Trump alivyojimaliza baada ya kumshambulia Hillary Clinton

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,680
Reaction score
58,686
"If I will be elected to become the next president of united state of America I will tell my Antony general ( AG ) to prosecute Hillary Clinton emails scandal and I make sure that she will go in Jail"

Kiukweli kwanza hii kauli ni ya uchochezi wa hali ya juu kwa taifa lenye kiwango cha democrasia kama marekani .

Kama usalama wa taifa wa marekani utakubali mtu Mwenye kariba ya Trump kwenda ikulu dunia itakuwa na safari ndefu sana kupata viongozi.

Mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa huyu bwana lakini baada ya kauli ile usiku wa kuamkia leo nimejitoa kabisa...

Kama mtu anashindwa tu kuijua katiba ya marekani anategemea nini.

Anadiriki kutaja neno My AG wakati anajua kabisa mahakama nchini marekani haifungamani na upande wowote iwe bunge au serikali.....

Anashindwa kujua uwezi muhukumu mtu kabla mahakama imtie matatani kwenye nchi zote za kidemocrasia.

Mgombea urais kuna mambo unatakiwa kutoyasema hatharani hasa mambo yanayohusu kumfunga au kumfungulia mtu mashitaka.

Mfano nyie ni mashaidi kwa Tanzania pekee mwaka Jana kwenye uchaguzi kulikuwa na watu walikuja na mabango pale jangwani ya kumtaka lowassa awatoe wale mashehe na Babu seya gerezani baada ya hapo nguvu iliyotumika kumzuia kwenda ikulu wote mliiona kiukweli mgombea urais kuna vitu unatakiwa usiviseme hatharani..

Tukubali tu kwamba kuna muda kokote duniani watu wanafanya makosa lakini hili kosa walilolifanya Republican kuleta mgombea ambaye hayupo serious kwa kujificha kwenye maneno ya democracy ni upuuzi....alitakiwa kukatwa hata kabla ya kupewa form ndani ya chama.

Nasubiri nione usalama wa taifa wa marekani kama utakubali huyu muhuni na pandikizi la Urusi na Bill Clinton aingie white house.
 
Hebu fafanua basi sio wote walitazama, au wote wanaishi marekani, au wote wanaelewa maana ya ya AG mimi mwenyewe sijaelewa alikusudia kitu gani kutamka vile
 
Ngoja niifadhi mameno yangu kwanza cz hii ngoma bado mbichi.lolote linaweza kutokea ktk muda huu mdogo uliobakia.
 
738362f12184c9a1d9078c2fbe6bb3ec.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
na Rais haruhusiwi kikatiba kutoa maelekezo kwa mwanasheria mkuu achunguze mtu fulani
 
Donald Trump yes Donald Trump
 
Uchochezi ni tanzani tu mkuu huko mbele ni "mtizamo"
"If I will be elected to become the next president of united state of America I will tell my Antony general ( AG ) to prosecute Hillary Clinton emails scandal and I make sure that she will go in Jail"

Kiukweli kwanza hii kauli ni ya uchochezi wa hali ya juu kwa taifa lenye kiwango cha democrasia kama marekani .

Kama usalama wa taifa wa marekani utakubali mtu Mwenye kariba ya Trump kwenda ikulu dunia itakuwa na safari ndefu sana kupata viongozi.

Mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa huyu bwana lakini baada ya kauli ile usiku wa kuamkia leo nimejitoa kabisa...

Kama mtu anashindwa tu kuijua katiba ya marekani anategemea nini.

Anadiriki kutaja neno My AG wakati anajua kabisa mahakama nchini marekani haifungamani na upande wowote iwe bunge au serikali.....

Anashindwa kujua uwezi muhukumu mtu kabla mahakama imtie matatani kwenye nchi zote za kidemocrasia.

Mgombea urais kuna mambo unatakiwa kutoyasema hatharani hasa mambo yanayohusu kumfunga au kumfungulia mtu mashitaka.

Mfano nyie ni mashaidi kwa Tanzania pekee mwaka Jana kwenye uchaguzi kulikuwa na watu walikuja na mabango pale jangwani ya kumtaka lowassa awatoe wale mashehe na Babu seya gerezani baada ya hapo nguvu iliyotumika kumzuia kwenda ikulu wote mliiona kiukweli mgombea urais kuna vitu unatakiwa usiviseme hatharani..

Tukubali tu kwamba kuna muda kokote duniani watu wanafanya makosa lakini hili kosa walilolifanya Republican kuleta mgombea ambaye hayupo serious kwa kujificha kwenye maneno ya democracy ni upuuzi....alitakiwa kukatwa hata kabla ya kupewa form ndani ya chama.

Nasubiri nione usalama wa taifa wa marekani kama utakubali huyu muhuni na pandikizi la Urusi na Bill Clinton aingie white house.
 
Clinton hakumalizwa na kashfa ya kuigeuza ikulu danguro ije hii stori ya bwenini?
Haaaaah ila tukubali uchaguzi wa mwaka huu marekani umekuwa na wagombea wabovu kabisa.... Vetting ilikuwa mbovu sana...
 
Watu na day dreams zao, tuache ushabiki jamani debate ya leo trump ameonesha discipline, na alikuwa focused kiasi ingekuwa sio hio scandal ambayo actually ameijibu very professional basi tungesema vingine, kushambuliana hata Clinton anafanya tena sana but the media is in favor of her!
 
Halafu alishindwa hata kuwaheshimu Moderators Kwa kuwaambia kuwa Clinton akizidisha muda hawamzuii, lakini yeye anazuiliwa. Hadi yule mama akamwambia "you are talking too much". Ingekuwa mjadala unaongozwa na mods wa JF nadhani angepigwa ban ya nusu mwaka.
 
Huyu jamaa ungelikuwa makini toka mwanzo ilikuwa rahisi sana kumshinda huyu mama but...alialibu toka mwanzo kwa kuwa racist .....
 
Ati unasema Trump ni pandikizi la Bill Clinton?
Alipandikizwa na Bill Clinton kule Republican kwenye chama hasimu ili mke wake apate mteremko baada ya kupitishwa.
 
Back
Top Bottom