Drones zitarahisisha sana mambo,imagine ulimwengu wa drones,kupishana tu juu angani kupelekea mteja bidhaa au kitu.
=========
Domino's delivers pizza by drone in New Zealand
See Domino's...
Mahakama ya kikatiba nchini Zambia imetupilia mbali kesi ya mgombea wa urais wa chama cha upinzani cha United Party for National Development Hakainde Hichilema na mgombea mwenza Geofrey Bwalya...
Watu 18 wanahofiwa kujeruhiwa baada ya eneo la maegesho ya magari kuporomoko katika mji wa Tel Aviv, Israel
=========
TEL AVIV, Israel – A building collapsed in a Tel Aviv construction zone on...
Polisi katika mji wa Sao Paulo watumia mabomu ya machozi kutawanya waandamanaji wanaopinga kuundolewa Rais Rousseff.
==========
Police used tear gas on Sunday to disperse thousands of...
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe amerudi nyumbani baada ya kuwa nje ya nchi hali iliyopelekea kuzuka taarifa kuhusu uimara wa afya yake na alipopata nafasi ya kuongea, alitania amepata uhai tena...
Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe leo aliamuru ndege iliyokuwa ikimpeleka nchini Indonesia siku ya Ijumaa igeuzie Dubai na kurudi Harare mara moja.
Mzee Jongwe ambae ana umri wa miaka 92 ndiye...
Rwanda expects to boost its revenue earnings from tourism this year by 25.8 percent from 2015, helped by extra attractions including a new game park, an official told Reuters late on Friday.
The...
Kagame has re-made Rwanda but he is far from re-making Rwandans. He has failed to check on his "strong men's" powers and authority. Such men like James Muson, Jack Nziza, James Kabarebe...
Raisi dikteta wa Uzbek,Islam Karimov(78) afariki dunia kutokana na stroke.
Kwa mujibu wa Aljazeera,Raisi huyu anatuhumiwa kuminya upinzani, uhuru wa habari,kuua waandamanaji na pia inaripotiwa...
JAMUHURI YA AFRIKA YA KATI NA MAUAJI YA FEDHEHA KWA BARA LA AFRIKA
Makala yangu no 04. Juu ya ziara yangu East, Central & Great lake zone of Africa.
Na Comred Mbwana Allyamtu.
Bangui ndio...
Watu 35 wamefariki nchini Pakistan mapema Jumapili ya leo baada ya basi la abiria kugonga lori la mafuta kusini mwa jimbo la Zabul, wahusika wamethibitisha.
Basi hilo lilikuwa linaelekea Kabul...
Kulitokea kizaazaa katika kituo cha polisi cha kisumu Nairobi,ambapo waombolezaji walipoacha jeneza katika langoni mwa kituo cha polisi kwa hasira
Inadaiwa walikuwa wanateta baada ya polisi...
Kokeini yenye thamani ya bei ya mtaani kiasi cha Euro 50 m imegundulika katika kiwanda cha a Coca-Cola kilichopo kusini mwa Ufaransa.
Dawa hiyo iliyokuwa imefichwa kwenye mifuko ya kuuzia juisi...
Rais mteule wa Zambia, Edgar Lungu amezua mjadala mkali baada ya kutangaza mpango wa kuanzisha wizara itakayosimamia maswala ya dini.
Mnamo siku ya Jumapili, Rais Lungu alitangaza mpango wa...
Mwanzilishi wa kampuni ya Facebook Mark Zuckerberg amelezea kusikitishwa kwake baada ya satelaiti ambayo Facebook ingeitumia kwa mawasiliano ya kasi ya mtandao wa intaneti barani Afrika...
In Uganda, we are still functioning with an old fashioned mid-20th Century Conference Centre, which is not possible to rig up with all the new clever conference tech
WEDNESDAY AUGUST 31 2016...
Kijana mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa jimbo la kaskazin magharibi mwa Nigeria la Bauchi anasema kuwa macho yake yalitolewa na watu waliotaka kuyatumia kwa ajili ya sababu za ushirikina.
Viungo...
Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte ametishia kutangaza hali ya nkuitawala nchi kijeshi kufuatia kuendelea kwa " hali ya uasi " kufuatia waasi wa Abu Sayyaf kulipua bomu lililoua watu 14 na...
In advance of the storm, Florida Gov. Rick Scott declared a State of Emergency to help 51 counties prepare. A mandatory evacuation notice has been issued for Franklin County, located along the...