Raia wa Malawi wataka rais wao arudi nyumbani

Raia wa Malawi wataka rais wao arudi nyumbani

Invigilator

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
3,219
Reaction score
6,080
Wananchi nchini Malawi wanaomba rais wao arudi nyumbani ikiwa ni takribani wiki ya pili tangu alipoenda kuhudhuria mkutano wa umoja wa mataifa,story za kuaminika zinadai amezidiwa na kula bata,raia wamemtaka arudi nchini,serikali imetoa tamko kuwa itawatangazia Siku atakayorudi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chanzo BBC
1476114744171.jpg
 
Yan wao wiki tu wanalalamika je rais wao ndio angekuwa si wangempora passport enz zile anashinda angani
 
Back
Top Bottom