Venezuela yahemea chakula Colombia

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
160609093120_food_bowl_512x288_istock_nocredit.jpg

Mamlaka ya serikali ya Colombia imesema watu wapatao laki moja kutoka nchini Venezuela walivuka mipaka ya nchi yao mwishoni mwa wiki hii ili kwenda kununua mahitaji muhimu pamoja na dawa.

Wengi walienda safari za mbali kutoka katika miji yao nchini Venezuela kwenda kununua bidhaa muhimu ambazo zimekuwa ni ngumu mno kupatikana nchini mwao.Mipaka hiyo ilifunguliwa kwa mara ya pili mwaka huu baada ya kufungwa na rais Nicolas Maduro ambaye alisitisha uhallifu wa kuvuka mipaka.

Jumapili iliyopita watu wapatao thelathini na tano walivuka mpaka na kuelekea nchini Colombia.Upande wa upinzani wameilalamikia serikali kwa kusababisha kushuka kwa uchumi,na kusema kuwa sera zake zimetenga masuala ya biashara kuweza kuingiza malghafi na mahitaji muhimu.

Serikali hiyo imesema ,kwa sasa nchi yake inapambana na vita ya kiuchumi.

Chanzo: BBC
 
Uncle sam anawasulubu
 
ukipata neema ni vizuri kudiversify chumi. waliangalia mafuta na kusahau kilimo.
 
Nchi zote zinazotegemea mafuta zimepata msukosuko wa uchumi.
 
160609093120_food_bowl_512x288_istock_nocredit.jpg

Mamlaka ya serikali ya Colombia imesema watu wapatao laki moja kutoka nchini Venezuela walivuka mipaka ya nchi yao mwishoni mwa wiki hii ili kwenda kununua mahitaji muhimu pamoja na dawa.

Wengi walienda safari za mbali kutoka katika miji yao nchini Venezuela kwenda kununua bidhaa muhimu ambazo zimekuwa ni ngumu mno kupatikana nchini mwao.Mipaka hiyo ilifunguliwa kwa mara ya pili mwaka huu baada ya kufungwa na rais Nicolas Maduro ambaye alisitisha uhallifu wa kuvuka mipaka.

Jumapili iliyopita watu wapatao thelathini na tano walivuka mpaka na kuelekea nchini Colombia.Upande wa upinzani wameilalamikia serikali kwa kusababisha kushuka kwa uchumi,na kusema kuwa sera zake zimetenga masuala ya biashara kuweza kuingiza malghafi na mahitaji muhimu.

Serikali hiyo imesema ,kwa sasa nchi yake inapambana na vita ya kiuchumi.

Chanzo: BBC
hiyo picha uliyo save kwenye profile yako inanitisha hata nikifungua uzi wakao kabla sijasoma ulicho andika naangalia kwanza profile yako na ninajiuliza kwanini uliamua kuweka picha ya kutisha vile na ulikua unawaza nini wakati unaweka hiyo picha.
 
Back
Top Bottom