Maungamo ya Dhahiri ya Hezbollah
Katibu Mkuu wa magaidi wa Hezbollah, Naim Qassem, alitoa hotuba ya kustaajabisha na isiyo ya kawaida, iliyojaa ukiri na ufahamu wa kibinafsi kuhusu udhaifu wa...
Taarifa zilizokusanywa na Satellite kutoka chuo kikuu cha Oregon Marekani zimeonesha makombora ya Iran yalifanikiwa kupenya mifumo ya ulinzi anga ya Israel na kushambulia kambi 5 za IDF pamoja ni...
Roman Starovoyt, waziri wa usafirishaji wa Urusi amekutwa amekufa kwa kujipiga risasi masaa machache baada ya kutimuliwa na Putin.
Kamati ya Upelelezi ya Urusi siku ya Jumatatu imethibitisha kifo...
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua. Katika mahojiano na mchambuzi wa Marekani Tucker Carlson, Pezeshkian alisema, "Walijaribu, ndiyo. Walitenda ipasavyo, lakini...
Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe!
Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu...
Kabla ya shambulio nchini Yemen: Msemaji wa Kiarabu wa IDF ametoa onyo la kuhamishwa watu kwenye bandari za Hodeidah, Ras Issa, na Salif, pamoja na kituo cha umeme cha Hodeidah-Ras al-Khatib.
China umeuonya utawala wa Trump siku ya Jumanne dhidi ya kuzidisha mvutano wa kibiashara ikiwa itarejesha ushuru kwa bidhaa zake mwezi ujao, na kutishia kulipiza kisasi dhidi ya mataifa ambayo...
Imamu Muislamu nchini Ujerumani amesema:
“Mara tu unapofika peponi, mabikira 72 watakuwa wanakusubiri.
Utakapomalizana na bikira mmoja, mwingine atakuwa tayari kwa ajili yako.
Wale mabikira...
Jukwaa la Wapiganaji Waliojeruhiwa limetoa taarifa kumtaka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu asikubali makubaliano yoyote ya Gaza ambayo hayaleti "ushindi kamili" dhidi ya Hamas.
"Tulijitolea kwa...
Mojawapo ya ajenda ambazo Trump alitamba nazo sana wakati wa kampeni zake za kugombea urais awamu ya pili ni pamoja na kuweka wazi mafaili ya mauaji ya Rais John F Kennedy na kuweka hadharani...
Wanajeshi watano wa Israel wameuawa katika shambulio la bomu Ukanda wa Gaza. Uchunguzi wa awali wa jeshi la Israel umeonesha wanajeshi hao waliuwawa Jumatatu jioni kwenye eneo linalofahamika kama...
Elon Musk alitishia kuanzisha Chama Cha Siasa endapo muswada wa BBB utakaoongeza gharama za maisha utapitishwa na Bunge
Je Unadhani kuna Siku Rostam Aziz anaweza kuanzisha Chama Cha Siasa...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema amempendekeza Rais Trump kwa tuzo ya Amani ya Nobel na kwamba ameshatuma barua kwa kamati ya tuzo ya Nobel juu ya pendekezo lake hilo. Rais wa...
Baada ya serikali ya DRC kuongeza wanajeshi na mercenaries kutoka Marekani na Ulaya, taarifa za awali, zinasema AFC/M23 imeshazingira Uvira.
Rais wa DRC amesema atahakikisha Kivu zote zinarudi...
Kumekuwa na taarifa zinazoendelea kuhusu mvurugano wa Uongozi wa Juu wa Chama cha Kikomunist cha China (CCP) Kiasi kwamba Rais Xi kwa mara ya kwanza ameshindwa kuhudhuria Mkutano wa BRICS huko...
Vikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa kijiji cha kwanza mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk.
Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi...
Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumatatu, Julai 7, ameahidi kutoza ushuru wa forodha wa angalau asilimia 25 kwa nchi kadhaa, zikiwemo Japani na Korea Kusini, washirika wawili wakuu wa Asia...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema Jumatatu kwamba Marekani itatuma silaha zaidi nchini Ukraine.
Wiki iliyopita , Pentagon ilitangaza kuwa inasimamisha usambazaji kwa Ukraine, na msemaji wa...
Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:
"Tulirusha makombora 2,000 na UAV kuelekea Israel wakati wa makabiliano. Ikiwa tutashambuliwa tena, hatutakuwa na mistari nyekundu."
“Mytake”
Ikiwa...