Mara nyingi vyama Vya Republican na Democratic ndivyo huwa na ushawishi mkubwa katika uchaguzi wa marekani kiasi cha kwamba kuna baadhi ya watu huzani kuna vyama viwili tu huko marekani, Ifuatayo...
Mr. Trump is providing something new and something fresh': Obama's half-brother Malik announces he is voting for The Donald
Malik Obama has announced he is voting for Republican Donald Trump
His...
A man from India's Dalit community has been beheaded and his wife hacked to death after a row over a 15 rupees (22 cents; 16 pence) debt in Uttar Pradesh state.
Police said the couple were...
Siku chache baada ya Papaa Koffi Langa Mususu Olomide kukamatwa Kinshasa na kupandishwa kizimbani kisha kuhukumiwa kifungo taarifa zisizo na mashaka kutoka CongoDR zimebaini kilichomponza Koffi ni...
Gitarama Prison
Location: Gitarama, Rwanda
Gitarama Prison is Hell on Earth. It is home to approximately 6,000 prisoners, which would be terrible even if the capacity weren't 500. Prisoners have...
Maafisa nchini Indonesia wamesema hukumu ya kuwanyonga watu wanne kwa kukutwa na hatia ya makosa ya dawa za kulevya imetekelezwa.
Mwanasheria mkuu wa serikali nchini humo Noor Rachmad amesema...
FBI wameapa kuweka mambo hadharani endapo serikali ya Obama italikotezea suala la mama Clinton. Na hii ikitokea, mama huyu atakuwa na wakati mbaya kabisa ktk kuchuana na Trump.
Inaripotiwa voice...
Hili jambo sijawahi kulielewa, haya leo Polisi 4 wamepigwa risasi huko Texas, haya ni matatizo ya third World ambako raia wanakuwa anamuona Polisi kama adui lkn kwa nchi zilizoendelea na...
Pope Francis falls as he arrives at the Jasna Gora shrine in Czestochowa, Poland July 28, 2016.
Pope Francis has fallen during a visit to Czestochowa, Poland. The pontiff was walking on stage...
Jumatano bwana Donald Trump alisema anatumai kuwa shirika la kijasusi la urusi walifanikiwa kudukua barua Pepe za bi Hillary Clinton na aliwasisitiza wachapishe chochote kile ambacho wamekidukuwa...
Washukiwa wa kundi la Al-Shabaab mapema leo Alhamisi wameshambulia na kulipua mtambo wa mawasiliano ulioko katika mji wa Fino, Lafey katika kaunti ndogo ya Mandera nchini Kenya.
Afisa mkuu wa...
Hivi karibun tumeshuhudia mapinduz mbalimbali ktk nchi zinazoendelea. Nawatahadharisha wanasiasa wasifanye maamuz bila kuzingatia matakwa, ridhaa na mahitaji ya wananchi.
Rais wa Marekani Barack Obama amemsifu sana mgombea wa chama cha Democratic Hillary Clinton na kusema ndiye afaaye zaidi kuongoza Marekani.
Akihutubu katika kongamano kuu la chama cha Democratic...
Serikali ya Uturuki imeamuru kufungwa kwa vyombo kadhaa vya habari yakiwemo mashirika ya habari, vituo vya matangazo kwa njia ya televisheni na radio pamoja na magazeti.
Serikali ya nchi...
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) anaemaliza muda wake Dr. Donald Kaberuka ndie anatajwa kuwa mrithi wa Mhe. Paul Kagame katika uchaguzi ujao.
Dr. Kaberuka ni mtu msomi mwenye...
Watu wawili wanashikiliwa na Polisi kuhusiana na tukio lililotokea Weekend iliyopita ambapo Kambi ya jeshi ya wana maji iliyopo Simons town mjini Cape town Kuvamiwa na kuibwa UZI machine pistols...
Wazir mkuu wa israel benjamen netanyahu anafanya ziara Afrika.
Ziara hili anadai ni.kuimarisha uhusiano na bara la Africa.
Lakini duru za chinichini zinadai amekuja baada ya kuona israel...
Mwanamume mmoja nchini China amenusurika kifo katika hifadhi ya wanyama pori nchini humo, baada ya kujirusha ndani ya hifadhi hiyo akisema alitaka 'kuwalisha' wanyama hao hatari.
Mwanamume huyo...
Mamlaka ya serikali ya Colombia imesema watu wapatao laki moja kutoka nchini Venezuela walivuka mipaka ya nchi yao mwishoni mwa wiki hii ili kwenda kununua mahitaji muhimu pamoja na dawa.
Wengi...