Kilichoponza Koffi Olimide hiki hapa

FbUser

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
429
616
Siku chache baada ya Papaa Koffi Langa Mususu Olomide kukamatwa Kinshasa na kupandishwa kizimbani kisha kuhukumiwa kifungo taarifa zisizo na mashaka kutoka CongoDR zimebaini kilichomponza Koffi ni uswahiba wake na hasimu mkubwa wa Rais Kabila Papaa Moise Katumbi.
Ukweli huo umebainika baada ya mwendesha mashtaka kumtia hatiani Koffi na kumfunga bila faini pamoja mhusika aliyefanyiwa tukio hilo mnenguaji wake kukiri kuwa hakupigwa na teke na Koffi.
Koffi amekuwa na urafiki wa muda mrefu na Katumbi ambaye ni mmiliki wa timu ya TP Mazembe ambaye awali alitangaza kugombea Urais wa CongoDR na lakini akaishia kufungwa akiwa nje ya Congo kwa madai ya kuhifadhi wahamiaji na kukwepa kodi.
Koffi aliwahi kumtungia wimbo Moise Katumbi na uswahiba wao pia unahusishwa na ujenzi wa ngome nzito ya kimkakati inayoweza kumshinda Kabila katika uchaguzi. Tayari Katumbi yuko nchini UK uhamishoni alikoenda akitokea Afrikakusini alikokuwa kimatibabu na hukumu ya miaka mi3 jela ilimkuta akiwa huko.
 
Ushabiki tuache pembeni, Kofi alimpiga teke yule dada. anastahili adhabu urafiki na Katumbi hayo ni mengine. yy angeomba msamaha umma wa dunia na kuacha hyo tabia ya kupiga na kuwalazimisha kufanya mapenzi stage show wake kwani ukisikiliza history yake, si mara ya kwanza kufanya majambo km haya na yanayofanana
 
Ni kweli alistahili adhabu lakini sio kwa namna ile kesi ilivyoendeshwa,ukitazama utaona kabisa kama kulikuwa na kitu nyuma ya pazia ambacho kilikuwa kinalazimishwa kifanyike,
 
Mwache ahukumiwe, kuna kitu nimegundua , hawa wamiliki wa bendi wanudhalilishaji mwingi wanafanya nyuma ya pazia kwa wanawake ikiwemo kuvaa nusu uchi japo wanadai wanapenda wenyewe. hili tukio uliloliona ni sehemu ndogo tu ! yaani wenyewe wanawachukulia hao wanawake kama mali binafsi.
 
Namkubali sana Koffi(Infact baadhi ya nyingi zake ziko kwenye playlist yangu)ila hii hukumu imenifanya kuwa na mixed emotions..
 
Siku chache baada ya Papaa Koffi Langa Mususu Olomide kukamatwa Kinshasa na kupandishwa kizimbani kisha kuhukumiwa kifungo taarifa zisizo na mashaka kutoka CongoDR zimebaini kilichomponza Koffi ni uswahiba wake na hasimu mkubwa wa Rais Kabila Papaa Moise Katumbi.
Ukweli huo umebainika baada ya mwendesha mashtaka kumtia hatiani Koffi na kumfunga bila faini pamoja mhusika aliyefanyiwa tukio hilo mnenguaji wake kukiri kuwa hakupigwa na teke na Koffi.
Koffi amekuwa na urafiki wa muda mrefu na Katumbi ambaye ni mmiliki wa timu ya TP Mazembe ambaye awali alitangaza kugombea Urais wa CongoDR na lakini akaishia kufungwa akiwa nje ya Congo kwa madai ya kuhifadhi wahamiaji na kukwepa kodi.
Koffi aliwahi kumtungia wimbo Moise Katumbi na uswahiba wao pia unahusishwa na ujenzi wa ngome nzito ya kimkakati inayoweza kumshinda Kabila katika uchaguzi. Tayari Katumbi yuko nchini UK uhamishoni alikoenda akitokea Afrikakusini alikokuwa kimatibabu na hukumu ya miaka mi3 jela ilimkuta akiwa huko.

Thats too far fetched man!! Kwa nini hakukamatwa wakati huo baada ya kurelease single ya Moise?! Mbona alitokea Kinshasha kwenda Nairobi?! Au Kabange Kabila hakujua Mopao yuko Kinshasa au anamuogopa kuliko Moise mpaka atafute visingizio ndio amkamate?! au unafikiri Koffie ana ushawishi zaidi kuliko Moise Katumbi?! Itoshe tu kusema Koffie ni jitu pumbavu na lijinga kama Donald Trump la USA linaloamini kwamba ukiwa na pesa na umaarufu umemaliza kazi unaweza kutreat binadamu wenzio vyovyote upendavyo! Kiendacho hurudi, mwache akabebe "mtondoo",; usianze kumtafutia visingizio kujaribu kumsafisha kama vile hakufanya makosa mbele ya kamera za tv na smartphones; Information super highway imemkomesha, na kama sio jitu lijingajinga tu, alitakiwa kuwa na ufahamu huo siku nyingi!
 
Ushabiki tuache pembeni, Kofi alimpiga teke yule dada. anastahili adhabu urafiki na Katumbi hayo ni mengine. yy angeomba msamaha umma wa dunia na kuacha hyo tabia ya kupiga na kuwalazimisha kufanya mapenzi stage show wake kwani ukisikiliza history yake, si mara ya kwanza kufanya majambo km haya na yanayofanana
Kwa hiyo wanataka kutuaminisha kwamba lile teke aliagizwa na Kabila amtandike yule bint? Je serekali ya Kenya nayo ilitumwa na Kabila kumtimua yule mwendawazimu Kofii ambae kimsingi alikiri kwamba wakati anampiga yule dada "uwendawazimu" wake ulimjia kwa muda..
 
Kuna ka dhana flan watu wanataka kuficha uchafu wao kwenye upinzani. Yaan kwasababu ni mpambe wa Moize Katumbi basi apige mateke wanawake hadharani kisha aachiwe eti kutaanzishwa thread JF kuwa wapinzani wanaonewa Congo. Forget it ( kwa sauti ya tinga tinga)
 
Siku chache baada ya Papaa Koffi Langa Mususu Olomide kukamatwa Kinshasa na kupandishwa kizimbani kisha kuhukumiwa kifungo taarifa zisizo na mashaka kutoka CongoDR zimebaini kilichomponza Koffi ni uswahiba wake na hasimu mkubwa wa Rais Kabila Papaa Moise Katumbi.
Ukweli huo umebainika baada ya mwendesha mashtaka kumtia hatiani Koffi na kumfunga bila faini pamoja mhusika aliyefanyiwa tukio hilo mnenguaji wake kukiri kuwa hakupigwa na teke na Koffi.
Koffi amekuwa na urafiki wa muda mrefu na Katumbi ambaye ni mmiliki wa timu ya TP Mazembe ambaye awali alitangaza kugombea Urais wa CongoDR na lakini akaishia kufungwa akiwa nje ya Congo kwa madai ya kuhifadhi wahamiaji na kukwepa kodi.
Koffi aliwahi kumtungia wimbo Moise Katumbi na uswahiba wao pia unahusishwa na ujenzi wa ngome nzito ya kimkakati inayoweza kumshinda Kabila katika uchaguzi. Tayari Katumbi yuko nchini UK uhamishoni alikoenda akitokea Afrikakusini alikokuwa kimatibabu na hukumu ya miaka mi3 jela ilimkuta akiwa huko.
Kwa hiyo wanataka kutuaminisha kwamba lile teke aliagizwa na Kabila amtandike yule bint? Je serekali ya Kenya nayo ilitumwa na Kabila kumtimua yule mwendawazimu Kofii ambae kimsingi alikiri kwamba wakati anampiga yule dada "uwendawazimu" wake ulimjia kwa muda..
 
Nilihoji kuhusu hiki kifungo cha chap chap ktk uzi uloletwa jana na nikajibiwa hajafungwa bado ni mahabusu tu! Sasa hii kushikia bango kifungo sijafahamu! Hebu mwenye kujua anijuze tena upya
 
Thats too far fetched man!! Kwa nini hakukamatwa wakati huo baada ya kurelease single ya Moise?! Mbona alitokea Kinshasha kwenda Nairobi?! Au Kabange Kabila hakujua Mopao yuko Kinshasa au anamuogopa kuliko Moise mpaka atafute visingizio ndio amkamate?! au unafikiri Koffie ana ushawishi zaidi kuliko Moise Katumbi?! Itoshe tu kusema Koffie ni jitu pumbavu na lijinga kama Donald Trump la USA linaloamini kwamba ukiwa na pesa na umaarufu umemaliza kazi unaweza kutreat binadamu wenzio vyovyote upendavyo! Kiendacho hurudi, mwache akabebe "mtondoo",; usianze kumtafutia visingizio kujaribu kumsafisha kama vile hakufanya makosa mbele ya kamera za tv na smartphones; Information super highway imemkomesha, na kama sio jitu lijingajinga tu, alitakiwa kuwa na ufahamu huo siku nyingi!
the way linavyokatika mauno tu unajua lile libaba ni buwa kabisa..na yule kubeba "mtondoo" hawezi na ili abebewe wafungwa wenzake lazima wamgegede maana hakuna namna sasa..
 
  • Thanks
Reactions: MTK
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom