Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,276
Raia wa Malawi kwenye mitandao ya kijamii wametumia 'BringBackMutharika' wakitaka Rais wao arudi nyumbani baada ya kuondoka nchini humo wiki mbili zilizopita kuhudhuria mkutano wa umoja wa mataifa mjini New York
Serikali ilisema kuwa Rais Mutharika yuko na afya nzuri na alikuwa akikamilisha shughuli za Serikali ambazo hakuwa na muda kuzishughulikia akiwa kwenye umoja wa mataifa
Ukurasa wa Serikali kwenye mtandao wa Facebook ulisema kuwa tarehe itatangazwa ya kurudi kwa Rais Mutharika nchini humo.
Chanzo :BBC