International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wa salaam wanajamvi. Swali langu ni hili: Kwanini wamarekani weusi hulalamika wanapo kojolewa na wamarekani weupe, Ikiwa wao wenyewe hunyeana? Hivi punde kumetokea mauaji ya kijana mweusi huko...
6 Reactions
128 Replies
12K Views
Samsung imeanza mchakato wa kuwafidia wateja walionunua simu hatari za Galaxy Note 7, kazi hiyo imeanza Uingereza na Ireland Kampuni hiyo imedai kuwa imerekebisha tatizo la berti katika simu...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mlipuko umetokea jijini New York nchini Marekani na kuacha watu 29 wamejeruhiwa na hamna taarifa za vifo. Jeshi la Polisi limethibitisha mlipuko huo ulikuwa ni wa makusudi na ulipangwa na watu...
6 Reactions
121 Replies
9K Views
Hospitali kubwa nchini Zimbabwe imesitisha huduma za upasuaji baada ya kuishiwa madawa na taifa kuwa katika hali mbaya ya kiuchumi. Serikali ya rais Robert Mugabe inakabiliwa na uhaba wa fedha na...
0 Reactions
0 Replies
638 Views
Makao makuu ya vyama vitatu vya upinzani nchini Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo yamechomwa moto katika mji mkuu wa Kinshasa huku mili miwili ilioungua ikipatikana ndani yake. Mashambulio hayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyekuwa rais wa zamani wa Marekani kupitia tiketi ya chama cha Republican George HW Bush amesema kuwa atampigia kura mgombea wa urais kupitia tiketi ya Democrat Hillary Clinton . Bwana Bush...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Nilikuwa naangalia analysts wakionyesha vikundi vyote vilivyo kwenye mapambano huko Syria. Kwa namna hii ISIS anaweza akafutwa ila ikaibuka upya vita kati ya Turkey na Kurds, Syria na Al-Nusra...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Sakata la Dominique Strauss-Kahn laibua upya skendo za wanadiplomasia wa Tanzania 2011-05-18 WikiLeaks Notes: Diplomatic Sexual Abuse a la Strauss-Kahn FROM THE CABLES/GITMO FILES Dominique...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Is the Presidential Race Actually between the IRS and Wikileaks?
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Italy ina eneo la kilomita 301,338. Mji mkuu wake ni roma mji wenye historia ya dunia nzima. Kwa mujibu wa sensa yao ya mwaka 2013 ina wakazi 60, 782, 668 Italy pia ni ya 12 kwa uchumi...
13 Reactions
256 Replies
35K Views
Watu wenye silaha wameshambulia kambi ya jeshi eneo la Kashmir na kuua wanajeshi 17 na kujeruhi wengine 19. Watu hao wenye silaha walikuwa wanne. ========================= Terrorists have killed...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jenerali wa jeshi la Somalia Mohamed Jimale Goobale pamoja na walinzi wake 6 wamefariki dunia katika shambulio la kujitoa mhanga linalosadikiwa kufanywa na waasi wa kikundi cha Al-Shaabab...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Takribani watu 15 wamefariki katika ajali ya boti iliyokuwa imebeba watu 150 katika mto mmoja nchini Thailand ======= Bangkok, Thailand (CNN)At least 15 people died after a boat carrying about...
0 Reactions
0 Replies
517 Views
Mi nafikiri Mugabe alikua anafuata mkumbo...tu..Kwamunonekano wake!! ni dhahili kabisa anakichaa!!!..au malaria sugu!!..Na hii yote imesababishwa na marafiki zake wa karibu kupoteza kabisa Dira ya...
0 Reactions
114 Replies
16K Views
South Sudan refugees reach one million mark - South Sudan refugees reach one million mark - BBC News
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Mbunge mmoja nchini Uholanzi amegoma kumpa mkono Waziri Mkuu wa israel Benjamin Netanyahu kama ishara ya kupinga mateso ya wapalestina mashariki ya kati. Netanyahu yuko Nchini Uholanzi kwenye...
2 Reactions
46 Replies
6K Views
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis ametangaza kwamba Mother Teresa atafanywa mtakatifu Septemba mwaka huu. Sherehe ya kumtawaza kuwa mtakatifu itafanyika tarehe 4 Septemba. Njia ya...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ameomba msamaha kwa kutoa hotuba inayofanana kila neno na ya Obama aliyotoa baada ya kushinda uchaguzi mwaka 2008. Baadhi ya setensi zilikuwa zinafanana kila kitu...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Army uses helicopters to evacuate 20 soldiers injured in the dawn attack followed by hours-long gunfight The soldiers’ deaths follows more than two months of clashes between protestors and...
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Watu wanne wamefariki na wengi kujeruhiwa kufuatia basi walilokuwa wamepanda wachezaji wa timu ya soka ya South Carolina kupata ajali baada ya basi lao kupasuka tairi. Baada ya kupasuka tairi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…