International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Milipuko imetokea maeneo kadha, ikiwa ni pamoja na mgahawani katika duka la kibiashara lililoko karibu na ikulu ya rais na afisi za UN. Kuna ripoti za maafisa wa polisi kuonekana kwenye majengo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mbwa wawaili wa familia ya Obama, Bo (kushoto) na Sunny Mtu ambaye anaonekana alipanga kumuiba mmoja wa mbwa wa familia ya Obama katika Ikulu ya Marekani alikamatwa wiki hii mjini Washington...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Grace Mugabe na mumewe Robert Mugabe Mahakama moja nchini Zimbabwe imetupilia mbali baadhi ya mashtaka dhidi ya mbunge mmoja wa chama tawala anayetuhumiwa kumtusi mkewe rais wa taifa hilo Grace...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Muuza unga maarufu bilionea el-chapo Guzman aliyetoroka gerezani mwaka Jana kwa kuchimba mtaro mrefu amekamatwa tena. ======== Mexico's authorities have recaptured drug lord Joaquin "El Chapo"...
0 Reactions
125 Replies
37K Views
Kampuni ya mafuta ya nchini Ufaransa Total, imethibitisha kuwa itazalisha mafuta nchini Uganda licha ya kuanguka kwa bei ya mafuta yasiyosafishwa, huku ikisafirisha nishati hiyo muhimu kwenda...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
An ISIS suicide bomber is believed to be behind the bomb blast that killed 10 and injured 15 in Istanbul today. The explosion ripped through Istanbul's historic Sultanahmet district this morning...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwanamume anayesakwa kwa makosa la kuteketeza na kuharibu mali ametuma picha ya selfie kwa maafisa wa polisi akisema picha iliyotumiwa na maafisa hao katika tangazo la kutafutwa kwake haikuwa ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
A suicide bomber killed 12 people and wounded at least one in an attack on a mosque in northern Cameroon on Wednesday, officials in the Far North region said, the latest attack in an area beset by...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Robert Mugabe is reported to have collapsed after suffering a heart attack while on holiday with his family and is in critical condition. Charamba has refused to comment, sources close to the...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Shirika linaloshughulikia watoto la Umoja wa Mataifa limesema zaidi ya nusu ya watoto Sudan kusini hawako shule. Kwa mujibu wa UNICEF, idadi hiyo ni kubwa kuliko nchi yoyote ile duniani. Shirika...
0 Reactions
1 Replies
806 Views
A senior Russian prison official is accused of stealing a 50-kilometre road, allegedly selling off more than 7,000 slabs of concrete that made up a highway in the far northern Komi region (AFP...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Image copyrightReuters Image captionBoti ya Marekani aina ya Riverline, ambayo ni sawa na mbili zilizokamatwa na Iran Wanajeshi wa Iran wamewaachilia huru mabaharia 10 wa Marekani waliokuwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kamati ya maadili ya Fifa imependekezwa Valcke apigwe marufuku miaka tisa Katibu mkuu wa Shirikisho la soka duniani Fifa aliyekuwa amesimamishwa kazi Jerome Valcke ameondolewa rasmi kutoka kwenye...
0 Reactions
1 Replies
890 Views
Mamia ya nakala za bajeti rasmi ya Serikali ya Nigeria ya mwaka wa 2016, zimetoweka kutoka bunge la nchi hiyo. Haya ni kwa mujibu wa mbunge mmoja aliyezungumza na BBC na ambaye hakutaka jina lake...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
Obama asema huwa hapaki nywele zake rangi Obama aliingia mamlakani akiwa na nywele nyeusi 2009 Rais wa Marekani Barack Obama amesema yeye huwa hapaki rangi nyele zake kuficha mvi kama viongozi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mshirikishe mwenzako Image copyrightREUTERS Image captionRais Obama akihutubia bunge la congress katika hotuba yake ya mwisho ya kitaifa mamlakani Rais wa Marekani Barack Obama ametetea vikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Miongoni mwa Waisrael wanaokamatwa kwa kuchukua sheria mkononi Waisrael wanne wameshtakiwa kwa kuhusika na kumpiga mhamiaji kutoka Eritrea, ambaye alidhaniwa kuwa mpiganaji wa kiarabu. Habtom...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Haya kwa wale haters and pia fanatics wa Obama, here is for you to ponder over (am neither, so don't ask for "my take" on it)..... ===============================================================...
0 Reactions
0 Replies
751 Views
Abdulvakhid Edelgireyev survived for years hiding in the Chechen mountains, launching attacks on Russian security forces and evading capture. He survived the battlefields of Syria, and those of...
0 Reactions
4 Replies
939 Views
  • Closed
Mahakama moja ya Kiislamu nchini Nigeria imemhukumu kifo mhubiri anayetuhumiwa kukufuru kwa kumtukana Nabii Muhammad. Abdul Inyass amehukumiwa katika kikao cha faragha cha mahakama katika mji wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…