Burundian time-bomb

mchambawima1

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
2,487
738
20160423_LDM917.png

WHEN a Hutu politician says it is time to “pulverise and exterminate” rebels who are “good only for dying”, outsiders should sit up. When he talks of spraying “cockroaches” or urges people to “start work”, it is hard to miss the old codewords for massacring Tutsis. When the politician is not some obscure backbencher but the president of the Burundian Senate, the world should be alarmed.

History does not always repeat itself in central Africa, but it rhymes cacophonously. Rwanda and Burundi, two small countries with Hutu majorities and Tutsi minorities, have seen large-scale ethnic massacres in 1959, 1963, 1972, 1988, 1993 and 1994. These were not, as some outsiders imagine, spontaneous outbursts of tribal hatred. They happened because those in power deliberately inflamed ethnic divisions.

The Rwandan genocide of 1994, in which perhaps half a million Tutsis were hacked to death, was meticulously planned by Hutu army officers and politicians. They did it to avoid sharing power with Tutsi rebels after a peace accord to end a civil war.

They raised a militia, cranked up the genocidal propaganda and imported hundreds of thousands of machetes in advance. The outside world barely noticed until it was too late. The genocide ended only when a Tutsi army swept in to stop it, led by Rwanda’s current president, Paul Kagame.

Today in Burundi, many people hear echoes of 1994. Since last April, when President Pierre Nkurunziza, a Hutu, declared that he would seek a (probably unconstitutional) third term in office, the country has been plunged into turmoil. Bujumbura, the pretty capital on the shores of Lake Tanganyika, has endured a botched coup and street fighting. Its cobbled streets are deserted after dark and ring to the sound of gunfire.

In recent months repression has gathered steam. Mr Nkurunziza’s youth militia terrorises his opponents, many of whom are Tutsis. Hundreds, perhaps thousands, of people, mostly young men, have been “disappeared”. Torture is rife. Maybe 250,000 people have fled to neighbouring countries; more are displaced internally. The economy is collapsing.

Tutsis have cause to be afraid. They are quietly being purged from the army. On the radio, they hear murderous rhetoric of the sort that preceded the Rwandan genocide. As was the case in Rwanda in 1994, today’s Burundian government feels besieged.

Several of its members have been assassinated, and rebels have launched attacks into Burundi from foreign refugee camps. It is far from clear that genocide is looming. But even if the worst is unlikely, it makes sense to take precautions.

History shows that calamity can happen very quickly: Rwanda’s genocide lasted a mere 100 days. And conflict can often spread across borders: the ripples from Rwanda started a great war in Congo that eventually claimed even more lives.

A short fuse

What can be done to defuse Burundi? The European Union is cutting aid to its government, but Mr Nkurunziza has simply redirected spending from health and education to the security forces, leaving the UN and charities to look after children and the sick (see article).

The African Union considered sending 5,000 soldiers—but then backtracked when Burundi objected. The UN has suggested sending peacekeepers but has done nothing. This is not good enough.

More targeted sanctions, which hurt the president’s cronies personally, are needed. If things get worse, outsiders should be ready to send in troops, under the aegis of the African Union or the UN.

There are 19,000 UN blue helmets just across the border in Congo. They should be prepared to step in, and the great powers should make sure that Mr Nkurunziza knows it.

Source: The Economist‎
 
Kagame, acha uroho wa damu ya wahutu, anyway, Mungu yupo, mnachopanga siyo lazima kitokee. Mapenzi ya Mungu wa kweli yatatimia.
 
Aisee, unaona uongo wa hawa watusi ? Tangu desemba mwaka jana, viongozi wa kijeshi waliouawa hadi juzi ni sita. Kati ya hao sita mtusi ni mmoja tu, waliosalia ni wahutu. Hawa jamaa wanaua sana wahutu halafu wao ndio wanaopiga kelele kuwa wanauawa.
 
nshakuambia utadata tu! na arobaini naona kama vile zinakaribia, kama mna plan B basi bora muanze kuitumia kabla hatujawakabizi kioo mjitazame...
 
Hivi Mchamba huchoki kurudia rudia masuala haya miaka nenda rudi?

Nyinyi Wanyarwanda mnajifanya ni Wakatoliki kuliko PAPA!! In other words mko overly concern na masuala ya mambo ya ndani nchini Burundi kuliko Warundi wenyewe - twambie ukweli mna ajenda gani ya siri kuhusu Taifa hilo, Warundi wanahusika vipi na mambo yaliyo tokea Rwanda zaidi ya miaka ishirini iliyopita.

Kama bado mna entertain idea ya Mtutsi mwenzenu kutawala majority ya Wahutu nchini Burundi hiyo sahau kabisa - siyo siri hilo ndilo lengo lenu kuu mnatumia mbinu nyingi za ku demonise Nkuruzinza bila mafanikio - nasema hivi: go on building castle in the air, who knows may be one day mtazinduka kutoka kwenye ndoto zenu za mchana, lakini ukweli utabaki kwamba - mbinu zenu za kubuni ufalme mambo leo utaishia nchini mwenu Rwanda nchi za Maziwa makuu haziwezi kukubali ujinga huo kuwa propagated kwenye nchi zao.

Hapa unakazania kutangaza ubaya wa utawala wa Nkuruzinza na Wahutu lakini linapo kuja suala la Rais wa maisha (life President) nchi mwenu huko kimya kabisa.

Mbona usemi lolote kuhusu Wafanya biashara wa Kinyarwanda kuchomewa maduka yao huko Lusaka Zambia na wengine kuuwawa kutokana na imani zao za kishirikina au hiyo si habari kwako - habari ni Nkuruzinza tu.
 
maswala ya ndugu zetu kule Zambia yamepewa attention hadi na Raisi wa hiyo nchi, usiwe na shaka, yatarekebishwa na kwa upande wetu as a Country...
High Commission of the Republic of Rwanda to Zambia
April 19 at 2:57am ·

Statement/Press Release: From The Rwanda High Commission Charge d’Affaires a.i Abel Buhungu (19/04/2016):

“We grief with those that fell victim to looting in some Lusaka compounds yesterday. We as the High Commission are in touch with authorities in Zambia and must thank the Zambian Government for due attention given.

There has been increased deployment of police presence even in areas not affected yesterday. Police has confirmed to us arrest of some of the rioters yesterday & reassured of calm today.

Rwandans are meanwhile advised to be alert and avoid unnecessary risks.”
lakini wewe Bukyanagandi mkabila kupindukia! umeanza vizuri, eti "Wanyarwanda" kabla haujafika mbali oh "Mtutsi mwenzenu" kuna wakati huwa najiuliza uhalali wa huo Uhaya wako, ingawaje nao sio wamalaika lakini wewe, Duh! hivi nani anaweza kukuelewa unapoleta story za ufalme karne hii? hizo system za kizamani hatuna sisi! na hatuzitaki! lakini na sisi vilevile hatutaki mtumie akili za kiInterahamwe ambazo tayari zimeshaleta majanga chungu mzima in the GLR, kuendeleza sera zenu za kikabila... kwanza mi nsh'anza kuhisi KIAMA cha Nkurumbi kama kweli ataendelea kutuchokonoa... juzi Mh Raisi Kagame alisema mikono INAMUWASHA kwa yoyote yule anayetaka kushirikiana na INTERAHAMWE! ndivo alivo, akisha sema hivyo yafuatayo ni majanga... kama mna akili timamu ombeni Mungu solution ipatikane kabla maji hayajazidi kikombe! msikilize kwa makini pamoja na kipenzi wake ndugu yako jMali Ikigarasha aka kayumba Nyamwasa...
 
Nkurumbi ni jina la Kihaya, tangu lini Warundi wakajulikana kwa majina ya kienyeji ya Wahaya - Wanyarwanda kweli kuna majina yanafanana na ya Wahaya, Banyankole, Batoro, Banyoro, Bakiga na Banganda.

Mkuu Mchamba, mimi sina chembe ya ukabila wala nini sijui, ninacho kemea ni tabia ya baadhi yenu kuwa na nawazo ya kizamani kwamba mna hati miliki ya kuwatawala wengine, matatizo yote chanzo chake ni imani zenu potofu - hapa unasema hayo ni mambo ya kizamani - hivi Mchamba unaweza kuniangalia usoni ukanishawishi kwamba udanganyi i.e ufanyi usanii kuhadaa Dunia - kama ni kweli mind sets zenu zimekuwa reformed kihasi hicho basi hilo tunapashwa kumshukuru Mungu.

Mchamba how many times must U repeat U're self kwa kunituhumu kwa ukabila!!! Mimi sizungumzi mambo ya kubuni/tunga nilisha sema baadhi ya Wanyarwanda tumeishi nao vijijini kwa karibu tukishirikiana nikiwa na umri mdogo sana, sikuwahi kushuhudia ubaguzi au ukabila wakiwa uhamishoni ni watu wastaarabu sana, tatizo ujitokeza wanapo rudi kwao Rwanda wanapractice ukabila to maximum - lakini Dunia wanaileza mambo mengine tofauti kabisa!!

Narudia kusema kwamba kuishi nao kwa muda mrefu vijijini na wengine kukutana/soma nao O-Level tulisimuliwa mambo mengi na wazazi wao na watoto wao bila kificho, tunapo kemea wasifikiri hatujui tunacho zungumza/kemea. Mimi sina tatizo na Wanyarwanda nisicho penda ni kule kugombana gombana kama watoto wadogo wakiwa nchini mwao - wakiwa nje ni wastaarabu kweli kweli.

Mwisho Mchamba mimi sikuoa kabila langu na watoto wangu hakuna hata mmoja anazungumza/jua kilugha mke wangu ni mzungu sasa madai yako ya kusema mimi ni mkabila unayatoa wapi? Tatizo lako ukiambiwa ukweli unakimbilia kutafuta vijisababu vidogo vidogo kujihami, hujui kwamba sisi wakemeaji wakubwa tunawatakia Wanyarwanda mema wala hilo wewe ulioni!!!! Kitu kingine may I know kwa nini umeni tag ?
 
kwa hiyo samaki ukunjwa baada ya kukaangwa au akingali mbichi? sasa hao ndugu zetu ulioishi nao miaka yote hiyo kwa amani, utulivu na upendo waligeuka walipofika Rwanda? unaweza ukatupa mfano? acha kuunda mambo kusudi usupport your racist arguments ambazo kwa mtizamo wangu zaweza zikawa zimetokana na ile misumu ya jMali au huyo mke wako wa kizungu anaweza akawa ndio wale wapambe wa kina jMali kutoka HRW kama ni kweli, basi pole sana kwani ndugu zako tupo na bado ni walewale na hakuna mabadiliko yoyote... kilicho badilika ni mtazamo wetu dhidi ya DUNIA pale tulipo jikuta tumeachwa peke yetu...
 
nshakuambia utadata tu! na arobaini naona kama vile zinakaribia, kama mna plan B basi bora muanze kuitumia kabla
nshakuambia utadata tu! na arobaini naona kama vile zinakaribia, kama mna plan B basi bora muanze kuitumia kabla hatujawakabizi kioo mjitazame...

kioo mjitazame...

Mchambawani usanii huu mpaka lini, nakushauri kaombe kazi za kuandika script za maigizo kwenye Major film studios za Hollywood namely: Warner Brothers, Paramount, Universal, 20th Century Fox, Columbia Pictures, Walter Disney. Studio zote sita huwezi kukosa kazi.
 
mchambawima1 huwa Mimi namshangaa Kwa kweli. Ukabila utakuua brother. Ya warundi waachie warundi...komaa na ya kwenu Rwanda. Juzi ameuawa Kanali Wa kihutu huko Burundi mbona hatujaona ukizungumzia kukereka? Au Kwa kuwa ni mhutu? Rais kwako Kagame amejifanya lifetime President mbona haukemei? Au Kwa kuwa ni mtusi mwenzako ndio maana unaona poa? Uchaguzi Burundi ushafanyika na wakamchagua Nkurunziza awe Rais wao...kuna tatizo gani mngetulia mpaka msimu wake Wa miaka mitano ukaisha? Uchochezi mnaofanya hamtafanikiwa na Kwa taarifa yenu hakuna anayeunga mkono upuuzi mnaotaka kufanya Burundi. Shame on you mchambawima1 et al
 
Mkuu bora mnavyokuwa mnauona ukweli jinsi ulivyo. Ingekuwa ni mtusi ameuawa, mchambawima1 angeshatoa povu muda mrefu lakini kwa kuwa ni muhutu kauawa anakunywa mvinyo kwa furaha saahizi.
 
Mkuu bora mnavyokuwa mnauona ukweli jinsi ulivyo. Ingekuwa ni mtusi ameuawa, mchambawima1 angeshatoa povu muda mrefu lakini kwa kuwa ni muhutu kauawa anakunywa mvinyo kwa furaha saahizi.
akili za hivi ndio zinazowafanya muendelee kuuwana huko BJ! huyo Snipper unayempa tano, ni MCHOVU mwenzake asiyeelewa hata kusoma! ukabila kautowa wapi katika maandishi yangu? kama kweli anaakili basi analysis yake angekuwa keshaifanya zamani kipindi cha kina jMali na wafuasi wake!
 
mchambawima1 pitia thread yako ya kwanza kabisa uone ulivozungumzia ukabila...wewe ndio bingwa wa kutetea utusi na kukandia uhutu. Hakuna ambaye halijui hilo ndani ya jf
 
Back
Top Bottom