Meli moja kubwa ya mizigo ikielekea Israel kupitia Red Sea imepigwa kwa njia tofauti kulazimsiha mabaharia wote kujiokoa wakiicha meli hiyo ikiwaka na kunywa maji.
Njia zilizotumika ni kutumia...
Rais Volodymyr Zelensky amesema Ukraine imekumbwa na shambulizi kubwa zaidi kuwahi kutokea la anga kutoka Urusi, ndege zisizo na rubani 728 na makombora 13 ya baharini au ya balistiki yalipiga...
Prof Oghenetega Ighedo made history as the first Black woman to earn a PhD in Pure Mathematics from the University of South Africa (UNISA) in its 148-year existence.
The Nigerian-born...
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametishia kutoza ushuru wa asilimia 100 kwa muungano wa mataifa tisa wa BRICS iwapo yataunda sarafu pinzani dhidi ya dola ya Marekani.
"Wazo kwamba Nchi za...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa leo Jumatatu amelaani tishio la Rais wa Marekani Donald Trump la kuongeza ushuru kwa mataifa ya BRICS, akisema juhudi za Trump za "kuuadhibu" umoja huo...
Maungamo ya Dhahiri ya Hezbollah
Katibu Mkuu wa magaidi wa Hezbollah, Naim Qassem, alitoa hotuba ya kustaajabisha na isiyo ya kawaida, iliyojaa ukiri na ufahamu wa kibinafsi kuhusu udhaifu wa...
Taarifa zilizokusanywa na Satellite kutoka chuo kikuu cha Oregon Marekani zimeonesha makombora ya Iran yalifanikiwa kupenya mifumo ya ulinzi anga ya Israel na kushambulia kambi 5 za IDF pamoja ni...
Roman Starovoyt, waziri wa usafirishaji wa Urusi amekutwa amekufa kwa kujipiga risasi masaa machache baada ya kutimuliwa na Putin.
Kamati ya Upelelezi ya Urusi siku ya Jumatatu imethibitisha kifo...
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian amedai kuwa Israel inataka kumuua. Katika mahojiano na mchambuzi wa Marekani Tucker Carlson, Pezeshkian alisema, "Walijaribu, ndiyo. Walitenda ipasavyo, lakini...
Trump ansema hapendi kutazama paneli za solar na na mapangaboi ya upepo, vinaharibu tu mandhari ya mashamba, anapendelea zaidi makaa ya mawe!
Marekani haijawahi kuwa na rais mjinga kama huyu...
Kabla ya shambulio nchini Yemen: Msemaji wa Kiarabu wa IDF ametoa onyo la kuhamishwa watu kwenye bandari za Hodeidah, Ras Issa, na Salif, pamoja na kituo cha umeme cha Hodeidah-Ras al-Khatib.
China umeuonya utawala wa Trump siku ya Jumanne dhidi ya kuzidisha mvutano wa kibiashara ikiwa itarejesha ushuru kwa bidhaa zake mwezi ujao, na kutishia kulipiza kisasi dhidi ya mataifa ambayo...
Imamu Muislamu nchini Ujerumani amesema:
“Mara tu unapofika peponi, mabikira 72 watakuwa wanakusubiri.
Utakapomalizana na bikira mmoja, mwingine atakuwa tayari kwa ajili yako.
Wale mabikira...
Jukwaa la Wapiganaji Waliojeruhiwa limetoa taarifa kumtaka Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu asikubali makubaliano yoyote ya Gaza ambayo hayaleti "ushindi kamili" dhidi ya Hamas.
"Tulijitolea kwa...
Mojawapo ya ajenda ambazo Trump alitamba nazo sana wakati wa kampeni zake za kugombea urais awamu ya pili ni pamoja na kuweka wazi mafaili ya mauaji ya Rais John F Kennedy na kuweka hadharani...
Wanajeshi watano wa Israel wameuawa katika shambulio la bomu Ukanda wa Gaza. Uchunguzi wa awali wa jeshi la Israel umeonesha wanajeshi hao waliuwawa Jumatatu jioni kwenye eneo linalofahamika kama...
Elon Musk alitishia kuanzisha Chama Cha Siasa endapo muswada wa BBB utakaoongeza gharama za maisha utapitishwa na Bunge
Je Unadhani kuna Siku Rostam Aziz anaweza kuanzisha Chama Cha Siasa...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema amempendekeza Rais Trump kwa tuzo ya Amani ya Nobel na kwamba ameshatuma barua kwa kamati ya tuzo ya Nobel juu ya pendekezo lake hilo. Rais wa...