International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Vikwazo ni suala moja, lakini kuvitekeleza ni suala jingine kabisa. Wavuvi wanasema, “Paka hawezi kumjeruria Mpishi“ 😂 Wazee wa teknolojia! NVIDIA imetangaza kurudi China bana . Juzi (jumatatu)...
1 Reactions
1 Replies
355 Views
Kipigo cha juzi ambapo Israel iliteka anga lote la Iran na kujipigia kila walichotaka kupiga, ni kitu kinawasumbua sana Iran, ilitokeaje yaani kivipi licha ya wao kuamini katika Allah wao, iweje...
10 Reactions
37 Replies
2K Views
Wakuu, Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameamuru kufutwa mara moja kwa posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wa Serikali ambao wameteuliwa kama sehemu ya kupunguza matumizi ya serikali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wachina wanajulikana kwa kuloby na kuiba technology za nchi nyingine za hali ya juu na kuziendeleza na kutengeneza bidhaa za bei rahisi. Manyamela hao wametoa fighter yao chapa J 35 ila kila kitu...
34 Reactions
114 Replies
6K Views
Waziri wa Kazi wa Cuba, Marta Elena Feitó Cabrera, amejiuzulu baada ya kudai kuwa hakuna ombaomba nchini humo, akisema wanaochakura takataka hufanya hivyo kwa hiari ili kupata “pesa rahisi”...
0 Reactions
0 Replies
388 Views
Watafiti wa China wanasema wanaweza kugundua ndege ya kivita ya F-35 inayotengenezwa Marekani kutoka zaidi ya kilomita 1,800 kwa kutumia moshi wa injini yake. Watafiti wa China wanasema...
10 Reactions
66 Replies
4K Views
Ripoti ya Channel 12, kwa mara ya kwanza imefichua hadharani kuwa, ndege ya kivita ya Israel F-15 ilikaribia kutua katika ardhi ya Iran wakati wa vita vya siku 12 kati ya Israel na Iran. Ndege...
4 Reactions
10 Replies
936 Views
Niaje waungwana Kilichotokea Middle East kati ya Iran na Israel, ni kama vile kitu kilikuwa kimepangwa, au kuandaliwa muda mrefu na serikali ya Marekani kwa kushirikiana na shirika lao la...
12 Reactions
57 Replies
3K Views
Habari zenu ndugu, Nina ndugu Yangu anafikiria kwenda kutafta maisha Uingereza kwa kufata taratbu zote yan kwa passport, visa na kila kitu, ila njia anayotaka kuitumia ni kwanza kuhakikisha...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Rais wa Cameroon, Paul Biya, mwenye umri wa miaka 92, ametangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane katika uchaguzi wa urais utakaofanyika October 12, 2025 Biya, ambaye ni kiongozi wa taifa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95. Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta...
13 Reactions
104 Replies
5K Views
Wafuasi wanamtaka kiongozi mkongwe zaidi duniani, Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 91, Paul Biya, kugombea urais katika uchaguzi wa urais wa 2025, ukiwa ni uwezekano wa kuongeza utawala wake...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Baadhi ya wanachama wa kihafidhina wa vuguvugu la Donald Trump la "Make America Great Again" wamejibu kwa hasira mipango ya rais ya kuiuzia Nato silaha, wakisema ni usaliti wa ahadi yake ya...
1 Reactions
0 Replies
455 Views
Wanaukumbi Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kuwa Marekani itatuma "silaha za hali ya juu" kwa Ukraine kupitia nchi za Nato, huku pia akitishia Urusi kwa kutoza ushuru mkubwa ikiwa...
1 Reactions
5 Replies
442 Views
The war between Russia and Ukraine is rooted in a complex interplay of historical, political, and geopolitical factors. Key causes include: 1. Russia's desire for a sphere of influence: Russia...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Niaje waungwana Mtu ukiisoma na kuijadili hii thread kimihemko, na kiitikadi bila kuzingatia uhalisia wa kilichoandikwa, hakika itakuwa ngumu mno kunielewa. Lakini ukiisoma na kuijadili hii...
23 Reactions
284 Replies
7K Views
Wanunua tiketi kwa ajili ya kupataa nafasi ya kushinda jumba hili wakafika 500,000, Kumaanisha kuwa mwamba aliishia kutengeneza Tsh 3.5bn, mara mbili ya bei aliokuwa ametangaza mwanzoni.😨...
16 Reactions
26 Replies
1K Views
Donald Trump amesema amesikitishwa na Putin lakini akasema bado hajakata tamaa na Vladimir Putin, katika mazungumzo ya kipekee ya simu na BBC. Rais wa Marekani alishinikizwa iwapo anamuamini...
1 Reactions
3 Replies
499 Views
BREAKING: Muhammad Nasser, gaidi wa Kipalestina aliyemshikilia Emily Damari nyumbani kwake huko Gaza, aliangamizwa kwa mafanikio na IDF. Hakuna mahali pa kujificha. Israeli itawapata wote walio...
0 Reactions
2 Replies
532 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…