International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wafanyakazi sita wameokolewa na takriban wengine watatu kufariki dunia baada ya meli ya mizigo kushambuliwa na Wahouthi wa Yemen na kuzama kwenye Bahari ya Shamu, ujumbe wa wanamaji wa Ulaya...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Duru zinasema kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel ikiwa ni sehemu ya majadiliano ya sasa ya kusitisha vita kwa muda wa siku 60. Hata hivyo bado...
0 Reactions
5 Replies
473 Views
Huku tukidhani kuwa air defense ya Iran imemalizwa nguvu, leo Iran imefanikiwa kudungua ndege mbili aina ya F-35 ambazo ni stealth (Hazionekani katika radar). Hatma ya Marubani wa ndege hizo...
7 Reactions
86 Replies
6K Views
Hawa jamaa wanadhani kila mtu ni mjinga asilimia 73 ya wahitimu wa masomo ya vyuo vikuu ni wanawake na asilimia kubwa ya walioajiriwa karibia idara na fani nyeti ni wanawake. Iran wanawake...
9 Reactions
56 Replies
1K Views
Kutoka BBC Swahili 10 Julai 2025 Habari za magazeti ya Uingereza zinaangazia wasiwasi unaoongezeka kuhusu machafuko ya ndani nchini China, huku kukiwa na ripoti za mvutano kati ya Rais Xi Jinping...
3 Reactions
62 Replies
3K Views
Afisa mwandamizi wa ujasusi wa Ukraine ameuawa kwa kupigwa risasi mchana kweupe mjini Kyiv, maafisa wamesema. Afisa huyo wa Huduma ya Usalama ya Ndani ya Ukraine alipigwa risasi mara kadhaa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukimsaidia mwanaume kwenye matatizo yake atakukumbuka maisha yake yote. Ila ukimsaidia mwanamke atakukumbuka kila akipata tatizo jipya.
9 Reactions
10 Replies
838 Views
Askari wa akiba aliuawa huko Khan Yunis baada ya kuhangaika na magaidi waliojaribu kumteka nyara. Kulingana na uchunguzi wa awali, wakati wa operesheni za IDF huko Khan Yunis, magaidi waliibuka...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Jana wakati Rais Trump alipokutana na baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika Magharibi, alimsifia Rais wa Liberia kwa kuongea Kiingereza kizuri. Maneno hayo ya Trump yamezua mjadala. Kuna wanaodai...
1 Reactions
16 Replies
914 Views
The Challenge Approximately one-quarter of Tanzanian women will experience sexual violence before the age of 18, and in a National cross-sectional survey conducted with ~15,000, 15–24-year-old...
0 Reactions
0 Replies
321 Views
Watu tisa wa familia ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi wamefunguliwa kesi mjini Brussels wakishutumiwa kwa wizi wa madini ya migodi iliyopo majimbo ya Lualaba na Upper...
3 Reactions
8 Replies
583 Views
Julai 10, 2025, kupitia ripoti ya UNAIDS iliyozinduliwa nchini Afrika Kusini, Mkurugenzi Mtendaji wa UNAIDS, Winnie Byanyima, alieleza hatua ya Marekani kusitisha ghafla ufadhili kupitia mpango...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari hii sijaichakachua. Nairipoti kama nilivyoisikia. Tazama source ujiridhishe. Habari kutoka Iran zinasema kwamba misikiti mingi sana(kwa maelfu) katika nchi ya Iran imefungwa na mamilioni...
13 Reactions
57 Replies
2K Views
Ayatullah Ahmad Khatami, mjumbe wa Baraza la Walinzi la utawala wa Iran, alisema katika khutba ya Ijumaa (Julai 4) mjini Tehran kwamba Trump na Netanyahu wanahitaji kunyongwa.
2 Reactions
28 Replies
954 Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewataka viongozi na wafanyabiashara waongeze uwekezaji katika ulinzi, wakati ambapo Urusi inaimarisha mashambuliziZelensky amesisitiza kwamba huo ndio msimamo...
0 Reactions
1 Replies
364 Views
https://www.youtube.com/watch?v=SqJvJ4Yv8Xw Kila Mmoja ameshinda kivyake ila faida amepata Israel malengo yote 100% Iran kwake kupona kwa Ayatollah na kuendelea kutawala Iran ni Ushindi kwake 100%
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Cairo. Mpango wa Diplomasia ya Afya kwa Wanafunzi wa Tiba umezinduliwa nchini Misri kwa udhamini wa Muungano wa Kimataifa wa Wanafunzi wa Tiba wa nchi hiyo na tawi lake katika Chuo Kikuu cha MTI...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
Magaidi wa dini ya waislamu, Alshabaab wakiri ndio walihusika kwenye bomu lililolipuliwa jana kwa mmoja wao kujitoa mhanga...... An explosion hit a military base in the Somali capital on...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump, amefanya mkutano na viongozi wa nchi tano za Afrika, Gabon, Guinea-Bissau, Liberia, Mauritania na Senegal katika Ikulu ya White House. Mkutano huo uliandaliwa...
1 Reactions
0 Replies
501 Views
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amewataka washirika wake kuharakisha kuiwekea Urusi vikwazo vipya baada ya Urusi kuishambulia Ukraine usiku kucha kwa kutumia makombora na mamia ya ndege za...
1 Reactions
0 Replies
439 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…