Wakuu mwezi wa 6 mwaka huu DRC iliomba kujiunga na EAC je tuikubalie?. Kwanza tuone hali ilivyo kwenye EAC. Sasa kuna nchi sita, Burundi, Kenya, Tanzania, South Sudan, Rwanda na Uganda. Maombi ya...
Iran says intelligence shows US girding for war - state TV
5 hours ago
Updated 2:23 AM
Share
Iran has intelligence indicating that the United States is using diplomatic overtures as cover for...
Sasa ni zaidi ya mwaka, operation ya kijeshi ya Israel kuwaangamiza magaidi ya Hamas inaendelea, huku tayari wapalestina zaidi ya 57,000 wakiwa wameuawa, na wengi wakitajwa kuwa ni wananchi wa...
BREAKING: Takriban watu 36,000 wa Gaza wameukimbia utawala wa Hamas tangu vita vilipoanza - wakiepuka kuingia wa kwenye ugaidi, machafuko, na kukata tamaa.
Hamas wanajaribu sana kuwazuia wasitoke...
Baada ya miaka mingi ya machafuko na maelfu ya raia kutawanywa makwao, tumaini jipya limeanza kuchomoza mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Serikali ya Kongo imefikia makubaliano...
Serikali ya China imefunga rasmi jukwaa la OnlyFans, ikilitaja kuwa ni mfano wa mmomonyoko wa maadili kutoka Magharibi. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya jukwaa hilo kufunguka kwa muda mfupi bila...
Inaripoti kuwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, mwenye umri wa miaka 75, ameathiriwa na food poisoning (sumu ya chakula) na kupata intestinal inflammation (uvimbe wa utumbo) pamoja na upungufu wa...
Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Al-Waleed bin Khalid bin Talal, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38 baada ya kuwa katika hali ya koma kwa zaidi ya miaka 20.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya...
Mtangazaji wa runinga, mwandishi na muigizaji kutoka marekani Ellen Degeneres ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza toka alipoamia nchini uingereza, ameamua kuishi nchini uingereza mara baada ya...
Dunia ijitayarishe kushuhudia vita vya kweli vya tatu vya dunia kutokana na mzozo wa Ukraine na Gaza.
Kwa upande wa Gaza kinachoendelea ni rehma za Allah kuonesha uwezo wake ambapo Marekani na...
Friedrich Merz, amechaguliwa kuwa Kansela mpya wa Ujerumani siku ya Jumanne, katika duru ya pili ya upigaji kura, baada ya kushindwa kwa mshangao katika duru ya kwanza mapema siku hiyo. Merz...
Waziri mkuu wa China Li Qiang azindua ujenzi wa bwawa kubwa la kufua umeme katika eneo la Tibet.
Bwawa hilo litakuwa na ukubwa mara tatu zaidi ya bwawa la Three gorges lililopo China na...
Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameapa kubaki madarakani, licha ya muungano wa chama chake tawala kupata pigo kubwa katika uchaguzi wa Bunge la Juu, hali ambayo imezua mashaka ndani ya chama...
Rais wa zamani wa Urusi Dmitry Medvedev amesema Magharibi kwa makusudi inavichochea vita kamili dhidi ya Urusi, na kuilazimisha kujibu kwa ukamilifu na ikiwa watalazimika, wataanzisha mashambulizi...
Wana jukwaa wa JF
Papa Leo XIV amerejelea wito wake wa kusitisha mapigano Gaza baada ya watu watatu waliokuwa wakihifadhi katika kanisa katoliki katika mji wa Gaza kuuawa katika shambulizi la...
Itabidi ubalozi wetu nchini Israel itangaze kwa niaba ya taifa la usa ya kwamba nchi ya Israel haikaribishi tena taasisi za dini za Kikristo na wawakilishi wao badala yake wanajihusisha na...
Rais wa Syria Ahmed al-Sharaa ameituhumu Israel kwa kujaribu kuiburuza Syria katika vita na amesema nchi yake haitakubali kunaswa na chambo hicho.Katika hotuba iliyorushwa mapema alfajiri katika...
Watu ambao idadi yao haijafahamika wanahofiwa kufariki dunia baada ya meli ya abiria ya KM Barcelona VA, kuwaka moto karibu na kisiwa cha Talise nchini Indonesia leo Julai 20,2025.
Video hii...