International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hili jambo sijawahi kulielewa, haya leo Polisi 4 wamepigwa risasi huko Texas, haya ni matatizo ya third World ambako raia wanakuwa anamuona Polisi kama adui lkn kwa nchi zilizoendelea na...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Pope Francis falls as he arrives at the Jasna Gora shrine in Czestochowa, Poland July 28, 2016. Pope Francis has fallen during a visit to Czestochowa, Poland. The pontiff was walking on stage...
2 Reactions
39 Replies
8K Views
Jumatano bwana Donald Trump alisema anatumai kuwa shirika la kijasusi la urusi walifanikiwa kudukua barua Pepe za bi Hillary Clinton na aliwasisitiza wachapishe chochote kile ambacho wamekidukuwa...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Washukiwa wa kundi la Al-Shabaab mapema leo Alhamisi wameshambulia na kulipua mtambo wa mawasiliano ulioko katika mji wa Fino, Lafey katika kaunti ndogo ya Mandera nchini Kenya. Afisa mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi karibun tumeshuhudia mapinduz mbalimbali ktk nchi zinazoendelea. Nawatahadharisha wanasiasa wasifanye maamuz bila kuzingatia matakwa, ridhaa na mahitaji ya wananchi.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais wa Marekani Barack Obama amemsifu sana mgombea wa chama cha Democratic Hillary Clinton na kusema ndiye afaaye zaidi kuongoza Marekani. Akihutubu katika kongamano kuu la chama cha Democratic...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali ya Uturuki imeamuru kufungwa kwa vyombo kadhaa vya habari yakiwemo mashirika ya habari, vituo vya matangazo kwa njia ya televisheni na radio pamoja na magazeti. Serikali ya nchi...
0 Reactions
4 Replies
905 Views
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) anaemaliza muda wake Dr. Donald Kaberuka ndie anatajwa kuwa mrithi wa Mhe. Paul Kagame katika uchaguzi ujao. Dr. Kaberuka ni mtu msomi mwenye...
1 Reactions
49 Replies
9K Views
Watu wawili wanashikiliwa na Polisi kuhusiana na tukio lililotokea Weekend iliyopita ambapo Kambi ya jeshi ya wana maji iliyopo Simons town mjini Cape town Kuvamiwa na kuibwa UZI machine pistols...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wazir mkuu wa israel benjamen netanyahu anafanya ziara Afrika. Ziara hili anadai ni.kuimarisha uhusiano na bara la Africa. Lakini duru za chinichini zinadai amekuja baada ya kuona israel...
12 Reactions
131 Replies
12K Views
Mwanamume mmoja nchini China amenusurika kifo katika hifadhi ya wanyama pori nchini humo, baada ya kujirusha ndani ya hifadhi hiyo akisema alitaka 'kuwalisha' wanyama hao hatari. Mwanamume huyo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mamlaka ya serikali ya Colombia imesema watu wapatao laki moja kutoka nchini Venezuela walivuka mipaka ya nchi yao mwishoni mwa wiki hii ili kwenda kununua mahitaji muhimu pamoja na dawa. Wengi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wasomi na wanadplomasia wa kiparestina wanakusudua kuishtaki Uingereza kwa kuwafukuza waarabu kwenye maeneo yao ili kuwagawia wayahudi waliokuwa wamesambaa sehemu mbalimbali duniani. Changamoto...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
France church attack: Priest killed in hostage-taking near Rouen A priest has been killed in an attack by two armed men at his church near Rouen in northern France, police and French media have...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Police say they have arrested a 26-year-old man who was a former staff member and that he has confessed to the stabbings but details of the motive have not yet been released At least 19 people...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Syria's state TV has raised the death toll from a car bombing in a predominantly Kurdish town in the country's north, saying 22 people died and dozens were wounded. The TV says the car blew up on...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hatua ya Wamarekani ya kung'ang'ania kuiwekea vikwazo mbalimbali Iran ni njama za kueneza chuki na kulifanya taifa hili liogopwe na...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hillary Clinton secured the Democratic Party's White House nomination, coming back from a stinging defeat in her first presidential run in 2008 and surviving a bitter primary fight to become the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Read Michelle Obama’s remarks as delivered below: (CHEERS, APPLAUSE) Thank you all. Thank you so much. You know, it’s hard to believe that it has been eight years since I first came to this...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom