Aliyemtukana Mtume kuadhibiwa kifo nchini Mauritania

Status
Not open for further replies.

Sinoni

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,173
10,650
4bk4fe7fe9648f6fsj_620C350.jpg

Mahakama ya Rufaa ya Mauritania imepasisha hukumu ya kifo dhidi ya mwandishi aliyemvunjia heshima Mtume Muhammad (saw).

Shirika la Habari la Kimataifa la Qur'ani (IQNA) limeripoti kuwa, Mahakama ya Rufaa ya mji wa Nawadibo huko kaskazini magharibi mwa Mauritania imepasisha hukumu ya kifo dhidi ya mwandishi Muhammad Sheikh Ould Amkhtir wa nchi hiyo kwa sababu ya kuandika makala iliyomvunjia heshima na kumtusi Mtume wa Mwenyezi Mungu, Muhammad (saw) hapo mwaka 2014.

Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Mauritania ambaye aliomba kutolewe hukumu ya kifo dhidi ya mwandishi huyo amesema kuwa kunyongwa kwake kutakuwa somo kwa wale wote wanaothubutu kumvunjia heshima Mtume wa Mwenyezi Mungu.

Kuchapishwa kwa makala ya mandishi Muhammad Sheikh Ould Amkhtir hapo mwaka 2014 kulisababisha maandamano makubwa kote Mauritania ambayo hayakutulia ila baada ya kutolewa hukumu ya kifo dhidi ya mwandishi huyo.
 
Imani haiishii tu katika kuamini unachokiamini, bali huenda mbali zaidi ya hapo, kuna misingi ya imani, sharti za imani na nguzo za imani, lakini pia kuna amri, sheria na hukmu utakapovunja hiyo misingi hiyo.
Uislamu ni dini ya sheria, Dini ya haki, kila mja analindwa haki yake na uislam, zipo haki zinazolindwa na Uislamu dhidi ya makafiri (kama nyinyi), na waumini.
Na kila mmoja ktk wao akikosea ana namna yake ya kuhukumiwa,
Uislamu sio dini ya kibabaishaji kama dini zingine. Na lau ingekuwa hivyo ingekuwa imeshafutika zamani sana kwa jinsi inavyopigwa vita.
Huyo kahukumiwa kwa mujibu wa sheria na wala hakuonewa, Sawasawa na uzito wa kosa alilofanya.
 
...sasa kama sio dini ya kibabaishaji presha yenu inatoka wapi?,kumfunga mtu mdomo kwa kumuua ndio kuleta heshima?!, hayo mamlaka ya kutoa roho ya mtu wewe na uislamu wako mmeyapata wapi?!, nina wasiwasi hata huyo mtume wenu hamumuamini,ndio maana mnamsaidia kutoa adhabu!!,
hivi huko kwenye uislamu hakuna kusamehe?!,nyie mkiua hampati dhambi?!...
Eti dini nyingine za kibabaishaji,yaani nyie wauaji ndio mnajua zaidi!,hiyo dini yenu ina exist kwa sababu ya matendo ya kinyama mnayofanyia wengine,nothing else!
 
Si dini ya haki, mbona wanawake mnawafanya viburudisho unaoa mpaka viburudisho vinne, lakini yeye haruhusiwi kuoa wanaume viburudisho vinne
 
...sasa kama sio dini ya kibabaishaji presha yenu inatoka wapi?,kumfunga mtu mdomo kwa kumuua ndio kuleta heshima?!, hayo mamlaka ya kutoa roho ya mtu wewe na uislamu wako mmeyapata wapi?!, nina wasiwasi hata huyo mtume wenu hamumuamini,ndio maana mnamsaidia kutoa adhabu!!,
hivi huko kwenye uislamu hakuna kusamehe?!,nyie mkiua hampati dhambi?!...
Eti dini nyingine za kibabaishaji,yaani nyie wauaji ndio mnajua zaidi!,hiyo dini yenu ina exist kwa sababu ya matendo ya kinyama mnayofanyia wengine,nothing else!

Kuna watu wamemuumba mungu wao na kila ovu walofanya wanasema ni mungu wao kaagiza.
 
Imani haiishii tu katika kuamini unachokiamini, bali huenda mbali zaidi ya hapo, kuna misingi ya imani, sharti za imani na nguzo za imani, lakini pia kuna amri, sheria na hukmu utakapovunja hiyo misingi hiyo.
Uislamu ni dini ya sheria, Dini ya haki, kila mja analindwa haki yake na uislam, zipo haki zinazolindwa na Uislamu dhidi ya makafiri (kama nyinyi), na waumini.
Na kila mmoja ktk wao akikosea ana namna yake ya kuhukumiwa,
Uislamu sio dini ya kibabaishaji kama dini zingine. Na lau ingekuwa hivyo ingekuwa imeshafutika zamani sana kwa jinsi inavyopigwa vita.
Huyo kahukumiwa kwa mujibu wa sheria na wala hakuonewa, Sawasawa na uzito wa kosa alilofanya.
Uko sawa Jihad John
 
Wewe ndiye Kafir kwa sababu unashabikia mauaji yasiyo na msingi na kwa sheria hizo za karne ya sita
 
Ndiyo maana nikasema "...hawa wanahubiri upendo na hawa wanalazimisha upendo", hivyo hapo kwenye rangi inaonesha pure logic ya uislam na vision iliohasisiwa ya kutangaza uislam kwa nguvu zote, ukionekana unapinga (jambia linachukua nafasi yake) hii ndiyo kusema juu ya yote uloandika hapo chini, ...
Imani haiishii tu katika kuamini unachokiamini, bali huenda mbali zaidi ya hapo, kuna misingi ya imani, sharti za imani na nguzo za imani, lakini pia kuna amri, sheria na hukmu utakapovunja hiyo misingi hiyo.
Uislamu ni dini ya sheria, Dini ya haki, kila mja analindwa haki yake na uislam, zipo haki zinazolindwa na Uislamu dhidi ya makafiri (kama nyinyi), na waumini.

Na kila mmoja ktk wao akikosea ana namna yake ya kuhukumiwa,
Uislamu sio dini ya kibabaishaji kama dini zingine. Na lau ingekuwa hivyo ingekuwa imeshafutika zamani sana kwa jinsi inavyopigwa Ev.

Back
Top Bottom