Wagombea wengine wa uraisi USA mbali na wale wa GOP na Democrat

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,792
4,681
Mara nyingi vyama Vya Republican na Democratic ndivyo huwa na ushawishi mkubwa katika uchaguzi wa marekani kiasi cha kwamba kuna baadhi ya watu huzani kuna vyama viwili tu huko marekani, Ifuatayo ni list ya vyama na wagombea ambao kuna uwezekano wa kushiriki uchaguzi wa mwaka huu 2016.

2.PNG
3.PNG
4.PNG
5.PNG
6.PNG

wagombea wengine unaweza waona kwenye linki hii
2016 Presidential Candidates (Presidency 2016)
 

Attachments

  • upload_2016-7-29_18-52-37.png
    upload_2016-7-29_18-52-37.png
    30.3 KB · Views: 30
Back
Top Bottom