International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Israel ni hatari sana, yaani wanasababisha mzee kama huyu na gauni lake ajifiche na kuishi kwenye shimo kama fukwe, tena ndani ya nchi yake, ukizingatia yeye ndiye kiongozi mkuu wa magaidi yote ya...
7 Reactions
59 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Donald Trump amemkosoa vikali mshirika wake wa zamani Elon Musk kwa kuzindua chama kipya cha kisiasa, hatua ambayo inayozidisha mvutano kati yake na bilionea huyo. Trump amemtaja...
0 Reactions
2 Replies
383 Views
Kremlin ilisema haioni njia ya haraka na ya kidiplomasia ya kumaliza vita dhidi ya Ukraine, saa chache baada ya kuzindua mashambulizi makubwa zaidi ya ndege zisizo na rubani na...
2 Reactions
3 Replies
396 Views
Aliyekuwa Kanali wa Jeshi la Iran amehukumiwa katika mahakama ya kijeshi kwa kosa la kuacha Uislamu na kuwa Mkristo. Mahakama ya kijeshi ya Tehran imemhukumu mchungaji Mkristo wa Iran Hamid...
12 Reactions
106 Replies
4K Views
Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia ya Kidijitali na Ubunifu, Samuel Nartey George (MB) ametoa wito kwa Multichoice Ghana kutekeleza punguzo la 30% la bei za usajili wa DSTV, akitaja kuimarika kwa...
3 Reactions
11 Replies
643 Views
https://video.a7.org/media/a7radio/misc/video/25/jul/video5996852085654558388.mp4 Am sure Iran kipigwa sana hadi kulia lia eti walipwe fidia. Ndio Maana Israel walikuwa wanatoa kabisa kwa Raia...
11 Reactions
71 Replies
3K Views
Kiongozi wa kijeshi wa Mali, Jenerali Assimi Goïta amepewa muhula wa urais wa miaka mitano na bunge la mpito, ambao anaweza kupewa tena bila kufanyika kwa uchaguzi. Kiongozi huyo wa kijeshi...
1 Reactions
5 Replies
416 Views
Haka kainchi kanazidi kuneemeka ndio maana Waarabu wamekubali yaishe wanatia Saini mkataba wa Abrahams accord, sasa itabaki makobaz Waafrika na chuki zao walizoaminishwa. Kubwa lao Iran...
2 Reactions
6 Replies
765 Views
Wakati Rais wa Sudani Kusini Salva Kiir akifanyiwa uchunguzi wa kimatibabu nje ya nchi baada ya miaka mingi ya uvumi kuhusu afya yake, wachambuzi wanasema kuna mpango wa muda mrefu kuhakikisha...
1 Reactions
1 Replies
343 Views
Jimmy Lee Swaggart muhibiri kutoka Nchini Marekani na Mjuzi wa muziki. Nilichelewa kumjua Jimmy Swaggart lakini Punde baada ya kumfahamu uelewa wangu juu ya maandiko Matakatifu, juu ya msalaba na...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Urusi imekuwa nchi ya kwanza kuutambua rasmi utawala wa Taliban, huku Waziri wa Mambo ya Nje wa Afghanistan Amir Khan Muttaqi akiuita uamuzi wa "ujasiri". Alikutana na balozi wa Urusi nchini...
1 Reactions
1 Replies
321 Views
Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii...
35 Reactions
197 Replies
7K Views
Daniel Edri 24 ambae alikuwa ni mwanajeshi wa Israel amejiua kwa kujichoma moto akiwa ndani ya gari lake kutokana na kusumbuliwa na msongo wa mawazo baada ya kurejea nchini Israel akitokea vitani...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Kapiga au kapigwa? Hiyo ni siri ya jeshi Lakini kitendo cha israeli kuivamia Iran na kupiga vinu vyake vya nyuklia ilikuwa ni ushindi mkubwa kwao pasipo kujali kama mashambulizi ya Iran kwa...
3 Reactions
21 Replies
921 Views
Musk, tajiri namba moja duniani na mfadhili mkubwa wa kisiasa wa Trump katika uchaguzi wa 2024, avunja uhusiano na Rais na kuanzisha chama cha kisiasa kipya Elon Musk, mtu tajiri zaidi duniani...
2 Reactions
59 Replies
3K Views
BREAKING: IDF na ISA zimwemwangamiza gaidi wa Lebanon Qasem Salah al-Husseini, msaidizi mkuu anayefanya kazi katika Kikosi cha Quds cha Iran. Al-Husseini alikuwa nyuma ya ulanguzi wa silaha kutoka...
4 Reactions
22 Replies
906 Views
Mwanajeshi wa Israel Daniel Edri, ambaye alishiriki katika mauaji makubwa ya halaiki huko Gaza na Lebanon, alijikuta katika msongo mkubwa wa mawazo (PTSD). Kiasi cha kuchukua maamuzi ya...
2 Reactions
9 Replies
483 Views
Habari zenu Miaka miwili ya Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso: na hii ni Ripoti tangu kuchukua uongozi wa Taifa hilo la Afrika Magharibi 1. GDP ya Burkina Faso iliongezeka kutoka karibu dola...
34 Reactions
105 Replies
6K Views
Hii ni extract kutoka Makala ya BBC, kuhusu Deni la Marekani; (Wengi wanaweza kusema kwamba hayatuhusu, ila ukweli ni kwamba Mchuma Janga hula na Wakwao; na Hapa Wakwao ni Dunia)... Simon Jack...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kiongozi mpya wa Hezbollah, Naim Qassem, amesema kundi lake halitoweka chini silaha wala kujisalimisha licha ya vitisho vya Israel. Akihutubia maelfu ya wafuasi wake wakati wa maadhimisho ya...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…