Putin officially bans satanism in Russia, declares the occult a ‘cultural threat to civilization.’ The satanic temple on it's part says Russian children should have the opportunity to choose...
Wakuu,
Mbona hii theory kama inaanza ku-make sense wakuu
Naanza kuamini huyu mke wa Macron kweli ni mwanaume
Mahakama ya Rufaa ya Ufaransa imebatilisha hukumu dhidi ya wanawake wawili...
Iran International: Iran yadai Israel ilitumia sayansi ya uchawi wa majini kwenye vita dhidi yake kwa ajili ya ujasusi Afisa wa mwandamizi Jeshi la Iran amedai kuwa Israel...
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametangaza kuwa Ghana iko tayari kufadhili uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (drones) za Ukraine, baada ya mazungumzo ya simu na Rais wa Ghana, John Dramani...
Usitishwaji wa usambaji wa mafuta katika injini ya ngede kabla ya kuanza safari imetajwa kama sababu ya iliyosababisha ajali ya ndege ambayo imeua watu takriban 260 hii ni kwa mjibu wa ripoti ya...
Hagia Sophia, or “Holy Wisdom,” is one of the world’s most innovative architectural marvels. The building, located in present-day Istanbul, Turkey, embodies a complex history of conversion, both...
Aliyekuwa mbabe wa kivita wa Liberia Prince Johnson, ambaye alisimamia mauaji ya kikatili ya aliyekuwa Rais Samuel Doe wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyotikisa nchi hiyo, kabla ya kuwa...
Habari zenu waungwana, nadhani siku si nyingi nilipandisha uzi wenye heading ya WATU WENGI HAWAJUI CHOCHOTE KUHUSU TAIFA LA ISRAEL then kukawa na maneno mengi sana hapa, lakini nilihadi nitarudi...
Mwisho wa mwaka huu haujawa mzuri kwa Pentagon na defense contractors wake, kwa ujumla unaweza kuwaita U.S MIC (U.S Military Industrial Complex)
Mapema mwezi Novemba kwenye Zhuhai Air show China...
Iran imerusha makombora katika kambi ya jeshi la Marekani nchini Qatar, ikisema kuwa ni kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani dhidi ya maeneo yake ya nyuklia mwishoni mwa wiki.
Mashuhuda...
Urusi imefanya mashambulizi makubwa ya anga tangu vita hivo vya zaidi ya miaka mitatu kuanza.katika mashambulizi hayo yaliotokea usiku wa july 9 urusi imevurumisha ndege zisizo na rubani takribani...
Rais wa Marekani Donald Trump ameshangazwa na Kiingereza kizuri cha Rais wa Liberia Joseph Boakai:
"Asante, na Kiingereza kizuri namna hii, kizuri sana. Ulijifunzia wapi kuzungumza kwa uzuri...
Uchambuzi wa Kisiasa wa William Ruto: Msururu wa Usaliti?
Maisha ya kisiasa ya William Ruto nchini Kenya yamekuwa na alama ya miungano ya kimkakati na migogoro mikubwa ya kisiasa, mara nyingi...
Top 10 Steel-Producing Countries in 2024 🏗️
1. 🇨🇳 China – 1,005 Mt
2. 🇮🇳 India – 149 Mt
3. 🇯🇵 Japan – 84 Mt
4. 🇺🇸 U.S. – 80 Mt
5. 🇷🇺 Russia – 71 Mt
6. 🇰🇷 South Korea – 64 Mt
7. 🇹🇷 Türkiye – 37 Mt...
Utawala wa Trump umetangaza kwamba unamwekea vikwazo Francesca Albanese, mpelelezi huru aliyeteuliwa kuchunguza ukiukaji wa haki za binadamu katika maeneo ya Wapalestina, ikiwa ni juhudi ya hivi...
Senior Israeli official: Intel shows Iran didn’t remove enriched uranium from sites hit by US, Israel
https://www.timesofisrael.com/liveblog-july-10-2025/
Wafanyakazi sita wameokolewa na takriban wengine watatu kufariki dunia baada ya meli ya mizigo kushambuliwa na Wahouthi wa Yemen na kuzama kwenye Bahari ya Shamu, ujumbe wa wanamaji wa Ulaya...
Duru zinasema kundi la Hamas linalotawala Ukanda wa Gaza limekubali kuwaachia huru mateka 10 wa Israel ikiwa ni sehemu ya majadiliano ya sasa ya kusitisha vita kwa muda wa siku 60. Hata hivyo bado...