, kusababisha...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amekataa kusema iwapo atauamuru mashambulizi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, licha ya kutoa kauli hapo jana zilizoashiria kuwa anaelekea kufanya hivyo. “Naweza...
0 Reactions
2 Replies
553 Views
Nasikia Iran ina majeshi makubwa mawili. Jeshi la kawaida na jeshi tiifu kwa Ayatollah. Uelewano kati ya majeshi haya ukoje? Maana ni kawaida majeshi kuwa na mabifu. Jeshi gani lina nguvu zaidi...
0 Reactions
3 Replies
448 Views
Walikuwa wanakataa sa wameanza kukubali leo wamekiri kuna ndege yao imeangushwa https://youtu.be/4R3XpS3og1c?si=MFyCN2dqy7l9qucJ
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Makao makuu ya intelligence ya Israel (Mossad) Leo asubuhi. Wachambuzi wanaeleza kuwa Iran ilitumia teknolojia ya juu kuudanganya mfumo wa kiulinzi wa Israel ambao ulirusha makombora 10 bila...
13 Reactions
138 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…