International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ukiona baharia kama putin anakusifia basi ujue unapiga kazi kweli kweli😁
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Mechi imeanza Goli la kwanza: Iran Kapigwa airdefense zake zote Goli la pili: iran kauliwa scientist wake na viongozi wake wote wa kijeshi, hapa mabeki wa ujasusi wa iran wamelala Goli la tatu...
7 Reactions
53 Replies
2K Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Leo XIV ametoa wito kwa Israel na Iran kuonyesha hali ya uwajibikaji katika matendo yao wakati mzozo kati ya mahasimu hao wawili ukizidi kufukuta. Kiongozi...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
HABARI MPYA: [emoji1258][emoji1130] Trump anafikiria kuipatia Iran dola bilioni 30 na manufaa mengine ili Iran iachane na mpango wa kutengeneza bomu la nyuklia – CNN Inaelezwa kuwa utawala wa...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Urusi imekusanya wanajeshi 110,000 katika eneo la Pokrovsk kama sehemu ya juhudi zake za kuutwaa mji huo wa kimkakati wa mashariki mwa Ukraine, mkuu wa jeshi la Ukraine alisema Ijumaa. Oleksandr...
2 Reactions
2 Replies
409 Views
https://x.com/nicksortor/status/1938647871361884347?t=nY3Bp7FRmCkZSn9grx3Fpg&s=19
2 Reactions
7 Replies
363 Views
Vita ya siku chache zilizopita Israel walitoa kipaumbele kikubwa kwa marubani wa kike, Hivi ni vichwa vilivyoliwa na marubani wa kike kwa siku 12 tu. Jenerali Mohammad Bagheri – Mkuu wa Majeshi...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo wanatarajiwa kusaini mkataba muhimu mjini Washington wa kumaliza mzozo uliodumu kwa muda mrefu katika eneo la mashariki mwa Kongo ambapo mzozo huo...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Meya wa Odessa Gennady Trukhanov amethibitisha kuwa "shahed" za Urusi ziliingia katika jengo la makazi la ghorofa nyingi. Waokoaji wamepata miili ya wanandoa waliokufa wakati ndege isiyo na rubani...
0 Reactions
0 Replies
235 Views
Wanakumbi. Kiongozi mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa ujumbe wake wa kwanza wa njia ya video tangu Marekani iliposhambulia nchi yake na Iran kusitisha mapigano na Israel. Habari za...
8 Reactions
42 Replies
2K Views
Haya viongozi mnapoenda kuuza uza Ardhi zetu na kukumbatia wawekezaji
1 Reactions
0 Replies
167 Views
Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, ametoa kauli nzito akidai kuwa Marekani iliingilia kwa haraka operesheni ya kijeshi ya Iran kwa sababu waliogopa Israel kuangamizwa kabisa...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Rais Donald Trump amekashifu madai ya Ayatollah Ali Khamenei kwamba Iran ilishinda vita vyake vya hivi majuzi vya siku 12 na Israel na kusema Marekani "itaipiga kwa mabomu tena nchi hiyo ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Mahakama moja nchini Israel imekataa ombi la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kuahirisha kusikilizwa kwa kesi yake dhidi ya rushwa, baada ya rais wa Marekani Donald Trump kutaka kesi hiyo ifutiliwe...
1 Reactions
5 Replies
515 Views
Ayatollah kama analala kwake, basi amesikia mabomu yaliyopiga maeneo ya jirani...... The Israel Defense Forces carried out several additional waves of airstrikes across Iran early Saturday...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Saudi Arabia ni taifa la Waislamu wa Sunni (kabila la Wahhabi) na Iran ni taifa la Waislamu wa Shia, na ndiyo ngome kuu ya Shia duniani. Syria, chini ya utawala wa Bashar al-Assad, inaongozwa...
0 Reactions
1 Replies
630 Views
Trump anapenda vitu vitano. Kwanza, ni sifa. Pili, ukubwa. Tatu, Trump anapenda kuabudiwa na kufurahishwa kama mtoto. Nne, kudanganya na kudanganywa. Tano, Trump anapenda kuambiwa anachotaka...
2 Reactions
1 Replies
275 Views
Ayatollah wiki mbili sasa amejifungia kwenye handaki eti leo ndio anajitutumua kurusha clip ya kurekodiwa akitoa maneno ya shombo kwa Israe akijitangazia ushindi wa kishindol! Kama anajiamini ana...
4 Reactions
52 Replies
2K Views
China na Marekani zimeridhia kulegeza masharti ya kibiashara huku China ikisema itapitia upya na kuidhinisha maombi ya usafirishaji wa bidhaa yatakayoendana na kanuni zilizopo. Marekani nayo...
1 Reactions
1 Replies
272 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…